miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 496
amin,,umtunze sana@nifah
Aliwaza anaenda kukutana na mwanamke anayempenda kwan kabla ya kuonana WhatsApp na snapchart lazma zilichukua nafasi kubwa mnoNaimagine the bold siku ya kwanza kukutana nae live uliwaza unakutana na kituko gani?
Ngoja tumsikieAliwaza anaenda kukutana na mwanamke anayempenda kwan kabla ya kuonana WhatsApp na snapchart lazma zilichukua nafasi kubwa mno
Tupo sebuleni naongea na sijui ''Mumeo'' Mtarajiwa wewe unatoka huko jikoni na kudakia maneno vipi ''mwali'' ndoa itakushinda hii.......''Mumeo'' Mtarajiwa asiongee na watu wakatoa mawazo tofauti imekuwa nongwa......................???!!!Kidunia namuamini mimi inatosha,wala haitaji imani yako
Period
Nipo mbon hujanitafuta tuAwh nice [emoji8], mkuu umepotea, usinifanyie hivyo.
Shukrani Mkuu..Hongereni sanaaaaa
Hahahah ina na anjelo [emoji23] [emoji23]Hongereni, kama muvi ya kifilipino vile!
Asante sana shemNiwatakie kila lililo kheri.