Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ratiba yangu (most of the days)Bold naweza sema umebarikiwa kipajo kikubwa sana cha utunzi(hongera) na hiko ndicho kilichokufanya mpaka ukatambulika humu kwa kiasi kikubwa.
Sasa basi
Tumezoea kuona mabandiko yako mengi ya kuvitia, sasa tungependa kujua Ratiba yako kwa siku nzima inakuaje? Yani kwamfano unataka kuandaa makala moja kuhusu sakata fulani la kiinteligensia,
huwa inakuchukua muda gani hasa mpaka akina pangu pakavu tuje kuliona JF?
WAKUU MMEAMBIWA MSIULIZE MASWALI MPAKA INTERVIEWER AMALIZE
TUWE WAPOLE BASI...
Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etcBig up,..!!
Tukirudi kwenye hadithi zako pamoja na riwaya unazozitunga,
najua kuna watu labda wanahisi wana vipaji au wangependa kujaribu kutunga hadithi au riwaya lakini hawajui waanzie wapi,
je ni hatua zipi unazopitia mpaka riwaya zako kukamilika?
Mkuu nakumegea tu Kuna mtu anaitwa Mange Kimambi Nifah alishawahi kuleta thread kumuhusu na alimjibu kwa I D yake halisi kwaiyo jiandae kuchambwa wewe ,mkeo na koo zenu kwa ujumla ukishakuwa verified sijui umejiandaa kisaikolojia na hilo?Sina mpango wa kujificha, coz hakuna sababu ya kufanya hivyo
Mfano watu ambao wako kwenye group langu la WhatsApp wananifahamu... Kwa jina na sura
Humu siku si nyingi nitakuwa verified na watu watanifahamu pia
Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc
Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...
Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...
Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....
Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!
Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...
Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...
Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwanza kabisa naomba utu ASSIST PICHA YAKO MAANA USHAKUA CELEBRITY..
stunter nisamehe nimepitiwa..
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukiwa na hela huogopi kuonana na demu yoyote.
Nijibu moja moja...Shukran kwa kushea ratiba zako, Sasa je,
ni hatua ipi ngumu zaidi wakati wa utungaji wa hadithi/riwaya?
Dah mkuu kwa comment hii nimejifunza kitu. Kudos! The bold nimeanza kukuelewa zaidi since sakata la Mbasha na flora ilifika mahali mpaka watu wakaamini wewe ni E.MbashaSiwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc
Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...
Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...
Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....
Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!
Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...
Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...
Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
[emoji106]Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc
Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...
Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...
Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....
Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!
Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...
Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...
Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
Vyema sana, lakini angalau ungesaidia kuelezea japo steps chache tu za jinsi unavyopata idea, jinsi ya kuwachora wahusika pamoja na mengineyo, jaribu kufanya ivyo na hakika utasaidia wengiSiwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc
Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...
Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...
Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....
Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!
Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...
Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...
Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sing'oki kwenye hii interview wallahUjumbe umefika, je,
unaamini kwenye kile watu wanakiita KUUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA?
Je, unaweza kumnunua mbuzi pasipo kumfunua?
Umejipangaje na matokeo ya baadae endapo utakachokuta sicho ulichodhania, Yaani yaliyomo hayamo..( Nifah fumba macho jamaa atiririke)
Hongera sana mkuuNijibu moja moja...
MAKALA
Ugumu upo kwenye research... Unajua hakuna tukio ambalo utaandika watu hawalijui... Kwa hiyo unatakiwa ufanye tafiti ili uje na facts mpya au hata kama ni zile zile basi uingie deep zaidi... Muda mwingine unanunua kitabu kabisa ili ujue kidetail fulani kidogo tu...
Ni kazi nzito kiasi... Kukusanya taarifa
RIWAYA/FICTION
Hii kila kitu ni kigumu...
Kuanzia namna ya kutengeneza Plot ya stori... Wahusika... Matukio... Visa... Hakuna kilicho chepesi
Unaumba kitu ambacho hakipo na unatakiwa ukifanye kiwepo na kiaminike... Si suala dogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uli
Za
Maswali acha kudeka kidume cha Dar
Vyema sana, lakini angalau ungesaidia kuelezea japo steps chache tu za jinsi unavyopata idea, jinsi ya kuwachora wahusika pamoja na mengineyo, jaribu kufanya ivyo na hakika utasaidia wengi