Ngoj niandae nondo zangu [emoji41][emoji41]Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
Tulieni acheni vuruguOyoooooi, mambo hadharani leo
Brother, Congrats for the interview but bahati mbaya sana hujamuuliza maswali yeyote kuhusu intellijensia.Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
Hahahaha hivi nyie mnachukuliaje joseeeEti joseverest anaomba kazi ya u houseboy kwako ww na niffah mkishaoana
Mh The bold Kama ungepewa nafasi na jeshi la polisi ili upendekeze njia au mbinu zozote za kukabiliana na wahalifu wa kibiti,
Je, unahisi ungetumia mbinu gani?
-
-Hapa katikati kulitokea mzozo baina ya Korea kusini na Marekani,
Je, endapo pangetokea vita unadhani nani angepigwa? Na kwanini?
Huwezi kubanduka dada mdogo kusoma ni mbinu ya kuzidisha upendo[emoji14]Nipo kaka,naanzaje kubanduka hapa sasa? Narefresh huu uzi kila sekunde kama mwendawazimu [emoji85]
Yeah,kanifurahisha sana kwakweli. Hadi nimevunja ukimya.
SWALI LA MWISHO
Unampa asilimia ngapi Rais wetu kwa hii kasi anayokwenda nayo?
Unahisi kuna mapungufu yoyote ya kurekebisha? Kipi unampongeza na kipi unachomkosoa?
Articles za namna gani mkuu?The bold swali langu ni hili tu .
huku Tanzania na afrika kwa ujumula ni tovuti zipi huajiri online articles writing na kuwalipa kwa dollars
Ssshhhhh.... tutapigwa ban kwa kuchakachua sredi mubashara...Swahiba swahiba abraa abraa atifu atifuu....
Articles za namna gani mkuu?
Football.! Real Madrid die hard...Mkuu The bold unapenda mchezo upi kati ya basketball na football na unapenda timu gani katika mchezo uupendao?
Hahahah!! Nakumbuka mkuu... Tulikesha mpaka usiku wa manane siku ileBold ni shabiki wa kufa wa diamond kuna wakati katika tuzo za mtv nilimwambia Dimond hawezi kuchukua tuzo mbele ya wizkid akawa mbishi
Matokeo yake wizkid akabeba zote
Pamoja mkuu...Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
The bold nijibu hapa muhimu Sana wewe mshabiki wa team gani ya mpira bongo maana nifah ni yanga kwishaaa isije siku mkazichapa kwa house yanga ikifungwa[emoji1]
Hongera kwa interview. STUNTERShukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.