The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

[emoji16][emoji16][emoji16]

Nyie mko vizuri [emoji1783]
Big up
Nikikumbuka na ninyi kipindi kile mnawishiana hepibethidei, mkasindikizana na convo za PM kuonesha jinsi mlivyoanza kukwaruzana hatimaye mkazama.

Na hawa nao walianza kukwaruzana kwa mjibu wa huu uzi.

Ila ile GRAVITATION FORCE ijulikanayo kama "Mtaachana tu" nimeamini ina nguvu sana
 
😁😁😁😁

Kamati sio poaah🤠🤠!
 
Uchumba miaka saba wachache wanaweza kuvumilia,nilikaa kwenye uchumba mda mrefu ila kilichonisaidia niliamua kufocus na ishu zangu na kutoiwaza ndoa,pole sana nifah kiukweli ni ngumu kuvumilia miaka yote hiyo
 
Back
Top Bottom