The Best FIFA Football Awards 2019: Messi atwaa tuzo ya Mchezaji bora, Klopp awa Kocha bora

Kwa kweli jana FIFA wamechemka, mimi mpaka leo nashindwa kujuwa vigezo. Navyojuwa inaangaliwa msimu mzuri kwa mchezaji mwaka ule sio history. Ok ni kweli Messi ni mchezaji bora sana lakini hakufanya vizuri mwaka huu lakini wamempa na mbaya zaidi jana bahasha haijafunguliwa Messi kishafika nyuma ya stage je majibu yanapangwa? nisieleweke labda simkubali Messi hapana ni bora sana tu lakini sio mwaka huu. tuache huko FIFA 11 eti Marcelo kachaguliwa jamani kwa lipi? kuna full back 2 za Liverpool walikuwa bora kabisa mwaka huu. Marcelo??? team 4 za EPL zilikuwa final leo wanakuja wanasema wachezaji wawili wa Ajax sababu tu walikuwa na msimu mzuri kuisaidia Ajax nusu final sasa wale waliofikisha team zao final? Sadio Mane kaisaidia Liverpool ubingwa wa ulaya na Senegal final za Africa nje. kweli nimeamini Nike na Adidas ndio wanaushawishi mkubwa. ndio maana Ronaldo jana hata kwenda hakwenda utasema aliambiwa Messi atapewa ingekuwa VVD angeenda. FIFA watuambie tu vigezo ni nini? eti Modric sijui Marcelo kwa lipi hasa team zao wanapigwa bench hii kuwakosea heshima wachezaji wengine. Ramos alikuwa na msimu mbovu na Real eti beki bora hapana kwa maoni yangu jana sio sawa. Messi mchezaji mzuri duniani? Yes. je mwaka huu alikuwa best? NO

Mkuu unaonekanwa ulichelewa kuwaelewa hawa jamaa. Tunzo ulaya zotezipo kisiasa tu na uhalsia wa mazingira. Mimi nimekua nikikushangaeni miaka kuendelea kutoa mapovu kwa hizi tunzo na kuchukua kipima cha tunzo kama ndio ubora wa uchezaji. Most of these awards are fixed.
 
Uefa kama waliangalia perfomance ya kwenye mashindano ya vilabu, i mean champions league na europa league anastahili japo napo kuna ukakasi kwangu mimi kuz Sadio Mane alistahili kuliko VVD ila kama waliangalia mashindano yote kwa msimu mzima basi walichemka vibaya mno kumpa VVD

Bernado SIlva
Sadio Mane
Alison

Hawa ndio walistahiki kuwa katika Top 3 ya uchezaji bora wa tunzo yoyote kwa mwaka huu.
 
Uefa kama waliangalia perfomance ya kwenye mashindano ya vilabu, i mean champions league na europa league anastahili japo napo kuna ukakasi kwangu mimi kuz Sadio Mane alistahili kuliko VVD ila kama waliangalia mashindano yote kwa msimu mzima basi walichemka vibaya mno kumpa VVD
Yes nakubaliana na wewe na mimi sisemi kwamba lazima VVD. Tukianza na Mane yeye kasaidia sana Liv kumaliza nafasi ya pili EPL, UEFA bingwa na Senegal final. VVD kama Sadio Liv, kasaidia ubingwa UEFA na pia kuifikisha Holland final Europe Nation league. Messi kaibeba Barca league lakini Copa America hakufanya kitu. kwa vigezo hivi ni Mane au VVD
 
Mkuu unaonekanwa ulichelewa kuwaelewa hawa jamaa. Tunzo ulaya zotezipo kisiasa tu na uhalsia wa mazingira. Mimi nimekua nikikushangaeni miaka kuendelea kutoa mapovu kwa hizi tunzo na kuchukua kipima cha tunzo kama ndio ubora wa uchezaji. Most of these awards are fixed.
Ni kweli mkuu ndio maana jana kabla hata raisi wa FIFA hajafungua bahasha Messi alikuwa nyuma ya pazia kusibiri kuitwa
 
Ronaldo nadhani anajuwa hizi process ndio maana hata hakwenda. Washindi wengine wote wameinuka baada ya kuitwa lakini Messi bado jamaa anaongea bahasha bado yeye yuko nyuma ya pazia.
 
Alishajijua hana mpinzani.
Kwan wakat wa kugaiwa zawad ktk mahafali kwan class teacher hakudokez kuhusu performance yako?
 
Mkuu unaonekanwa ulichelewa kuwaelewa hawa jamaa. Tunzo ulaya zotezipo kisiasa tu na uhalsia wa mazingira. Mimi nimekua nikikushangaeni miaka kuendelea kutoa mapovu kwa hizi tunzo na kuchukua kipima cha tunzo kama ndio ubora wa uchezaji. Most of these awards are fixed.
Maneno haya huwa tunayasikia asiposhinda yule anayevaa hereni, akishinda aaah, mambo yote safi.

Lakini una nafasi pia ya kuingia kwenye tovuti ya FIFA ujufunze mshindi hupatikanaje.
 
Yes nakubaliana na wewe na mimi sisemi kwamba lazima VVD. Tukianza na Mane yeye kasaidia sana Liv kumaliza nafasi ya pili EPL, UEFA bingwa na Senegal final. VVD kama Sadio Liv, kasaidia ubingwa UEFA na pia kuifikisha Holland final Europe Nation league. Messi kaibeba Barca league lakini Copa America hakufanya kitu. kwa vigezo hivi ni Mane au VVD

Tafadhari naomba hiyo kitu iondoe hapo, kwenye tuzo hakuna hicho kitu kuwa fulani kaisaidia fulani au katwaa kombe fulani.

Kwenye hizi tuzo kinachoangaliwa ni overall perfomance na sio makombe mangapi umebeba au umesaidia kufanya kitu fulani.

Funga magoli kadri uwezavyo, toa assist kadri uwezavyo, piga vyenga kadri uwezavyo inawezekana mwisho wa msimu usibebe chochote ila Dunia itakutendea haki kwa kile ulichoonyesha msimu mzima kwa kukupa mchezaji bora wa dunia.

Haiwezekani makosa ya Gerald Pique ahukumiwe Messi ambae katimiza majukumu yake vizuri, ukuta wa Barca unavuja ila hiyo isiwe hoja ya kufifisha kiwango cha Messi kwa msimu uliopita.
 
Maneno haya huwa tunayasikia asiposhinda yule anayevaa hereni, akishinda aaah, mambo yote safi.

Lakini una nafasi pia ya kuingia kwenye tovuti ya FIFA ujufunze mshindi hupatikanaje.

Naona unaanza kuatck kwa upande mwengine mimi sipo huko kabisa. Nazungumza uhalisia Messi Hakustahiki kushinda wala Ronaldo hakustahiki kuwa ndani ya Top 3. Si hivo tu Ramos, Marcelo, Hazard, Ronaldo, Modric, De light ndani ya eleven ya dunia pia ni vichekesho.
Na haya hayajaanza leo yamekua yakifanyika miaka mingi tu nyuma.
 
Bernado SIlva
Sadio Mane
Alison Hawa ndio walistahiki kuwa katika Top 3 ya uchezaji bora wa tunzo yoyote kwa mwaka huu.

Kwakuwa walibeba makombe au walikuwa na perfomance nzuri?

Kama kubeba makombe sawa ila kwa overall perfomance kwa msimu uliopita hakuna aliemkaribia hata kidogo Messi kati ya hao hapo uliotaja.

Mpira ni mchezo wa namba, na namba siku zote hazidanganyi.
 
Hujui Maana ya UEFA....Labda nikwambie tuu UEFA ni Kama CAF Afrika au Kama CONCAFA amerika kaskazin au kama CONMEBOL amerika kusini...So haiongozi vilabu tuuu...hadi Nationa team na michezo yote Barani Ulaya ya Football
We ndio haujui na umeropoka.
UEFA inaangalia sana sana club bingwa ulaya.
Wanatizama je umechukua club bingwa ulaya ama laah?
Kama wanaangalia hadi team ya taifa messi ni Latino sio European inamaana watachukua takwim za Copa America walete Uefa?!
Uefa wanatizama uchukuaji vikombe.
Ndio maana VVD ameweza Kuwa mchezaji bora kwa vigezo vya kuchukua kombe la club bingwa ulaya.
Lakini km wangekua wanatizama over all performance bila kuchukua kombe basi messi angestahili .
Lakin kwasababu wanatizama makombe UEFA basi messi hiko kigezo kakosa.
Tukija kwa FiFa best player wanatizama performance nzima ya mchezaji.
Na ukiangalia hakuna mchezaji alomzidi messi sio ktk league wala uefa.
We jamaa ktk league Laliga wamemchambua league ilivyoisha ameshinda magoli ya faulo (free kick ) yanafika 13.
Nitajie mbuzi yeyote aliyefanya hvyo.
Ktk laliga hiyo hiyo ameshinda magoli ya kuiokoa barca ya comeback 10+,nitajie kunguni yeyote aliyefanya hivyo.
Halafu km kweli unaufatilia mpira messi toka acheze uefa kuna zile rates za performance ktk mechi.
Messi amekuwa akipata rate ya 8.0% mpk nusu fainali alipotolewa akawa amepata rate ya 6%.
Inamaana hakuna mchezaji alo maintain kiwango kama messi.
Hata van dijk ameshindwa kufanya hilo.
Messi achaneni naye ninyi achaneni naye kabbisa.
Huu msimu ni wake.
Na ballon d'or watampa tu.
 
Mimi nadhani ungeacha kuni quote sababu matusi sio sehemu yake ni hoja tu maana navyojuwa mimi hunijui lakini pia watu wanaoishi Ubungo pia ni watu kama wewe tu. ila ajabu huyu wa ubungo hatukani wa kukushifu wewe wa Masaki unatukana na kejeli ndio utajuwa nafasi yako.
Haya pinga hizi hoja hapa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Lionel Messi last season(2018/2019):

Europe top scorer[emoji818]

Barcelona top scorer[emoji818]

Champions League top scorer[emoji818]

La Liga top scorer[emoji818]

Barcelona most assists[emoji818]

La Liga most assists[emoji818]

Most La Liga MOTM awards[emoji818]

Most UCL MOTM awards[emoji818]

Most chances created[emoji818]

Most goal contributions in the top 5 leagues[emoji818]

Most points won for his team in the top 5 leagues[emoji818]

Most free-kick goals[emoji818]

Most braces[emoji818]

Most hat-tricks[emoji818]

Top scorer Vs Top 6 EPL teams[emoji818]

Contributed to 74/96 team[emoji818]

goals [emoji818]

UCL most man of the week[emoji818]

UCL best Forward[emoji818]

UCL goal of the tournament[emoji818]

Pichichi award(la liga golden shoe) [emoji818]

6th European Golden shoe 2019(record)[emoji818]

Most goals outside box[emoji818]

La Liga MVP[emoji818]

ESPY Best international Men's

Soccer Player of the year[emoji818]
 
Tafadhari naomba hiyo kitu iondoe hapo, kwenye tuzo hakuna hicho kitu kuwa fulani kaisaidia fulani au katwaa kombe fulani.

Kwenye hizi tuzo kinachoangaliwa ni overall perfomance na sio makombe mangapi umebeba au umesaidia kufanya kitu fulani.

Funga magoli kadri uwezavyo, toa assist kadri uwezavyo, piga vyenga kadri uwezavyo inawezekana mwisho wa msimu usibebe chochote ila Dunia itakutendea haki kwa kile ulichoonyesha msimu mzima kwa kukupa mchezaji bora wa dunia.

Haiwezekani makosa ya Gerald Pique ahukumiwe Messi ambae katimiza majukumu yake vizuri, ukuta wa Barca unavuja ila hiyo isiwe hoja ya kufifisha kiwango cha Messi kwa msimu uliopita.

Sasa mkuu ningekuuliza kidogo, ROnaldo na VVD wanafanya nini Top three kwa mujibu wa kigezo chako. Mbappe na Lewandoski walifunga karibu 40 goals kila mmoja nyuma ya Messi tu, Mbona hawaonekani karibu? na wao walifanya kazi zao vizuri tu
 
Naona unaanza kuatck kwa upande mwengine mimi sipo huko kabisa. Nazungumza uhalisia Messi Hakustahiki kushinda wala Ronaldo hakustahiki kuwa ndani ya Top 3. Si hivo tu Ramos, Marcelo, Hazard, Ronaldo, Modric, De light ndani ya eleven ya dunia pia ni vichekesho.
Na haya hayajaanza leo yamekua yakifanyika miaka mingi tu nyuma.
Mkuu hufatilii mpira.
Kama ulikua ukiitizama vzuri Ajax.
Hakuna beki wa kupanda matata kama Delight.
Na hakuna mid field kisheti km Dejong.
Ukimkataa Delight ktk hiyo list either haukuangalia mpira ama una chuki binafsi ww.
NASISITIZA MESSI MSIMU HUU MUACHENI ANA STAHIKI YAKE MUACHENI YULE KIUMBE AMELETA SANA SHIDA MSIMU HUU WAULIZE MAN UNITED ROBO FAINALI NA LIVERPOOL FIRST LEG SEMI FINAL.
 
Kwakuwa walibeba makombe au walikuwa na perfomance nzuri?

Kama kubeba makombe sawa ila kwa overall perfomance kwa msimu uliopita hakuna aliemkaribia hata kidogo Messi kati ya hao hapo uliotaja.

Mpira ni mchezo wa namba, na namba siku zote hazidanganyi.

Yawezekana hkuwa ukitizama huo mpira.

Sihitaji kumueleze sana Alison kwa kiufupi tu alitoka na cleansheat 5 kwenye mechi sita za Copa America.
Tafauti kubwa kati ya liverpool ya 2017-2018 na ya 2018-2019 ni Alison. kutoka point 70 pl mpaka 96. Kutoka Runner Up Mpaka ubingwa Ulaya.

Na kwa yoyote aliekua anatizama vizuri soka naamini alimuona vizuri Silva.

Wewe huzungumzii overall performance unachozungumzia wewe ni kufunga magoli mengi tu.
 
Hivi nyie mnaoilaumu FIFA kwa Messi kutwaa Ballon, naomba mnieleweshe;Kura walipiga maofisa wa FIFA au manahodha wa timu za taifa? Maana kama tujuavyo sote, hata huyo VVD wa Liverpool kampigia kura Leo Messi.Kama Van Djik kamkubali Messi,wewe ni nani kupinga?
Liverpool wala hawana tatizo kabisa
shida ni Ronaldo funs
 
Kwa kweli jana FIFA wamechemka, mimi mpaka leo nashindwa kujuwa vigezo. Navyojuwa inaangaliwa msimu mzuri kwa mchezaji mwaka ule sio history. Ok ni kweli Messi ni mchezaji bora sana lakini hakufanya vizuri mwaka huu lakini wamempa na mbaya zaidi jana bahasha haijafunguliwa Messi kishafika nyuma ya stage je majibu yanapangwa? nisieleweke labda simkubali Messi hapana ni bora sana tu lakini sio mwaka huu. tuache huko FIFA 11 eti Marcelo kachaguliwa jamani kwa lipi? kuna full back 2 za Liverpool walikuwa bora kabisa mwaka huu. Marcelo??? team 4 za EPL zilikuwa final leo wanakuja wanasema wachezaji wawili wa Ajax sababu tu walikuwa na msimu mzuri kuisaidia Ajax nusu final sasa wale waliofikisha team zao final? Sadio Mane kaisaidia Liverpool ubingwa wa ulaya na Senegal final za Africa nje. kweli nimeamini Nike na Adidas ndio wanaushawishi mkubwa. ndio maana Ronaldo jana hata kwenda hakwenda utasema aliambiwa Messi atapewa ingekuwa VVD angeenda. FIFA watuambie tu vigezo ni nini? eti Modric sijui Marcelo kwa lipi hasa team zao wanapigwa bench hii kuwakosea heshima wachezaji wengine. Ramos alikuwa na msimu mbovu na Real eti beki bora hapana kwa maoni yangu jana sio sawa. Messi mchezaji mzuri duniani? Yes. je mwaka huu alikuwa best? NO
Sasa wamechemka kivipi wakati hujui vigezo vyao?
 
Yawezekana hkuwa ukitizama huo mpira.

Sihitaji kumueleze sana Alison kwa kiufupi tu alitoka na cleansheat 5 kwenye mechi sita za Copa America.
Tafauti kubwa kati ya liverpool ya 2017-2018 na ya 2018-2019 ni Alison. kutoka point 70 pl mpaka 96. Kutoka Runner Up Mpaka ubingwa Ulaya.

Na kwa yoyote aliekua anatizama vizuri soka naamini alimuona vizuri Silva.

Wewe huzungumzii overall performance unachozungumzia wewe ni kufunga magoli mengi tu.
Mkuu kati ya silva na messi nan alikua play maker kumzid mwenzie?
 
Mkuu hufatilii mpira.
Kama ulikua ukiitizama vzuri Ajax.
Hakuna beki wa kupanda matata kama Delight.
Na hakuna mid field kisheti km Dejong.
Ukimkataa Delight ktk hiyo list either haukuangalia mpira ama una chuki binafsi ww.
NASISITIZA MESSI MSIMU HUU MUACHENI ANA STAHIKI YAKE MUACHENI YULE KIUMBE AMELETA SANA SHIDA MSIMU HUU WAULIZE MAN UNITED ROBO FAINALI NA LIVERPOOL FIRST LEG SEMI FINAL.

Acha mihemko mkuu. De light yupi unaemzungumzia wewe yule alietagisha matatu mechi ya Spurs?
 
Back
Top Bottom