Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Ni vizuri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!! Ukiwa na milioni 500 nakuachia IDKabla hatujahama hebu Tueleze
-Kwamfano ukiambiwa ukadirie thamani ya ID yako ya JF, unahisi itafika kama tsh ngapi hivi?
Je, endapo mtu atafika dau la kiasi fulani, unaweza kuiuza?
Pole sana Aisee, ila usichoke kuwaamini wale ambao hawajakivunjia uaminifu, Sometimes we win, sometimes we learn!!Nishawahi kutapeliwa... Yes
Ila ni kwa sababu ya uaminifu tu... Tena mshkaji ndio alinitapeli
2014 nilikuwa nataka assist kutoka bank kama milioni 15 au 20 kuna project fulani nilikuwa naifanya so nataka kuipanua zaidi...
Jamaa huyo mtoto wa mjini wale Loan Officers ni watu wake wa karibu... Sasa si unajua bank zetu magumashi mengi... Unataka loan japo ufailipa ila lazima utoe rushwa ndio upewe...
Basi jamaa ndio akawa kiunganishi kati ya mimi na wale loan officers... Kila siku lete laki wanataka, sijui kuna nini lete laki mbili... Mara kesho kutwa laki nyingine... Mpaka zikafika laki 7
Kumbe wajamaa wanajenga heshima baa tu
Hiyo 15M/20M sijaipataga mpaka leo...
Ila nilimsamehe tu mwana... Now tuko fresh tu! Mototo wa mjini so namtumia kwenye mambo mengi...
Now sijui iweje mpaka mtu anitapeli
Mkuu haya maswali technical sana... Yanahitaji mjadala wa kina, sidhani kama hii interview itatoshaEnhee umejileta mwenyewe...
Sasa nijibu haya maswali yafuatayo-
Tunafahamu kwasasa uchumi kidogo umeyumba hasahasa kwenye mifuko ya watu wengi, na vilevile fursa zimekuwa ngumu zaidi, je
unaweza kushea au kutoa sadaka idea yoyote ile ya kibiashara au fursa uliyonayo(uliyoiona)?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajifanya chibu eeeee?Hahaha!! Ukiwa na milioni 500 nakuachia ID
The bold
Kipi ni sahihi kwako kati ya serikali kumiliki fedha nyingi kisha wananchi hawana kitu, au wananchi kuwa na fedha nyingi alafu serikali haina kitu? Why?
(Ningependa ujibu hili swali kitaalamu hasahasa katika kubalance hali ya maisha)
Mkuu haya maswali technical sana... Yanahitaji mjadala wa kina, sidhani kama hii interview itatosha
Mkuu tulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa unakera japo hakwambii but hakuna namna ni interview.
Swahiba swahiba abraa abraa atifu atifuu....We jishaue tu wakati bado hujamalizia mahari??
Nifah unamuona jamaa amegeuka makubaliano ? Si nlimwambia atakuita mchumba akimaliza mahari??
Hapana... not to zis eksitent
Wanaukoo lazima tuiweke hii font fent.
Samahani kwa kuvamia intavyuu... ila mimi sijaribiwi.
Mkuu tulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu sasa kama nimewahi kufanya kazi za hatari unadhani nitakwambia hahahahaPole sana Aisee, ila usichoke kuwaamini wale ambao hawajakivunjia uaminifu, Sometimes we win, sometimes we learn!!
Anyway
Hebu naomba utuambie kazi gani ya hatari ambayo umewahi kuifanya na ni kazi gani ya hatari ambayo huwezi kuifanya?
&
-tukiachana na kipaji cha utunzi,
je unakipaji gani kingine ambacho pengine sisi hatukijui?
Chini ya milioni 500 siuzi mkuu hahahHahaha usichukulie masikhara watu tutapanda bei aisee... Wengine tumeshapokea hela za mgao wa makinikia(joke)
NAOMBA TWENDE HARAKA HARAKA NA HAYA MASWALI YA KUMALIZIA ILI NIWAPE FURSA YA KUULIZA MASWALI
Una malengo gani baada ya miaka mitano hususan kwenye ishu zako za kikazi?
-JF ina mchango wowote kwenye maisha yako? Hebu tuambie, ni yepi hayo?
-Kitu gani unajutia kwenye maisha yako?