The Bible Fraud & Secret in the bible...!!!

Habari za wakati huu wakuu,
Kwanza kabla yayote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA. hizi ni baadhi ya screenshots za baadhi ya pages Kwenye kitabu hiko...
View attachment 775699
View attachment 775704
View attachment 775706
Naomba tuweze kujadili swala hili kwa marefu na mapana wakuu lengo ni kugain knowledge wala sio kukashifiana kiimani. Mods pls Naomba msiuunganishe huu uzi na nyuzi zingine na kwa atakae hitaji hiki kitabu nitampatia.
Nakupa pole kwa sababu wewe si Mkristo ila ni mfwasi tu wa dini ndani mwako ni zero hakuna nuru ndio maana giza limekushida ujui unachikijua kuhusu imani iliyo kuu ya haki ukiondoa vitabu vyote bado ukristo utasimama imara msingi yake sio tu katika maandishi Bali nguvu ya Mungu ambaye hukaa ndani ya mtu,hapo zamani hakukua na biblia Hii unayo ijua ambayo vitabu vyote vinganishwa, vitabu vingi ni matokeo ya maisha na mafundisho ya Wakristo wa kwanza ambao Leo watu wanatumia kama reference lakini mwanzo ukristo ilikuwepo na hakukua na mkusanyiko wa vitabu, ukristo msingi wake sio kitabu kimesema nini ni Kristo aliye nguzo kuu,
 
Sijaelewa unavyosema biblia ni injili unamaanisha nn? But ninachoelewa injili ni vile vile vitabu vinavyohushu mafundisho ya Yesu pamoja na mitume ambavyo vinaanzia na kitabu cha mathayo mpaka vitabu vile vya Yohana ukitoa kitabu cha ufunuo. Pia wakati Yesu anaishi hapa duniani lugha iliokua inatumika ya kimataifa ilikua ni kigiriki ndio sababu vitabu vyote vya agano jipya vimeandikwa kwa kigiriki isipokua kitabu cha Mathayo ndo kiliandikwa kwa lugha ya kiebrania...Yesu alitumia maandishi ya kiebrania ambayo ni kuanzia kitabu cha mwanzo hadi malaki vitabu vya injili havikua vimeshaandikwa Yesu akiwa hapa duniani....kwaiyo unaposikia neno biblia hiyo inamaanisha mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia mwanzo mpaka ufunuo.
Biblia sio Injili,Biblia ni mchanganyiko wa vitabu vilivyoandikwa na watu zaidi ya 40 wasiojulikana,Asili mia 70 yaliyomo katika Biblia ni maneno na mawazo ya Paulo,Biblia neno la Kigiriki(Biblos) maana yake maktaba..

Injili ni yale aliyokuwa anahubiri Yesu "Gospel" kwa wana wa Israel,ambayo haipo duniani,Mungu hakutaka Injili ihifadhiwe kwasababu alijua ataleta mtume mwengine,kama vile alivyomleta Yesu baada ya Musa, Injili iliteremshwa kwa wana wa Israel waliopotea tu,sio kwa binadamu wote,haya yote yameandikwa kwenye Biblia

Lugha iliyokuwa inatumika kimataifa wakati Yesu anaishi ilikuwa "Kilatini" Lugha ya Warumi(Romans),kwa wakati huo utawala wa Kirumi(Roman Empire) ulikuwa unatawala nusu ya Ulaya,Mashariki ya kati,Afrika kaskazini,Ugiriki ilikuwa imetawaliwa na Warumi,Kigiriki kilikuwa sio lugha ya Kimataifa..

Lugha ya Yesu aliyokuwa anazungumza ilikuwa lugha inayoitwa Aramaic,ni kiyahudi kilichochanganyika na Kiarabu (Jewish Palestinian Aramaic),Yesu hajawahi kuandika kitabu,Yesu alikuwa anahubiri,yale aliyokuwa anahubiri yalikuwa yanaandikwa na wanafunzi wake au watu walikuwa wanahudhuria vikao vyake..,Mitume yote wametumia mfumo huo kufikisha yale walitumwa na Mungu kuwafikishia Binadamu

Hao akina Matthew(Matayo),John(Yohana),Luke(Luka) na wao hawakuandika hivi vitabu vya biblia,,Unaposoma biblia unasoma "Biblia kwa niaba ya Matayo,kwa niaba ya Luka nk" .Agano la kale ni vitabu wanavyotumia waisrael,Agano la kale ni Taurat(Torah) maana yake "sheria" kwa lugha ya Kiyahudi

Soma uzuri dini yako na historia yake uifahamu,utaiona njia ya haki,njia iliyonyooka
 
Leta uongo hata mmoja wa kwenye Quran mbona unaruka ruka
Ktk sura ya wa smaai wa twariq ktk aya zifuatazo
aya ya 5:embu jitazame mwanadamu ameumbwa kwa kitu gani
aya ya 6:ameumbwa kwa maji yatokayo ktk kichupa
aya ya 7:yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
swali je hayo maneno ya kweli? Je sperm zinazalishwa ktk mifupa ya mgongo na mapafu kama quran inavyosema?
 
Matatizo ya kutafsiri neno kwa neno kutoka lugha ya Kiarabu kwenda lugha nyengine ndio makosa yaliyowafanya watu wayatafsi maneno ya yesu kivyengine na watafsiri maneno ya Quran kivyengie..

Lugha ya Kiarabu na ya Kiyahudi ni lugha znazoitwa "Simetic Language",neno moja linaweza kuwa na maana nyingi...,nakuwekea Copy and paste ya hii article kama unajua kingerza basi soma kama hujui nambie nikutafsirie..

ome Christians claim that the Quran has a scientific error in it regarding sperm production

This is incorrect again. The critic focuses on the verses 86:6-7, especially verse 7 as this is where their contention is directed. The critic claims the Quran (86:7) is telling us that semen is produced between the backbone (sulb) and the ribs (tara’ib). The Arabic words mentioned by the Quran are sulb and tara’ib. Tara’ib is thought to mean ribs, though there is some dispute. However, the chief point of interest is the word sulb. Sulb can be translated as ‘loins’ or ‘backbone’ or ‘lower back’. The critic favours the translations which use the word ‘backbone’ as they use it to attack the Quran by claiming the Quran teaches that semen is produced between the backbone (sulb) and the ribs (tara’ib).
 
Hahaha nimecheka sana kumne mweupe hivi halafu unaokota okota ngoja nikupe elimu...hiyo aya inayosema binadamu anatokana na maji yalipo kwenye kichupa nashindwa kuelewa hukusoma vizuri au hukuelewa kilicho andikwa maji yenye kuchumpa (kutoka kwa kasi kwa mtindo wa kuruka hivi) na sio kichupa kwa mbegu za uzazi hutoka kwa kuruka ndio maji maji yenye kuchumpa na sio kichupa kasoma tena vizuri

Hoja yako ya pili ni kwamba Qurani imesema organ zipo kwenye ribs nayo hapa Allah anaonesha kuwa Quran hii haiwez kuandikwa na mwanadamu ila yeye aliyetuumba baada ya sayans kuendelea wamegundua kabla viungo vya uzazi havijakuwa hapo vilivyo huwa vinahifadhiwa kati ya uti wa mgongo na mbavu baadae ndio hushuka chini na bado had sasa unapokea damu kutoka kwenye mishipa ya uti wa mgogo...so Allah anajaribu kuonesha katika early stages ambazo hazionekan kwa macho anaonesha ufundi wake na yeye ndio muumbaji sayansi imeyagundua haya kipindi kuna vyombo vya uchunguzi..Na kama angesema viungo vya uzazi mahali vilipo na amesema kwenye aya nyingi ilia aya hii ndio kaonesha anajua zaid ya hayo ili mpate kuamin ukifikiri.ndio maana Allah kwenye Quran kasema mara nyingi hichi ni kitabu kwa wenye akili wanaofikiri...na Quran haisomwi kama gazeti..

Kalete nyigine nikulabue.!
 
Nilijua utakimbilia maneno yametafsiria vibaya point yangu hapa je hayo maji yanaofanya mtu atokee yapo ktk mfupa ya mgongo au mapafu? Nataka jibu lenye maana
 
Hujajibu swali je hayo maji yanaumba mtu yanatoka ktk mifupa ya mgongo na mapafu ? Jibu hilo
 
Matatizo ya kutafsiri neno kwa neno kutoka lugha ya Kiarabu kwenda lugha nyengine ndio makosa yaliyowafanya watu wayatafsi maneno ya yesu kivyengine na watafsiri maneno ya Quran kivyengie..

Lugha ya Kiarabu na ya Kiyahudi ni lugha znazoitwa "Simetic Language",neno moja linaweza kuwa na maana nyingi...,nakuwekea Copy and paste ya hii article kama unajua kingerza basi soma kama hujui nambie nikutafsirie..

Mpaka karne ya kumi na tisa mwanadamu walikuwa hawajui mtoto anapatikana vipi!?Quran imeeleza hayo katika karne ya 6

ome Christians claim that the Quran has a scientific error in it regarding sperm production

This is incorrect again. The critic focuses on the verses 86:6-7, especially verse 7 as this is where their contention is directed. The critic claims the Quran (86:7) is telling us that semen is produced between the backbone (sulb) and the ribs (tara’ib). The Arabic words mentioned by the Quran are sulb and tara’ib. Tara’ib is thought to mean ribs, though there is some dispute. However, the chief point of interest is the word sulb. Sulb can be translated as ‘loins’ or ‘backbone’ or ‘lower back’. The critic favours the translations which use the word ‘backbone’ as they use it to attack the Quran by claiming the Quran teaches that semen is produced between the backbone (sulb) and the ribs (tara’ib).
Nilijua utakimbilia maneno yametafsiria vibaya point yangu hapa je hayo maji yanaofanya mtu atokee yapo ktk mfupa ya mgongo au mapafu? Nataka jibu lenye maana
Yanatoka katika "Glands" ambazo ziko katika uti wa mgongo(Backbone/lower back),kwanza unatakiwa ujue tafauti ya Ribs = Mbavu na Mapafu = lungs..,Quran imetumia neon Sulb na Tara'ib lenye maana uti wa mgongo,Neno Sulb lina maana mbili mbavu na uti wa mgongo

"Sulb can be translated as ‘loins’ or ‘backbone’" ,kutokana na haya maandishi niliyoyaweka hapo,watu wanaotafisi Quran kutoka Kiarabu kwenda kugha nyinge wanashindwa kutafautisha kuwa neno "Sulb" vile vile lina maana "backbone"uti wa mgongo au "lower back" sehemu ya chini ya mgongo..,

Tuchukulie mfano wa neon la Kiswahili "kupiga", kupiga lina maana ya "Hit" kwa kingereza,kupiga mswaki,kupiga ngoma,kupiga mpira,kupiga mtoto nk….Neno kupiga nilimetoa maana tafauti kwa kila neno lililounganiswa nalo..
 
Sawa haya weka hiyo maana uliyosema na toa hilo walilokosea kutafsiri halafu hizo aya zitafsiri vzr kutumia maneno yako ambayo unasema wenzako walikosea
 
Mwanamke hatoi mbegu? Na hilo yai linakaa sehem gani kwenye mwili wa mwanamke?
Yai la mawanamke linajengeka kila mwezi na kama halijapokea mbegu ya mwanamme linavunjika,na ndio maana wanawake wanapata siku zao kila mwezi😀,Mkuu somo la biology ulikuwa unakimbia darasa nini?
 
Nimekuuliza mwanamke anatoa mbegu au hatoi!?? Hapa ndio tutajua nani alikimbia darasa.!
 
Mtoto anapatikana kwa mkusanyiko wa mbegu za baba na mama sijui kama unajua ovar za mwanamke zilipo....!
Mkuu huko kote nimekupata ktk aya zile nilizukupa wa smaai wa twariq ktk aya zile naomba uibadilishe hayo maneno uliyosema alafu weka yako nizione sitaki maelezo nataka zile aya
 
Yanatoka katika "Glands" ambazo ziko katika uti wa mgongo(Backbone/lower back),kwanza unatakiwa ujue tafauti ya Ribs = Mbavu na Mapafu = lungs..,Quran imetumia neon Sulb na Tara'ib lenye maana uti wa mgongo,Neno Sulb lina maana mbili mbavu na uti wa mgongo

"Sulb can be translated as ‘loins’ or ‘backbone’" ,kutokana na haya maandishi niliyoyaweka hapo,watu wanaotafisi Quran kutoka Kiarabu kwenda kugha nyinge wanashindwa kutafautisha kuwa neno "Sulb" vile vile lina maana "backbone"uti wa mgongo au "lower back" sehemu ya chini ya mgongo..,

Tuchukulie mfano wa neon la Kiswahili "kupiga", kupiga lina maana ya "Hit" kwa kingereza,kupiga mswaki,kupiga ngoma,kupiga mpira,kupiga mtoto nk….Neno kupiga nilimetoa maana tafauti kwa kila neno lililounganiswa nalo..
Sasa Mkuu, without Offence, Kama usemayo yana ukweli?.
Mbona Waislamu sio Madaktari bingwa Duniani.?.
Nini kimetokea na nini lengo lake hapo?.
 
Back
Top Bottom