Eish eish This is so DEEP - it came too late
Kwanza nikupongeze mkuu sana
The bold. Si kwasababu unajua sana kututeka akili ktk makala zako, hapana!! Bali nikupongeze katika kupambana kwako kutengeneza jina
Person branding. That's the most difficult thing I may say - kwa sababu through the process unapata maadui wengi sana, sana, sana,for no any tangible reason. Naamini Bold umepata haters wengi - just because u can write and rewrite. So swali langu la kwanza ni 1.
How do you deal with haters (usinambie unanyamazaga hahaa)
Mimi nilikua siandiki sana hapa JF - apparently nilikua naichikulia JF so second rated. Sikua nawaza kama nitakua napost post vitu, hata sikua nawaza kama JF itaeza kua inanichukulia muda... But kwasasa nahisi JF napita kuliko medias zingine zile when I am free. Na JF naipa tu heshima yake unconditionally kuweza kusimama hadi leo, coz najua wanatafutwa sana na watawala. Lkn JF hii hii ambayo mimi naikubali ilikuaje, kivipi
ikakumistreat wewe bold. Kuna kipindi uliingia mzozo ukachezea ban za hapa na pale.
Like The Bold alifanya nini hata apate kupishana na uingozi wa JF?!
Bold kuna siku nilikua naongea na Nifah whatsapp (sijui kama alikwambia). And actually kitu ambacho nilikua namwambia ni kua nataka kuandika uzi kuhusu huyu The Bold. Ni vile ubusy hata sasa sijaandika huo uzi. Presumably huo uzi nilitaka nigusie The business part ya kipaji ukichonacho... what I see and what I think. Mi naona unatembea na utajiri mkubwa sana juu ya kichwa chako... swali la 3 na la mwisho - as for now until now umeshawahi kufikiria kuturn kipaji chako kua a money printing machine... unaona kina messi na Ronaldo, they were just ordinary local players wakiwa na pesa miguuni mwao - leo wapo kwenye clubs kubwa wanaprint tu pesa watakavyo... vipi kuhusu hilo/wewe??
Kuna post nimeziruka, kama ulishajibu huko nyuma u may as well ignore my qns. Nitapitia uzi pole pole.
Zaidi ya yote nikupongeze sana mkuu the bold kwa kujua kututeka, maana si kwa sumu hizi unazotulisha, japo sijasoma threads hizi mpya mpya - lkn naamini mpk huu mwezi uishe ntakua nimepitia post zote. Hongera sana Sheikh Khabib!!
Chief,
Asante sana kwa compliments na pongezi za dhati...
1. Dealing with haters
Hili suala mwanzoni lilinipa shida sana... Kama ukisoma nyuzi zangu za mwaka Jana mwanzoni na mwaka juzi kuna muda mpaka nilitaka niache kuandika kabisa... Baadae nikaona nianze kuwastudy hawa haters... Kwa nini wanakuwa negative kiasi hiki?
Yani mimi humu huwa situkani, sibishani na mtu, sigombani, simuandami mtu, simchukii mtu... Najitahidi kadiri nijavyoweza kumuheshimu kila mmoja... But still kuna watu wanachuki...
Nikajisumbua kuanza kuwajua kwa undani... Kwanza kabisa nikajua tatizo lao ni WIVU ambao unatokana na Insecurities walizonazo...
Unajua kuna watu hawako satisfied na maisha yao, sasa wakikuona wewe unapeta tu wakati wao wako wamesimama pale pale kila uchwao, wanatengeneza chuki juu yako...
Mwanzoni nikawa nawaignore... Nikahisi labda watajirekebisha... Lakini hola! Nikaona bado wanaendelea... Watu wenyewe wako watano tu ndio vinara wa kampeni ya kumuandama The Bold... Tena mmoja ni binti anatumia IDs mbili
Nikasema 'no sweti'! Nikaanza kuwakimbiza kimya kimya... Unajua ile kama mwizi amekuibia usiku alafu umuitii mwizi, unamkimbiza tu kimya kimya ili ukimpata umfanye kitu ambacho hatothubutu kwenda kusimulia...
Nimewakimbiza kimya kimya for sometime... Plotting, planning... Nia yangu ni kuwaexpose rangi zao halisi zilivyo... Unajua kama watu wanaweza kuwa wapuuzi ndani ya JF that means hata mtaani wako hivyo ... Lazima wana makando kando
Hatimaye mwanzoni mwa wiki iliyopita nimewadungua wawili... Rangi zao halisi zimejulikana... Matapeli... Wamekazania kumuandama The Bold kumbe ni matapeli wakubwa humu... Niliombwa huko PM nitoe ushahidi nikamwaga ushahidi wa kutosha tu...
Mmoja amepewa ban (nadhani ni life ban) na mwingine amesema hataki tena kuwa mchangiaji humu...
Kwa nini nimefanya hivi??? Kuna haters una wapuuza... Lakini kuna wengine ukiwaona wamejipa mission kabisa ya kukuandama inabidi uwashughulikie kwa staili ile ile ya kihuni ambayo wanakufanyia wewe...
Sasa wamebaki wawili... Kuna huyo binti na mwenzake!! Alafu huyu binti ni mama ana watoto kabisa masikini ya Mungu, yeye hajui ila namjua mpaka anapokaa yani... Ana changamoto lukuki mwenye maisha yake halisi lakini yuko JF anashinda kumuandama The Bold ambaye hajawahi kumkosea chochote... Nawalia timing tu! Anytime nadeal nao
Bwamdogo Young dee kwenye wimbo wake # BongoBahatiMbaya kuna mstari anasema...
"...ukiniona kama tozi, niguse nije na kikosi..."
2. MGOGORO NA JF
Yeah kuna kipindi nilichezea ban sana aisee mwezi ule April nadhani...
Ifike muda wajiamini na watuheshimu sisi member wao. Na watuache tufanye harakati zetu tukitaka kupiga hatua za kupeleka mbali vipaji vyetu...
KUHUSU KUWA KIBIASHARA
Yeah... Nifah aliniambia kuhusu hiyo convo yenu kama one month ago!
Unajua mkuu ili mtu mwenye kipaji unufaike na kipaji chake unapaswa uambatane na mtu mwenye jicho la kibiashara... Mwenye jicho la kutengeneza pesa! Mara nyingi wenye vipaji tunanyimwa jicho la biashara...
Ndio maana Ronaldo yuko na Jorge Mendez
Diamond yuko na Sallam SK
Etc
Jibu langu ni fupi tu mkuu...
Kwa heshima na taadhima, Mr. ONTARIO, najua you are a business tycoon... Be my 'Jorge Mendez'! Najua una akili ya biashara zaidi yangu... Tukiunganisha hiki kipaji changu na huo unguli wako wa biashara... Tunafanya mapinduzi Tanzania.
So, seriously! Mbele ya wanaJF wote nikuombe... Lets take this to another level...
Mwisho kabisa nikushukuru kwa ukarimu wako na ushirikiano wako na kuwa karibu na rafiki wa dhati kwetu familia ya The Bolds...
Salute chief!