The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

The Bold Interview: Maisha, Intelijensia na mengi usiyoyajua

Status
Not open for further replies.
Nishawahi kutapeliwa... Yes

Ila ni kwa sababu ya uaminifu tu... Tena mshkaji ndio alinitapeli

2014 nilikuwa nataka assist kutoka bank kama milioni 15 au 20 kuna project fulani nilikuwa naifanya so nataka kuipanua zaidi...

Jamaa huyo mtoto wa mjini wale Loan Officers ni watu wake wa karibu... Sasa si unajua bank zetu magumashi mengi... Unataka loan japo ufailipa ila lazima utoe rushwa ndio upewe...

Basi jamaa ndio akawa kiunganishi kati ya mimi na wale loan officers... Kila siku lete laki wanataka, sijui kuna nini lete laki mbili... Mara kesho kutwa laki nyingine... Mpaka zikafika laki 7

Kumbe wajamaa wanajenga heshima baa tu

Hiyo 15M/20M sijaipataga mpaka leo...

Ila nilimsamehe tu mwana... Now tuko fresh tu! Mototo wa mjini so namtumia kwenye mambo mengi...

Now sijui iweje mpaka mtu anitapeli
Pole sana Aisee, ila usichoke kuwaamini wale ambao hawajakivunjia uaminifu, Sometimes we win, sometimes we learn!!
Anyway
Hebu naomba utuambie kazi gani ya hatari ambayo umewahi kuifanya na ni kazi gani ya hatari ambayo huwezi kuifanya?
&
-tukiachana na kipaji cha utunzi,
je unakipaji gani kingine ambacho pengine sisi hatukijui?
 
Enhee umejileta mwenyewe...
Sasa nijibu haya maswali yafuatayo-
Tunafahamu kwasasa uchumi kidogo umeyumba hasahasa kwenye mifuko ya watu wengi, na vilevile fursa zimekuwa ngumu zaidi, je
unaweza kushea au kutoa sadaka idea yoyote ile ya kibiashara au fursa uliyonayo(uliyoiona)?
Mkuu haya maswali technical sana... Yanahitaji mjadala wa kina, sidhani kama hii interview itatosha
 
The bold
Kipi ni sahihi kwako kati ya serikali kumiliki fedha nyingi kisha wananchi hawana kitu, au wananchi kuwa na fedha nyingi alafu serikali haina kitu? Why?
(Ningependa ujibu hili swali kitaalamu hasahasa katika kubalance hali ya maisha)

Mkuu haya maswali technical sana... Yanahitaji mjadala wa kina, sidhani kama hii interview itatosha
 
We jishaue tu wakati bado hujamalizia mahari??

Nifah unamuona jamaa amegeuka makubaliano ? Si nlimwambia atakuita mchumba akimaliza mahari??

Hapana... not to zis eksitent

Wanaukoo lazima tuiweke hii font fent.

Samahani kwa kuvamia intavyuu... ila mimi sijaribiwi.
Swahiba swahiba abraa abraa atifu atifuu....
 
NAOMBA TWENDE HARAKA HARAKA NA HAYA MASWALI YA KUMALIZIA ILI NIWAPE FURSA YA KUULIZA MASWALI
Una malengo gani baada ya miaka mitano hususan kwenye ishu zako za kikazi?

-JF ina mchango wowote kwenye maisha yako? Hebu tuambie, ni yepi hayo?

-Kitu gani unajutia kwenye maisha yako?
 
Pole sana Aisee, ila usichoke kuwaamini wale ambao hawajakivunjia uaminifu, Sometimes we win, sometimes we learn!!
Anyway
Hebu naomba utuambie kazi gani ya hatari ambayo umewahi kuifanya na ni kazi gani ya hatari ambayo huwezi kuifanya?
&
-tukiachana na kipaji cha utunzi,
je unakipaji gani kingine ambacho pengine sisi hatukijui?
Mkuu sasa kama nimewahi kufanya kazi za hatari unadhani nitakwambia hahahaha

-

'Nachora' sana pia mashahiri ya muziki... Sana sana! Mtunzi mzuri wa nyimbo... Kuna madogo wa rockertz records (kule ametokea belle 9) nimewachorea sana mashahiri... Enzi hizo lakini 2008 - 2011... Siku hizi sifanyi sana hiyo
 
Mh The bold Kama ungepewa nafasi na jeshi la polisi ili upendekeze njia au mbinu zozote za kukabiliana na wahalifu wa kibiti,
Je, unahisi ungetumia mbinu gani?

-
-Hapa katikati kulitokea mzozo baina ya Korea kusini na Marekani,
Je, endapo pangetokea vita unadhani nani angepigwa? Na kwanini?
 
Baada ya kujibiwa maswali hayo hapo juu,
basi milango itafunguliwa kwa yeyote mwenye swali, hoja, dukuduku au maoni (hata kuhusiana na interview hii)
................
KARIBUNI
 
The bold swali langu ni hili tu .

huku Tanzania na afrika kwa ujumula ni tovuti zipi huajiri online articles writing na kuwalipa kwa dollars
 
The bold Usisahau kulijibu lile swali letu tulilosema utalijibu mwishoni,
na ingefaa zaidi kulijibu kabla ya kuanza kujibu maswali ya members wenzangu...
sasa ni zamu yangu namimi nianze kusoma maswali na majibu yatakayoendelea katika hii thread
 
NAOMBA TWENDE HARAKA HARAKA NA HAYA MASWALI YA KUMALIZIA ILI NIWAPE FURSA YA KUULIZA MASWALI
Una malengo gani baada ya miaka mitano hususan kwenye ishu zako za kikazi?

-JF ina mchango wowote kwenye maisha yako? Hebu tuambie, ni yepi hayo?

-Kitu gani unajutia kwenye maisha yako?


BAADA YA MIAKA MITANO

1. Naona moja ya kitabu changu kikiingia kwenye orodha BEST SELLER huko duniani (sitanii kwenye hili... I mean it)


2. Naona Moja ya hadithi zangu ikitengenezewa movie Hollywood (again... Sitanii)



MCHANGO WA JF

- Imenipa mke (hili la muhimu kuliko yote)

- Imenipa platform ya kuonyesha kipaji changu na audience ya kujitambulisha kwao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom