Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Inabidi tubadili I'd[emoji28][emoji28] Awali unakua na akili gani ukiwa mnafanya hayo.
Sasa punde unapoaanza kukua unajigundua ulikua bonge la kilaza unajionga ulikua mjinga balaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi tubadili I'd[emoji28][emoji28] Awali unakua na akili gani ukiwa mnafanya hayo.
Sasa punde unapoaanza kukua unajigundua ulikua bonge la kilaza unajionga ulikua mjinga balaaa
Ngoja Niffah Apite hapa kukuchamba
Wote hao wamemwagana.....maisha fake ni chanzo cha ndoa nyingi kufaaaaNgoja Niffah Apite hapa kukuchamba
Jimbo lipo wazi pambania nafasiWote hao wamemwagana.....maisha fake ni chanzo cha ndoa nyingi kufaaaa
Natamani mzee Sema maji marefuJimbo lipo wazi pambania nafasi
Mbona hujamtag nasubiri kuisoma hiyo storyUkiandika comments mtu anakupm analeta maswali mengi, inakua kama kuchorana hv...... Kuna mada tulikua tunajadiliana jukwaa la MMU nikawa naona mtu ananireply pm badala ya pale pale jukwaani
Nasahau rafiki yangu ngoja nitafuteMbona hujamtag nasubiri kuisoma hiyo story
Maji marefu vipi hamna mkate mgumu mbele ya chaiNatamani mzee Sema maji marefu
Tatizo hiyo chai yenyewe sasa.Maji marefu vipi hamna mkate mgumu mbele ya chai
Pole sana mkuuTatizo hiyo chai yenyewe sasa.
🤣🤣Hii Anniversary itaishia chumbani na kuzima taa au kuna mahala mtakata keki tuje kuwapongeza na sie..
Hongereni sana..