The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Unaamisha nini mkuu? Maana nimejaribu kuwaza nikashindwa kung'amua hasa ulichodhamiria kusema.
Nifah ni hv The Bold ni mtunzi mahiri, asije kuwa aliwaza before hajakuaproch ili ili story iwe na wahusika live, nikimaanisha wewe mwenyewe na the bold. Nataka iwe forever bond, vinginevyo,Nitasimamia adhabu yk, copy?
 
The Bold & Nifah,nasubiria kadi ya kuchangia na mualiko wa ubwabwa!

Swali kwa The Bold: Lile jina lako halisi (ulilopewa na wazazi wako) litabadilika? au bibie Nifah ndo atabadili jina lake kukufuata?
 
I cant believe its six moths now we are watching this soap opera....
 
Kila la kheri lakini naamini hamjawahi kukutana ni PM tu... Sasa cku ya kukutana nae ukakuta ni mwenzio halafu anatokea pale kwenye ukuta mrefuuu wenye maghorofa mengi ndani.. Hapo chachaaa.. Na kama ulidis kwenye post zako mmmhhh
 
The bold/nifah hongereni sana wakuuu.ila najaribu kuvuta picture siku ya kwanza kupeana miadi ya kuonana(kama hamkuanza kwanza kutumiana pictures)hakukua na kutegeana kufika kwanza eneo la tukio?,ilikuepuka shambulio la moyo[emoji2] .

Wanyamwezi husema bhangi bhulyaa bhangi bhutumula misooo,itabidi na mimi shemeji/wifi yenu wa kiromije nimshawishi ajiunge jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

I wish you the best nyie viumbe.
 
Kwanza hongereni na mmefanya ionekane vitu/mahusiano yanaweza jengwa popote lakini kubwa tunaomba halali ipite ku imarisha mlichoanzisha pia nahisi upande wa "Nifah" ni "Nikah" inahusika sijui kwa Mr Bold au itakuwa kwa mkuu wa Wilaya?
 
Hahahaaaaaaa mkuu umeanza vituko vyako,picha zilitangulia kwanza kabla ya kuonana.
Ila Bold ndiye aliyetangulia eneo la tukio...na kisheria inatakiwa iwe hivyo,mwanaume ndiye anayepaswa kutangulia eneo la tukio....

Basi mtoto wa kike nikafika na mikogo kibao ila miaibu mingiiiiii hahaha Bold alihisi kaonana na mzungu heheheeee [emoji6]

We wish you best of lucky bestie,one love.
Kama namuona the bold alivyofungua picture yako kwa kasi ya mwewe anapo nyakua kifarangaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahaaaaaaa mkuu umeanza vituko vyako,picha zilitangulia kwanza kabla ya kuonana.
Ila Bold ndiye aliyetangulia eneo la tukio...na kisheria inatakiwa iwe hivyo,mwanaume ndiye anayepaswa kutangulia eneo la tukio....

Basi mtoto wa kike nikafika na mikogo kibao ila miaibu mingiiiiii hahaha Bold alihisi kaonana na mzungu heheheeee [emoji6]

We wish you best of lucky bestie,one love.
Ulivofika eneo la tukio mlikumbatiana?[emoji85]
 
Daa! Safi sana nimependa namna uhusiano wenu ulivyoanza atleast mnakitu cha kusimulia, kazi mliyonayo ni kuthibitisha kwmb uhusiano unaoanzia kwenye mitandao unaweza kuleta very bold and strong familia
 
Wakati anazisubiria aliloa jasho mwili mzima,alipoziona usiambiwe kilichofuata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wiiii unanipaga raha sana
 
Back
Top Bottom