The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Afadhali umemsaidia. Hata hivyo kuamini au kutoamini hiyo comment yako ni juu yake .

Vv
 
Kujadili kwangu ni vigumu kwa sababu msingi wa hoja yako ni kitabu kimoja cha huyo Francis Bacon. Uandishi wa Biblia unaspan zaidi ya miaka 1500. Tunajua sote kuwa Biblia imeandikwa na waandishi 40+, katika maeneo na nchi tofauti; kwamba waandishi wake ni kutoka kada mbalimbali; kwamba ndicho kitabu cha kwanza kuchapwa kwa mashine (Gutenberg Bible); kwamba nakala nyingi za kale za Biblia ziligunduliwa Khirbet Qumran mwaka 1947 na Mohammed Adhib; Kwamba maandiko yake yamebadili maisha ya watu wengi duniani; kwamba ndicho kitabu kilichotafsiriwa kwa wingi katika lugha zaidi ya 3000 ulimwenguni; Kwamba habari zake zina ushahidi wa kihistoria! Acha kutuletea mambo ya Occult.
 
J Kenyatta once said " when the colonists came we had the land and they had the Bible, they preached with our eyes closed, when we opened them,they had the land and we had the Bible''
 
Labda nitoe fungu kwenye hiyo hyo biblia itakujibu "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake usije ukafanana nae"
 
Inakinzana na Bible.

Vv
Quran inakinzana na biblia kwa mambo mengi tu,Biblia na Quran ni mwendelezo wa Taurat,,.wakristo wanatakiwa wafate Amri kumi alizopewa Mtume Musa(taurat) na yale alitofundisha Yesu,wakristo hawafanyi hivyo,mfano hawakati govi,wanakula nguruwe,haya yote yamekatazwa kwenye kitabu ta Tauarat(agano la kale)..

Katika Agano la kale(Tautat) Amri ya kwanza ina sema kuwa Tumuabudu Mungu mmoja Deuteronomy 6:4 ""Hear, O Israel! The LORD is our God, the LORD is one!"
Kumbukumbu la Torati 6: 4 "Sikilizeni wana wa Israel Bwana Mungu ni Mungu mmoja"

Katika bible Mark 28-31 inaongelea Yesu alipotembelewa na mwalimu wa sheria,mwalimu alimuuliza Yesu ipi ni Amri bora ya Mungu Yesu alimjibu vile vile kama Musa alivyowambia wana wa Israel "Mark 29 “The most important one,” answered Jesus, “is this: ‘Hear, O Israel: The Lord our God, the Lord is one"-""Sikilizeni wana wa Israel Bwana Mungu ni Mungu mmoja""

Mtume Mohamad katika mmoja katika wahi aliotremshiwa nae Mungu alimwambia awafundishe binadamu hivyo hivyo,Surah al-Ikhlas (quran 101) inasema "kul huwa llahu ahad" -"Wambie(sema) Mungu ni Mmoja"...

Kwahiyo utaona vitabu vyote Quran,Taurat,Injili(ya Yesu sio ya akia Matayo,Marko,....nk) vinafundisha wanadamu tunatakiwa tumuabudu Mungu mmoja,..Neno Mungu kwa Kiarabu ni "Allah" kwa kiyahudi ni " Elah"..

Amri kumi za Mungu alizoteremshiwa Musa ziliandikwa kiyahudi,Musa alikuwa myahudi kwa hiyo bilasha neno "Elah" lilitumika kama ndio jina la Mungu
 
Karibu, pia nasubiri uje na injiri iliotajwa kwenye quran.

We muislam wa wapi unasema Yesu alisulubiwa?,..na Quran imekataa hilo..!.Quran imesema "hawakumuua wala hawakumsulubu bali walifananishiwa na katika hilo bado wapo kwenye mashaka makubwa" surat Nisaa
Mkuu soma vizuri comment yangu nimesema Yesu hakufa msalabani
 
Hivi taurat umeisoma? Ninavyojua mimi quran imeanzia toka uumbaji, sasa utasemaje ni muendelezo wa taurati, je vp kuhusu vitabu vingine kama injri zaburi. Na vitabu vyenu viko wapi?
 
Hivi taurat umeisoma? Ninavyojua mimi quran imeanzia toka uumbaji, sasa utasemaje ni muendelezo wa taurati, je vp kuhusu vitabu vingine kama injri zaburi. Na vitabu vyenu viko wapi?
Taurati(sheria) ni kitabu cha Waisrael wanachokifata sasa,lakini hata hiyo Taurat ya sasa sio maneno ya Musa,kuna mtu au watu wamendika kama ilivyoandikwa biblia ya sasa,ukitaka kuziona Amri ingia kwenye google tafuta "ten commandments"

Kweli unayosema,hata wewe kwa mujibu wa imani ya kiisalam umeshaumbwa kabla hujaja duniani,Mungu anajua utaishi vipi na utakufa vipi.,Mungu kakupa akili unaitumia akili yako unavyotaka, ukifanya zuri atakulipa kwa mazuri ukifanya bara atakulipa mabaya

Injili,Zaburi,Furkan(Quran) vyote vimekuja kama wahi,na vimeanzia toka uumbaji,Mungu karetemsha wahi kwa mitume,watu wamemsikiliza nini mitume wanafundisha,aliyofundisha yameandikwa chini kama kitabu,..

Quran haikuteremshwa kama kitabu,imeandikwa kwa mfumo huo,Biblia imeandikwa kwa mfumo huo huo..Yesu(Isa) wala Muhamad hawakuandika kitabu..

Cha kujiuliza iko wapi injili,iko wapi Zaburi,iko wapi Taurat,kwasababu Injili tunayosoma sasa sio ya Isa(Yesu) ni ya (Marko,Matayo,John, nk)...,
 
Nimekulewa ndio maana nimekupa aya inayosema hawakumuua wala kumsulubu sasa huko msalaban alikuwa anafanya nini?
Kwa mujibu wa imani ya Kiislam aliepandishwa msalabani alikuwa sio Isa(Yesu) alikuwa mtu mwengine,lakini katika biblia vile vile inasema kuwa Yesu(Isa) hakufa msalabani

Mark 16:11 "When they heard that Jesus was alive and that she(maria Magdalena )had seen him, they did not believe it." -"waliposikia kwamba Yesu yuhai na kwamba Mariamu amemwona, hawakuamini"

Achana na kuran ni kitabu cha freemason
 
Na swala la Useja pia waliangalie vizuri maana ni janga kubwa sana ndani ya kanisa na mtaani
 
Mkuu hebu nipasie mie hicho kitabu kabla ya kutoa neno langu.
 
Tunaomba icho kitabu
 
Uislam haufundishi hivyo, inasema mungu alimuokoa issa bin mariam kwa kuleta mtu anaefanana na issa, huyo ndio akasurubiwa na yesu akawa kaokolewa, na yu hai mpaka leo hii nafsi yake haijaonja umauti bado.

Kasome vizuri au msikilize ostadh maalim atakuwa kaelezea vizuri zaidi.
 
Naomba uniwekee maneno hayo kuwa waislam wanakubaliana kuwa Nabii Issa alisulubiwa
Sijawahi kusoma popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…