chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Wazungu nao wanaiga lakini ni wazuri wa kujifanya kila kitu wamegundua wao,ustaarabu wa wanzo duniani,kuanzia dini na mambo mengine umeanzia Egypt,wazungu mpaka leo hii wanapinga kuwa yale magofu ya Pyramid yamejengwa na mtu mweusi..Mkuu wewe elimu yako umeisomea chuo gani rasmi ?
Ninavyojua kuanzia shule za msingi hadi vyuoni vile vya kiserikali tunajifunza mambo yaliyogunduliwa na Wazungu, ya kwetu ni kidogo mno.
Ukiangalia na kutafakari,Nabii Musa ambae alizaliwa Egypt nae alikuwa mweusi,Nabii Ibrahim alikwenda Egypt na kupewa mke Hahar(Hajir) mke nae alikuwa mweusi,Hagar aliezaa na nabii Ibrahimu wakamzaa Ismael,.Isa(Yesu) alikuwa mweusi,ukisoma biblia wasifu wa Isa(Yesu) ni kama wasifu wahabeshi(Waithiopa),nikisema weusi hapa namanisha na wasifu wa wahabeshi au wasomali,hawa watu ni weusi lakini wana nywele kama za manyoya ya kondoo...
Historia ya dunia kaandika mzungu kwa kujipendela yeye ili binaadamu wengine wamuone yeye bora,tafakari