The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Ukishamuoa umpige marufuku kuzurura JF..sawa bold?
Hahahahaha..!! Kama ulikuwepo mkuu

Bado harusi, ila namdhibiti sana asiwe anazurura humu... Nadhani unaona siku hizi amekuwa adimu flani hivi humu anaweza kukaa hata siku tatu hajaingia JF
 
Daahh the bold mie ni msomaji wako yaani kwa kifupi nafuatilia sana thread zako kila niendapo huwa nakaa nazisoma sana...mungu wajalie kila lililo jema muishi maisha marefu yenye furaha tele
Shukrani sana mkuu cadabraa kwa pongezi...

In shaa Allah mwenyezi Mungu atujalie
 
Nimesoma uzi huu sijaumaliza kwakua nahisi wivu moyoni aisee hasa pale ulipomalizia cheupe ndo nikaumia zaidi why sikuwa ni mimi ninaemkamatia mtoto mzuri huyo ila Hongereni sana nyie watu
Hahahahahahah!!

Asanate sana mkuu..
 
Aisee Nifah huwa anamsubiri sana kwa hamu huyo "Einstein" wetu..


Shukrani mkuu kwa pongezi..
 
Acha tamaa, huyu cheupe alikuwa hapa JF muda kibao hakuna mtu aliyekuwa anamtolea macho. Hasa hasa mlikuwa mnabishana naye kwenye siasa kumuita nyumbu etc.. kumbe ni almasi.. sasa hivi tokwa tu na midenda watu ndio wameshamuweka cheupe ndani
Hahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ingawa umeandika kiutani ila kuna ukweli mkubwa sana ndani yake!
 
Asante sana madam...


Unajua vile huwa naheshimu maneno yako ukiwa kama mtumishi wa Mungu aliye hai...


Siwezi kusema mengi, ila haya yote uliyoandika nimeyahifadhi moyoni mwangu na naamini Mungu atanisaidia niyatekeleza kwa kadiri ya mapenzi yake!


Asante kwa kuniinua mbele za Mungu siku zote ili nizishinde vita! Nashukuri sana kwa hekima na maneno yako ya kutia moyo unayonipa siku zote... Mwenyezi Mungu azidi kukutunza na azidi kulupa moyo wa kutuombea!


Shukrani sana Mtumishi! Ubarikiwe..
 
it is possible. mimi nimeshakutana na watu wengi tu ambao tumeanza mahusino (siyo ya kimapenzi) kwenye mitandao ya kijamii.

hongereni bwana. ila vipi kuhusu wivu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani sana mkuu...



Kuhusu wivu?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo ipogo sana mkuu! Alafu si unajua wanaJF baadhi walivyo wakorofi... Wanaona kabisa Nifah she is taken lakini huko PM sasa [emoji17] [emoji17]

Uzuri mwanamke wangu anajielewa! Huwa wanakula za mbavu kinoma [emoji23] [emoji23]
 
Hahahah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sitaki kufuata mfano wa Chibu, nimzalishe soulmate wangu two kids bila ndoa?? [emoji15]

Nataka tupate watoto wa 'halal'
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kuonjana onjana pia haram,na uchumba kene dini yetu mwisho miezi mi3,kama ndo ingekuwa uhamiaji unakosa la ku overstay nchi ya watu miezi 3.

Ps
Sasa mzee baba cheupe hana wadogo zake wakike? Fanya bas makaratee uniweke kwa mmoja tuwe tunakutana ukweni.
 
In shaa Allah... Nafanya wonders soon...


Ana mdogo wake kazuriiiiiiiii... Ila hatumuzeshi for now... May be usubiri amalize shule [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…