The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Habari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
View attachment 775699
View attachment 775704
View attachment 775706
Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.
Waupeleke wapi?
Huu uzi nia yake ni njema ila kwa navyojua wafia dini wa humu kufikia page ya 3 uzi utakua umechafuka..... Wapo ibadani ngoja watoke usikimbie tu 😀😀
Huu uzi una udhaifu mmoja mkubwa, kuchukua excerpts bila kuweka concrete reference. Hayo maandiko unayosoma wewe na kuna ni conclusive ungetuwekea nasi tuone. Kukurupuka ni kubaya sana kama kulivyo kubaya kujitangazia ukristo wakati you are nothing.
 
mkuu go do your homework,so far nimeshakupa clue kubwa nenda kamalizie mwenyewe sasa kwa tafiti zaidi
unauliza maswali ya kawaida sana....
kwakua unajibu kawaida sana ndomana nakuuliza viswali ivyo
 
uliza maswali magumu,haya ya biblia ilianza kuandikwa lini almost kila mtu anajua
sawa ulisema wayahudi hawakwenda utumwani na zile ni story? je unataka kusema hizi stori ziliandikwa zaidi ya miaka elfu 3 sababu tuu kuja kuivamia palestina tuu mwaka 1948? kwani nidio kama misheni yao kwani wameunda lile taifa la israeli ambalo wewe unasema lilikua linazungumziwa kama stori tuu
 
wale wazungu wa kabila la ashkenaz wamepelekwa pale palestina na wamarekani na waingereza baada ya kunyanyaswa ulaya especially na hitler
sio wayahudi wale...wayahudi ni akina nani hiyo ni strory in its own right na inayotakiwa kufunguliwa uzi wake
 
fungua huo uzi tuone stori za kusadikika mliozoea kuzileta
 
wale wazungu wa kabila la ashkenaz wamepelekwa pale palestina na wamarekani na waingereza baada ya kunyanyaswa ulaya especially na hitler
sio wayahudi wale...wayahudi ni akina nani hiyo ni strory in its own right na inayotakiwa kufunguliwa uzi wake
kuna uzi upo mwenzio kauleta hakuweka hitimisho wayahudi wapo wapi ye kasema wapo katika mateso nataka ulete nawewe labda utatupa jibu wayahudi ni wahehe au wasukuma
 
Ukrist uliletwa na wakoloni na miongoni mwa utangulizi wa wakoloni walikuwa missioneries,traders and spy.Ni ukweli kuwa ukitaka kuijua dini ya ukristo vizuri soma vitabu vyao wazungu ingawa unapaswa kuwa makini maana ukienda kule israel watakwambia kuwa ys alizaa na maria magdalena.Sasa usipokuwa na imani na msimamo utaacha hadi kwenda kanisani.Mimi nawafahamu baadhi ya watu walioacha kwenda kanisani na hata wengine kufungua makanisa kisa tu wameujua ukweli fulani kuhusu biblia.Ndio maana baadhi ya makani hawatoi msisitizo kwa waumini wao kusoma bibl maana wanajua ut aujua ukweli.Ndio maana ys alisema ijue kweli na kweli itakuweka huru,mfumo uliopo makanisani ni wakitumwa,chunguza utaona.Nakutakia kila lakheri kweny uchunguzi wako ila nakuhakikishia kuujua ukweli utapingwa sana na viongozi wako wa dini.
 
Ndyo ubovu wa fasihi andishi kwenye imani.everyone write,Ebwana enh mungu yupo.
 
kwaio huku mbali utaki kuja au walitawanyika kutokana na uwongo wao pia halafu badae warudi kuikalia kimabavu palestina?
Mkuu mimi siongelei history ya wayahudi naona unalazimisha hilo nachomaanisha mungu ni hadithi za wayahudi hayupo
 
Mimi naamini Mungu yupo ndomana nikaleta maandiko ya biblia
mungu kama square root of negative wala hayupo ukisema unaamini mungu yupo kisa biblia imesema ni sawa na mahakama kukubali mwizi hajaiba kisa yeye mwenyewe kasema leta ushahidi uendane na biblia
 
mungu kama square root of negative wala hayupo ukisema unaamini mungu yupo kisa biblia imesema ni sawa na mahakama kukubali mwizi hajaiba kisa yeye mwenyewe kasema leta ushahidi uendane na biblia
mwanzo 1;1 hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi andiko ilo linapatikana katika biblia
 
Back
Top Bottom