The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Ngoja tu!!🤣🤣🤣
 
6 years dating??!! Hayakuwa mahusiano tena, hii ilikua ndoa bubu. Hapo ndio utasikia wadada wanasema Ulinipotezea muda wangu utadhani huo muda umepotea kwake tu.
Huwa wanasema hivyo kwa sababu wanaume mnajisifiaga kwamba mnaweza kuoa hata mkiwa na miaka 50, lakini mwanamke akifika 30 tu ndoa anaanza kuitafuta kwa tochi, sasa kwa mtazamo wa hovyo kama huo unadhani ni yupi anakuwa kapotezewa muda hapo
 
Hivi anniversary inahesabuweje kwa wasio ndoani, ni siku mliyozungumza?, kukubaliana ? Au kuduu?
 
Hivi anniversary inahesabuweje kwa wasio ndoani, ni siku mliyozungumza?, kukubaliana ? Au kuduu?
Ni ujuha kufanya anniversary ya miezi 6.
Kimsingi anniversary inafanywa lengo kushukuru kwa kuvuka mabonde mengi na mema mengi pia.

Sasa miezi 6 kwa mapenzi hata hamjajuana vizuri ilikuwa ni ushamba na kujionyesha
 
Ni ujuha kufanya anniversary ya miezi 6.
Kimsingi anniversary inafanywa lengo kushukuru kwa kuvuka mabonde mengi na mema mengi pia.

Sasa miezi 6 kwa mapenxi hata hamjajuana vizuri ilikuwa ni ushamba nabile kujionyesha
Mkuu unaumia na nini?
They say enjoy it while it lasts, and they did it accordingly.
i.e. one should cherish every moment of something enjoyable as they might never get another chance.
 
Uchumba miaka saba wachache wanaweza kuvumilia,nilikaa kwenye uchumba mda mrefu ila kilichonisaidia niliamua kufocus na ishu zangu na kutoiwaza ndoa,pole sana nifah kiukweli ni ngumu kuvumilia miaka yote hiyo
Mbna wengine zaidi ya 7. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Just maamuzi tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…