The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

we ujaelewa nini katika uumbaji?
Ukisoma kitabu cha mwanzo mungu anasema usiku na mchana umeumbwa siku ya kwanza yaan hata hajui huyu mungu kuwa mchana na usiku unatokana na dunia kujizungusha ktk mhimili wake mungu gani huyo haelewi alichoumba
 
swali zuri jiulize Yesu alipaa? kama alipaa haelewi kwamba kapingana na nadharia ya kibinadamu ya kani ya uvutano ?mambo ya Mungu ni ya Mungu usichanganye na haya ya hawa waliotuletea elimu na kila kitu tunakalili cha kwao
 
Stori za kupaa kwa yesu ndio zinazidi thibitisha kama mungu hayupo alipaa alienda wapi mbele ya galaxy zote,sayari zote huyo yesu mwenyewe haelewi hata yeye kazaliwa vipi ataweza kupaa
 
kupaa kwa yesu na kuja kuambiwa galaxy zipo ulimwenguni kipi kimeanza?linganisha pia wachaga na livingstone nani wakwanza kuuona mlima kilimanjaro?
 
Ivi umefikilia kwel kabla ya kuandik haya?
Kati ya izo galaxy na Yesu yupi alie tangulia?
 
Swali langu yesu alipaa kwenda wapi huko angani unapataje kuamini hadith kama hizi ikiwa huyo yesu mwenyewe hajijui kazaliwa vp
 
jibu swali yesu alipaaa alienda wapi wakati dunia aliyokuwa anaishi yesu watu walikuwa hawajui hata kati ya dunia na jua yupi anazunguka huyo yesu hajui kazaliwa vp unakubali vipi hadithi za uwongo kama hizi mungu ni sawa na square root of negative wala hayupo
 
Swali langu yesu alipaa kwenda wapi huko angani unapataje kuamini hadith kama hizi ikiwa huyo yesu mwenyewe hajijui kazaliwa vp
naona umebadili swali, Yesu gani unaesema hajijui kazaliwa vipi? ila haujanijibu hadithi mnazoletewa na wazungu niliokuuliza kugunduliwa kwa galaxy na kupaa kwa Yesu kipi kimeanza? linganisha kati ya wachaga na yule mzungu mnaemkalili nani wakwanza kuuona mlima kilimanjaro
 
Mkuu sijabadilisha swali nimekuonyesha kuwa yesu hajui kazaliwa vipi je mm nitakubali kuwa yeye alipaa ikiwa haelewi ametokea wapi
 
Mkuu thibitisha kama mungu yupo na faida zake tujue kama maneno yako yana ukweli
unathibitishaje kitu unachokifeel inside?(do not confuse with their holy ghost and getting all spooky)
the african spirit is about the creator inside of you
ni kama wewe unavyoamini the bing bang and supernova ni chanzo cha wewe kuwepo duniani(lakini hujawahi kufikiria kuwa inawezekana gari na gari yakagongana halafu likatokea gari jipya na zuri)
 
Mkuu hujathibitisha bado kama mungu yupo naona unazunguka kama circular motion kama huwezi thibitisha hilo we habari za mungu umepata wapi nani aliyekuambia
 
Kwa hiyo ww umeshindwa kabisa kuthibitisha kama mungu yupo? Jibu nijue
nimekwambia kuamini uwepo wa mungu ni personal experience and belief
i can not show you the creator
experiences and things of nature around me vimenifanya niamini kuna divine intelligence(nyinyi mnaiita mungu)
 
Nimekuelewa kwakuwa huwezi kunionyesha kama mungu yupo ila uelewa wako na experience ndio vimekusuma kusema kuna mungu ndio maana huwa tunasema IMANI maana yake ni kukubali jambo la uwongo kuwa lipo ambalo kiuhalisia halipo
 
Biblia inasema yesu amepaa angani mara yesu kafa kafufuka mara kazaliwa bila ya baba yote hayo ni hadithi huwezi thibitisha hata mmoja kati ya hao kwakuwa ni uwongo
mi nathibitisha kwa maaandiko ya biblia we unakataa kwa hoja ipi?
 
Back
Top Bottom