Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
umeiva mkuu..!!..Uzalendo wa kiwango cha juu zaidi ni kutoa utumishi kwa nchi yako.
You don't need to be one of them...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeiva mkuu..!!..Uzalendo wa kiwango cha juu zaidi ni kutoa utumishi kwa nchi yako.
You don't need to be one of them...
Yaani 2006 uko cha tatu?Siwezi kusema kuna mbinu fulani kwa sababu uandishi ni kipaji kama ilivyo Mpira, kuimba, acting etc
Jambo la msingi unatakiwa uwe na passion... Andika kwa sababu unawiwa moyoni mwako kufanya hivyo... Yaani unajiona alive ukiwa unaandika... Usiandike ili upate hela au fame... Huwa nasemaga kuwa ukifanya kitu sahihi fame na hela zitakufuata tu... So usifukizie hela au fame... Focus on you writting and be passionate about it... Its will take time mpaka watu wakuelewe...
Mfano mimi Riwaya yangu ya kwanza kuandika ilikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"... Nilikuwa naandika nina fans watatu tu ndio wanajua naandika na ndio wanafutilia... Alikuwa binamu yangu anaitwa Aziza na marafiki zangu wawili...
Imagine tangu 2006 leo ndio watu wanaelewa The Talent I have....
Ndio maana nasema lazima uwe passionate about it!
Pili... Hardwork! Kipaji pekee hakitoshi... You also need to be a hard worker... Unapoandika zaidi ndio unakuwa bora zaidi...
Our brain is like a muscle! The more you exercise it, the stronger it gets...
Mwisho... Kuwa na subira! Usikate tamaa... Siku moja nguvu zote hizo unazowekeza sasa zitazaa matunda
Mkuu kuna kichwa kimoja umekisahau ila sio mshana Jr maana jamaa kakaa kiuchawi tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]The bold & ONTARIO
Hivi vichwa viwili hv hatari sana..
Natamani siku moja mkae pamoja mfanye deal la kibabe aisee maana nyote mpo vz kichwan sio kama mm kula kulaa nasubir Assist pm..
Yule wa kawaida tu..Mkuu kuna kichwa kimoja umekisahau ila sio mshana Jr maana jamaa kakaa kiuchawi tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Uliza weweBrother, Congrats for the interview but bahati mbaya sana hujamuuliza maswali yeyote kuhusu intellijensia.
Nakuona shemela,jinsi unavyo pambiapambia.it's your time to shine.The best comment ever!
#MyHubbyBaeIsGenius# [emoji119]
Mkuu Kama mpaka sasa unafanya kazi ya serikali na unaamka hadi saa 4, a hope ni kitengo nyeti sana. jibu lako ni la kironaldo sana.2. Ukakasi unakujaje Mkuu?? Mtumishi yeyote wa serikali anatumikia Taifa... Chuoni nilipewa mchongo flani tu hivi... Hakuna la kuogofya...
Naamka saa 3/4 kwa sababu nachelewa sana kulala 7/8... Naandika
Kwamba usha mula bila ndoa?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Her lips
Hed body jinsi ilivyo!
And her laugh..
During sex...mmmmhh dada kuna watoto humu hahah
Email yangu ya yahoo hadi sasa sina uwezo wa kuitumia. Hackers washa imiliki, nimewaachiaUnaweza kutuelezea hizo attacks kutoka kwa hackers zilivyokuwa na jinsi ulivyozicontain ili utusaidie na ss wengine tusiweze kudukuliwa?
[emoji7] [emoji7] [emoji7] jf connecting peopleNaomba kupitia uzi huu nijibu seriously kuondoa doubts au wanaodhani tunachangamsha genge...
Mimi na Nifah sio kwamba tu ni wapenzi bali ni wachumba... Soon mtakula pilau la harusi
Mengine nitaeleza kadiri mahojiano yatakavyoendelea
Hakika mkuu,ukiunganisha dots unaweza kuelewa kwanini mkuu the bold kajibu alivyo jibu.Usijali mkuu, wajanja tushapata hata pakuanzia kwa Leo inatosha, acha nisome
Kupitia haya maelezo tu nimejifunza kitu ,dah mkuu ni kisa chenye funzo sana , wewe jamaa una nidhamu ya hali ya juu , sio mvivu, na mwenye kujitambua na ndiyo maana Mzee aliona kitu kwako .Mmmhh my sista from another mother... Haya maswali kuntu hahaha
1. Nimeeleza kuwa nilipata mchongo kwa serikali kipindi niko chuo Mzumbe... Kuna jamaa flani, Lecturer ndio aliniconnect kwenye hiyo mishe anaitwa Leonard (not his real name, trying to conceal his identity)... Over time dizaini ndio akawa kama 'Mentor' wangu... Nilijifunza a lot of thing from him... Yani nahisi alisaidia kushape my mind and the way I think na personality...
Now ilikuja kipindi akawa anaumwa... Alipata tatizo la kidneys... Alizidiwa sana sana to the point akwa anashindwa kutimiza majukumu yake... So I had to help him kutimiza majukumu yake fulani fulani ya kikazi...
Kuna siku alipata nafuu kabisa tukahisi anapona sasa...
Kulikuwa na trip flani hivi kwenda mwanza alikuwa anatakiwa aende... So nikasema sio kesi ngoja niende kwa niaba yake... But jamaa akawa ananisisitiza kuwa potezea bhana... Pumzika... Live a little, kazi ipo tu... But I was overzealous, too ambitious... Wanted to impress Tue bosses... So I made that trip... But nilipokuwa naondoka akaniambia "..khabib usichelewe mwanangu... There is something real important I need to share with you.!"
Nikiwa mwanza huku nyuma jamaa akazidiwa sana ikabidi mpaka achukuliwe na ambulance kutoka Mzumbe chuo mpaka Muhimbili...
Akiwa muhimbili familia yale wakanipigia... Wanasema "rudi fasta mzee anataka kuongea na wewe!"
Kesho yake nikafunga safari kutoka mwanza to dar... Nikiwa njiani mzee akafariki...
Mpaka leo nikikumbuka hili suala linanipa tabu sana... Alikuwa anataka kuniambia nini??? Kwenye pumzi yake ya mwisho alikuwa na secret ambayo alihisi ni mimi anapaswa kunieleza what was it???
That's my biggest regret kwenye maisha... I should'nt have made that trip to mwanza... I shouldnt have been overzealous namna ile...
Will never get a chance kujua hicho kitu!! Mbaya sana kuishi na feeling ya namna hiyo...