The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The bold hongera sana kamanda wangu kwa kumpata kifaa Nifah..
Kila la kheri...
Hekima upendo na uvumilivu usivisahau ktk maisha ya ndoa kwan kila mtu ana halmashaur yake na wote mmepita vyuo tofauti toka unazaliwa mpaka hapo ulipo. Waliosoma vyuo tofauti wanapoenda kuwa na agenda moja lazma mtafauruku au mpishano wa hoja utokee kwasababu kila mtu kapata mafunzo tofauti.

Hapo ndipo hekima na busara huhitajika..
 
Hivi hii siku ndo inakuaje sasa!!!

Siku mliotongozana kwa mara ya kwanza!??

Siku Nifah alipokubali ombi lako!?

Siku mlipogegedana kwa mara ya kwanza!?

Nilelewesheni maana sijui kuanzisha mahusiano rasmi ni siku ipi.

HONGERENI SANA.
 
Naimagine the bold siku ya kwanza kukutana nae live uliwaza unakutana na kituko gani?
Aliwaza anaenda kukutana na mwanamke anayempenda kwan kabla ya kuonana WhatsApp na snapchart lazma zilichukua nafasi kubwa mno
 
Kidunia namuamini mimi inatosha,wala haitaji imani yako
Period
Tupo sebuleni naongea na sijui ''Mumeo'' Mtarajiwa wewe unatoka huko jikoni na kudakia maneno vipi ''mwali'' ndoa itakushinda hii.......''Mumeo'' Mtarajiwa asiongee na watu wakatoa mawazo tofauti imekuwa nongwa......................???!!!
 
2e5183d82bce8c3fc528edde80a051a1.jpg
[emoji12] [emoji12]
 
Hongera sana brother the bold and shem Nifah. Marengo yenu yatimie Mungu awasimamie.

Paprika nasisi tutengeneze history yetu zaidi ya hii.
Love you sana my love paprie.
Unajua nini napenda kutoka kwako.
 
All the best guys...Furaha yenu pamoja izidi mara dufu. I am so happy for you two
 
Bold na Nifah niseme tu nawapenda.... Nyie ni wa kipekee kwa namna ya kipeke yake....

Mzidi kua strong everyday muweze kua mfano mzuri wa kuigwa na kuwatia moyo wengine wapitiao changamoto ya kimahusiano.
 
Back
Top Bottom