The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Pamoja mkuu...

Ingawa nahisi kuna maswali watu walikuwa na kiu nayo haujayauliza...

Tusubiri wadau labda watauliza...

Mkuu the bold kuna wakati flan fursa huonekana kuwa rahisi kimawazomawazo ...mfano kuandika makala ya mullah Omar niliona ni rahisi ikiwa nikiituma kwa magazeti lakin baadae ile shauku yenye kukusisitiza huyeyuka na kuwa pingamizi kwangu na kunifanya nione ugumu wa kuihamisha kutoka ubongoni kwenda kwenye maandishi .. Je ni nini hufanya iwe hivyo na ni jinsi gani naweza kusimamia wazo moja zuri likafanikiwa(hapa nieleze kwa lugha rahisi iliyonyooka yenye mifano michache) maana huwa nashindwa sanasana.
 
The bold
JIBU HAYA MASWALI TAFADHALI..
The bold

Hatuna ubaya naww tunaomba..

Tutajie jina lako la kwanza..

Kabila na sehem unakotoka..

Kapicha hata ukikainvert colour sio mbaya..

Level ya elimu..

Sorry 4 interruption.

-Mond-

Jina la kwanza: Khabib

Elimu: Nimejibu hili

Kabila: Chewa

Picha: nitaweka... Stay tuned
 
Hili swala la Kibiti nimewahi kuilizaa na wahusika wa vyombo vya usalama na nimetoka maoni yangu marefu sana huko...

Sasa najua watu watauliza... Wakuilize wewe kama nani.? Nadhani hili swali wakaulizwe walionifuata, walinifuata mimi kama nani??

Hili la North Korea nimewahi kuandika mpaka uzi kipindi kile mzozo umekole...

1. Nilisema licha ya kwamba japo tunaichukia Marekani, lakini uhalisia ni kwamba NK hawezi kumpiga Marekani abadani... Ni sawa na kusema Stendi United amfunge Barcelona... Miujiza inatokeaga... Ila muujiza huu unaoswa uwe muujiza haswa

2. Nikasema kuwa haiwezi kutokea vita ndani ya miezi minne ijayo kwa kuwa kadiri nilivyofuatikua hakuna mabadiliko yoyote kwenye kiwango cha DefCon ya JCS nchini Marekani.... Watu wakabisha hasa kuwa ndani ya siku chache vita itatokea... Huu mwezi wa pili sasa unaenda wa tatu... Nadhani tumeshajua nani yuko sahihi... Na nakazia kwamba mpaka mwaka huu unaisha usitegemee vita kati ya US vs NK
Japo kuwa STUNTER hajakuuliza maswali ya maana saana hasa deep kwa mtu wa level yako, watu kama nyie mna maswali yenu bwaanaaa, mambo ya kiungo sijui usichokipenda sijui mbuzi kwenye gunia hayo ni ya kina mond na wema, BTW amejitahidi kukuvuta hapa kwakuwa bold alikuwa anaonekana katika makala au andishi lake tu, Leo kujumuika hapa aiseee mungu mkubwa, ni sawa na diamond akafanye show ya bure uwanja wa taifa,
Ok labda mm niulize maswali yangu matatu tu ambayo sijaridhika nayo.

1. Ningependa kujua elimu yako stage kwa stage kama fundi wa tanesco anavopanda ngazi zake kumfungia mteja mpya umeme, [emoji3][emoji3][emoji3] from vidudu- ------++

2. Umesema umeanza kutumikia taifa tangu upo shule, JE KIVIPI? Kuna ukakasi nauona hapa ukizingatia na umri wako sio kivileee hadi tukuweke katka list ya waliosoma kipindi cha mwalimu....
Tungependa utuambie ni kazi gani hiyo najua unaendelea nayo, kazi gani kwa serikali gani ya kukufanya ulale hadi saa 3/4 asubuhi?

3. Hili linaweza tegemeana na swali la pili kiasi fulani, kuhusu kibiti umesema kuwa wahusika walikufuata kukuomba ushauri how? Waache mawaziri wastaafu, wabunge wa upinzani mbali na kufuatwa hawaruhisiwi hata kuzungumzia hiyo kitu. Kwanini wew?

Inatosha kwa sasa nikikumbuka jambo nitauliza tena
Cc The bold
 
Nampa 70%... Kwa sababu ya dhamira! Ana dhamira njema na nchi

Marekebisho; azingatie msemo wa "power corrupts" na ajiepushe na hilo.
samahani broo.. mimi nikiwa kama member mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nilijiunga nikiwa na miaka 16 .......swali langu ni hili.

Je ulisoma sayansi au sanaa ulipokua A level,?

shukran
 
Naomba unijibu kwa mtindo wa ndio/hapana

Wewe ni mfanyakazi wa serkali?

una 6sance kama unavotuaminisha kwa maandishi yako?

We ni mtu wa usalama?

operation bravo two 0 ilifeli sababu ya hali ya hewa?

Does your wife to be really know hwo you're?

Mfanyakazi wa Serikali: NDIO

Una 6th Sense: Hakuna ambaye hana, unatakiwa ujue tu namna ya kuitumia (ufundwe kwenye hilo)

Wewe mtu wa usalama??: Sijaelewa una maana gani??? Unamaanisha Tiss au??

Oparesheni Bravo 0: nikujibu hapa kwenye uzi huu?? Au intelligence??

Does you wife know who you really are??: Yes... Nifah knows me A-Z.! We don't have secrets
 
BAADA YA MIAKA MITANO

1. Naona moja ya kitabu changu kikiingia kwenye orodha BEST SELLER huko duniani (sitanii kwenye hili... I mean it)

2. Naona Moja ya hadithi zangu ikitengenezewa movie Hollywood (again... Sitanii)

MCHANGO WA JF

- Imenipa mke (hili la muhimu kuliko yote)

- Imenipa platform ya kuonyesha kipaji changu na audience ya kujitambulisha kwao
Nami nilipoanza kusoma maandiko yako nina matumaini siku moja nitaangalia filamu ya hollywood uliyotunga wewe.!
 
Naamini makala na riwaya zote nilizoandika ni 'Mawe'... Ila kama utahitaji nitaje chache nitakuambia...

1. VIPEPEO

2. GERANIMO

3. THE OTHER HALF

4. BEHIND THE CURTAIN

5. STORI YA KINA NORTAFBATOLLO (hii ni makala yangu ya kwanza kuiweka humu JF)

Mafanikio...

Nadhani ni mapema mno kuzungumzia mafanikio...

Labda niseme yafuatayo;

i) nimefarijika kwa kipawa changu kujulikana

ii) nimpata marafiki wengi sana na supporters kupitia group langu la WhatsApp SIMULIZI ZA THE BOLD ambao sasa wamekuwa kama familia yangu

iii) nimefungua website na inafanya vizuri sana sana www.https://jamii.app/JFUserGuide

iii) kuna member mkongwe wa JF (sio active sana) yuko US amependa ninachofanya na kuna deal fulani amenipatia huko... Soon mambo yakikamilika nitaweka hadharani iwe ushuhuda na kuwatia moyo wengine humu JF
Mdau hii ndo kali zaidi itabidi nije PM uniassist kama nanilihi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Imenibidi nikiuke kanuni tu
 
BAADA YA MIAKA MITANO

1. Naona moja ya kitabu changu kikiingia kwenye orodha BEST SELLER huko duniani (sitanii kwenye hili... I mean it)

2. Naona Moja ya hadithi zangu ikitengenezewa movie Hollywood (again... Sitanii)

MCHANGO WA JF

- Imenipa mke (hili la muhimu kuliko yote)

- Imenipa platform ya kuonyesha kipaji changu na audience ya kujitambulisha kwao
Siku hili likitimia nitafanya party hata mwenyewe chumbani. Napatwa na hasira unavochelewa kupata haki yako (mafanikio)
 
Mi maswali yangu ya ki MMU zaidi lol..

1. sisi binadam tunafanya mambo ambayo kuna siku tunawish if we could have the chance to make things right.. je kwa wewe if you could redo any past moment what would it be??

2.Tell us what turns you on about your cheupe(wifi).. anything she does either during sex or life in general...
 
Japo kuwa STUNTER hajakuuliza maswali ya maana saana hasa deep kwa mtu wa level yako, watu kama nyie mna maswali yenu bwaanaaa, mambo ya kiungo sijui usichokipenda sijui mbuzi kwenye gunia hayo ni ya kina mond na wema, BTW amejitahidi kukuvuta hapa kwakuwa bold alikuwa anaonekana katika makala au andishi lake tu, Leo kujumuika hapa aiseee mungu mkubwa, ni sawa na diamond akafanye show ya bure uwanja wa taifa,
Ok labda mm niulize maswali yangu matatu tu ambayo sijaridhika nayo.

1. Ningependa kujua elimu yako stage kwa stage kama fundi wa tanesco anavopanda ngazi zake kumfungia mteja mpya umeme, [emoji3][emoji3][emoji3] from vidudu- ------++

2. Umesema umeanza kutumikia taifa tangu upo shule, JE KIVIPI? Kuna ukakasi nauona hapa ukizingatia na umri wako sio kivileee hadi tukuweke katka list ya waliosoma kipindi cha mwalimu....
Tungependa utuambie ni kazi gani hiyo najua unaendelea nayo, kazi gani kwa serikali gani ya kukufanya ulale hadi saa 3/4 asubuhi?

3. Hili linaweza tegemeana na swali la pili kiasi fulani, kuhusu kibiti umesema kuwa wahusika walikufuata kukuomba ushauri how? Waache mawaziri wastaafu, wabunge wa upinzani mbali na kufuatwa hawaruhisiwi hata kuzungumzia hiyo kitu. Kwanini wew?

Inatosha kwa sasa nikikumbuka jambo nitauliza tena
Cc The bold

1. Nimanza darasa la kwanza shule ya Msingi Kizuiani (Mbagala)... Nilipofika darasa la tatu Nilienda kusoma Lindi, Shule ya Msingu Stadium... Hapo nimesoma mpaka la tano nikaenda kusoma Shule ya Msingi Mzumbe, Morogoro.

O'Level Nimesoma Kibaha Boys Sec School...

Advance nimesoma Tambaza High School - PCB

Chuo nimesoma Mzumbe University, Uchumi

Nakuja kujibu swali la pili...
 
Japo kuwa STUNTER hajakuuliza maswali ya maana saana hasa deep kwa mtu wa level yako, watu kama nyie mna maswali yenu bwaanaaa, mambo ya kiungo sijui usichokipenda sijui mbuzi kwenye gunia hayo ni ya kina mond na wema, BTW amejitahidi kukuvuta hapa kwakuwa bold alikuwa anaonekana katika makala au andishi lake tu, Leo kujumuika hapa aiseee mungu mkubwa, ni sawa na diamond akafanye show ya bure uwanja wa taifa,
Ok labda mm niulize maswali yangu matatu tu ambayo sijaridhika nayo.

1. Ningependa kujua elimu yako stage kwa stage kama fundi wa tanesco anavopanda ngazi zake kumfungia mteja mpya umeme, [emoji3][emoji3][emoji3] from vidudu- ------++

2. Umesema umeanza kutumikia taifa tangu upo shule, JE KIVIPI? Kuna ukakasi nauona hapa ukizingatia na umri wako sio kivileee hadi tukuweke katka list ya waliosoma kipindi cha mwalimu....
Tungependa utuambie ni kazi gani hiyo najua unaendelea nayo, kazi gani kwa serikali gani ya kukufanya ulale hadi saa 3/4 asubuhi?

3. Hili linaweza tegemeana na swali la pili kiasi fulani, kuhusu kibiti umesema kuwa wahusika walikufuata kukuomba ushauri how? Waache mawaziri wastaafu, wabunge wa upinzani mbali na kufuatwa hawaruhisiwi hata kuzungumzia hiyo kitu. Kwanini wew?

Inatosha kwa sasa nikikumbuka jambo nitauliza tena
Cc The bold
Naomba akikujibu unitag
Maswali mazuri sana mkuu
 
2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...

Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom