The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Bold naweza sema umebarikiwa kipajo kikubwa sana cha utunzi(hongera) na hiko ndicho kilichokufanya mpaka ukatambulika humu kwa kiasi kikubwa.
Sasa basi
Tumezoea kuona mabandiko yako mengi ya kuvitia, sasa tungependa kujua Ratiba yako kwa siku nzima inakuaje? Yani kwamfano unataka kuandaa makala moja kuhusu sakata fulani la kiinteligensia,
huwa inakuchukua muda gani hasa mpaka akina pangu pakavu tuje kuliona JF?
Ratiba yangu (most of the days)

Naamka 8AM (yes saa mbili asubuhi... Siku nyingine mpaka saa nne)

Kuanzia saa 9AM mpaka muda wa jioni... Nawajibika kwa Taifa

Kuanzia 6PM mpaka 9PM huwa niko free tu! Nafanya mambo mengineyo na kumpa Cheupe muda wa kuwa pamoja kuongea na kupanga mambo yetu...

Kuanzia 9/10PM mpaka 1AM/2AM kila siku lazima niandike

Ukubwa wa makala ndio unategemea natumia muda gani kumaliza kuindika... Nyingine siku 3 nyingine mpaka 2 weeks

Lakini kuna stori kubwa kama VIPEPEO nilitumia zaidi ya miezi 2 kuiandika
 
Shukran kwa kushea ratiba zako, Sasa je,
ni hatua ipi ngumu zaidi wakati wa utungaji wa hadithi/riwaya?
 
Naomba unijibu kwa mtindo wa ndio/hapana

Wewe ni mfanyakazi wa serkali?

una 6sance kama unavotuaminisha kwa maandishi yako?

We ni mtu wa usalama?

operation bravo two 0 ilifeli sababu ya hali ya hewa?

Does your wife to be really know hwo you're?
 
Pia usisahau hili swali la nyongeza ni riwaya /hadithi ipi iliyowahi kukupa mafanikio zaidi ya zingine? Unaweza kushea nasi hayo mafanikio?
 
Big up,..!!
Tukirudi kwenye hadithi zako pamoja na riwaya unazozitunga,
najua kuna watu labda wanahisi wana vipaji au wangependa kujaribu kutunga hadithi au riwaya lakini hawajui waanzie wapi,
je ni hatua zipi unazopitia mpaka riwaya zako kukamilika?
Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc

Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...

Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...

Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....

Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!

Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...

Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...

Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
 
Sina mpango wa kujificha, coz hakuna sababu ya kufanya hivyo

Mfano watu ambao wako kwenye group langu la WhatsApp wananifahamu... Kwa jina na sura

Humu siku si nyingi nitakuwa verified na watu watanifahamu pia
Mkuu nakumegea tu Kuna mtu anaitwa Mange Kimambi Nifah alishawahi kuleta thread kumuhusu na alimjibu kwa I D yake halisi kwaiyo jiandae kuchambwa wewe ,mkeo na koo zenu kwa ujumla ukishakuwa verified sijui umejiandaa kisaikolojia na hilo?
 
Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc

Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...

Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...

Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....

Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!

Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...

Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...

Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda

hii ndo nilikuwa nahitaji mkuu sasa nimeelewa vizuri ngoja nicopy na kuweka kumbukumbu
THIS IS VERY INSPIRATIONAL

SHUKURAN SANA STUNTER KWA KUTULETEA THE BOLD
 
Shukran kwa kushea ratiba zako, Sasa je,
ni hatua ipi ngumu zaidi wakati wa utungaji wa hadithi/riwaya?
Nijibu moja moja...

MAKALA

Ugumu upo kwenye research... Unajua hakuna tukio ambalo utaandika watu hawalijui... Kwa hiyo unatakiwa ufanye tafiti ili uje na facts mpya au hata kama ni zile zile basi uingie deep zaidi... Muda mwingine unanunua kitabu kabisa ili ujue kidetail fulani kidogo tu...

Ni kazi nzito kiasi... Kukusanya taarifa

RIWAYA/FICTION

Hii kila kitu ni kigumu...
Kuanzia namna ya kutengeneza Plot ya stori... Wahusika... Matukio... Visa... Hakuna kilicho chepesi

Unaumba kitu ambacho hakipo na unatakiwa ukifanye kiwepo na kiaminike... Si suala dogo
 
Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc

Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...

Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...

Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....

Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!

Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...

Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...

Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
Dah mkuu kwa comment hii nimejifunza kitu. Kudos! The bold nimeanza kukuelewa zaidi since sakata la Mbasha na flora ilifika mahali mpaka watu wakaamini wewe ni E.Mbasha
 
Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc

Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...

Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...

Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....

Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!

Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...

Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...

Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
[emoji106]
 
Vyema sana, lakini angalau ungesaidia kuelezea japo steps chache tu za jinsi unavyopata idea, jinsi ya kuwachora wahusika pamoja na mengineyo, jaribu kufanya ivyo na hakika utasaidia wengi
 
Ujumbe umefika, je,
unaamini kwenye kile watu wanakiita KUUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA?
Je, unaweza kumnunua mbuzi pasipo kumfunua?
Umejipangaje na matokeo ya baadae endapo utakachokuta sicho ulichodhania, Yaani yaliyomo hayamo..( Nifah fumba macho jamaa atiririke)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sing'oki kwenye hii interview wallah
 
Nijibu moja moja...

MAKALA

Ugumu upo kwenye research... Unajua hakuna tukio ambalo utaandika watu hawalijui... Kwa hiyo unatakiwa ufanye tafiti ili uje na facts mpya au hata kama ni zile zile basi uingie deep zaidi... Muda mwingine unanunua kitabu kabisa ili ujue kidetail fulani kidogo tu...

Ni kazi nzito kiasi... Kukusanya taarifa

RIWAYA/FICTION

Hii kila kitu ni kigumu...
Kuanzia namna ya kutengeneza Plot ya stori... Wahusika... Matukio... Visa... Hakuna kilicho chepesi

Unaumba kitu ambacho hakipo na unatakiwa ukifanye kiwepo na kiaminike... Si suala dogo
Hongera sana mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom