The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
 
Ngoj niandae nondo zangu [emoji41][emoji41]
 
Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
Brother, Congrats for the interview but bahati mbaya sana hujamuuliza maswali yeyote kuhusu intellijensia.
 
Mh The bold Kama ungepewa nafasi na jeshi la polisi ili upendekeze njia au mbinu zozote za kukabiliana na wahalifu wa kibiti,
Je, unahisi ungetumia mbinu gani?

-
-Hapa katikati kulitokea mzozo baina ya Korea kusini na Marekani,
Je, endapo pangetokea vita unadhani nani angepigwa? Na kwanini?

Hili swala la Kibiti nimewahi kuilizaa na wahusika wa vyombo vya usalama na nimetoka maoni yangu marefu sana huko...

Sasa najua watu watauliza... Wakuilize wewe kama nani.? Nadhani hili swali wakaulizwe walionifuata, walinifuata mimi kama nani??

Hili la North Korea nimewahi kuandika mpaka uzi kipindi kile mzozo umekole...

1. Nilisema licha ya kwamba japo tunaichukia Marekani, lakini uhalisia ni kwamba NK hawezi kumpiga Marekani abadani... Ni sawa na kusema Stendi United amfunge Barcelona... Miujiza inatokeaga... Ila muujiza huu unaoswa uwe muujiza haswa

2. Nikasema kuwa haiwezi kutokea vita ndani ya miezi minne ijayo kwa kuwa kadiri nilivyofuatikua hakuna mabadiliko yoyote kwenye kiwango cha DefCon ya JCS nchini Marekani.... Watu wakabisha hasa kuwa ndani ya siku chache vita itatokea... Huu mwezi wa pili sasa unaenda wa tatu... Nadhani tumeshajua nani yuko sahihi... Na nakazia kwamba mpaka mwaka huu unaisha usitegemee vita kati ya US vs NK
 
SWALI LA MWISHO
Unampa asilimia ngapi Rais wetu kwa hii kasi anayokwenda nayo?
Unahisi kuna mapungufu yoyote ya kurekebisha? Kipi unampongeza na kipi unachomkosoa?

Nampa 70%... Kwa sababu ya dhamira! Ana dhamira njema na nchi

Marekebisho; azingatie msemo wa "power corrupts" na ajiepushe na hilo.
 
The bold nijibu hapa muhimu Sana wewe mshabiki wa team gani ya mpira bongo maana nifah ni yanga kwishaaa isije siku mkazichapa kwa house yanga ikifungwa[emoji1]
 
Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
Pamoja mkuu...

Ingawa nahisi kuna maswali watu walikuwa na kiu nayo haujayauliza...

Tusubiri wadau labda watauliza...
 
Shukrani zangi za dhati kabisa zikuendee The bold , pamoja na members woote ambao tulikuwa pamoja tukifuatilia interview.
Na nisingependa iishie hapa tu, bali ningeomba uitikie wito kwa maranyingine tena endapo tutakuhitaji(bold).!!
Naamini leo umeturudisha darasani na kwakweli mimi ni mmoja kati ya watu waliofaidiika na maneno yako. Thanks alot..
Hongera kwa interview. STUNTER

Hongera The bold kwa interview

Cc Nifah
 
The bold
JIBU HAYA MASWALI TAFADHALI..
The bold

Hatuna ubaya naww tunaomba..

Tutajie jina lako la kwanza..

Kabila na sehem unakotoka..

Kapicha hata ukikainvert colour sio mbaya..

Level ya elimu..

Sorry 4 interruption.

-Mond-
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom