Hata huyo shemeji yake hana uhusiano wa kiDNA na flora.. Maana huyo binti ni yatima, alilelewa na familia ya akina flora mwanza, alipomaliza darasa la saba ndo akaja kuishi na flora dar. Kama ni DNAs, hapo hamna kituKuna kitu nyuma ya huu ukatili,hawezi kua katili hivi hivi,huwezi jua Imma kamtenda mara ngapi tena kwa ktembea na mdogo wake,bora yeye anatembea na Gwajima ambae hana uhusiano wowowte wa ki DNA na Imma.
Mhuuuuuuuuu,basi kazi ipo,hii issue iko complicated sana kwa kweliHata huyo shemeji yake hana uhusiano wa kiDNA na flora.. Maana huyo binti ni yatima, alilelewa na familia ya akina flora mwanza, alipomaliza darasa la saba ndo akaja kuishi na flora dar. Kama ni DNAs, hapo hamna kitu
Kuna kitu nyuma ya huu ukatili,hawezi kua katili hivi hivi,huwezi jua Imma kamtenda mara ngapi tena kwa ktembea na mdogo wake,bora yeye anatembea na Gwajima ambae hana uhusiano wowowte wa ki DNA na Imma.
Nimefurahi kweli ulipomuita Gwajima MBWA..., hahahahahah...! pole bhana unajua yule mke wako nae tatizo anakua kama wale mbwa walio kwenye joto bhana..., aaaghhh..., pole bwana..
Labda ya open university
huna kitu kabisa aisee... Zero
Wote wana makosa,ila huyo aliyebaka ana kosa kisheria na ndo maana alilala keko,umeona wapi Gwajima kashitakiwa kwa kutembea na Flora?Emma alikosea sana kutembea na shemeji yake,angeenda corner Bar asingekosa Demu.Mimi ninachomshauri tu aachane na mitandao ajikite kwenye kesi yake.Atafute mawakili wazuri,maana Flora kashashusha credibility yake,hapo imma ahakikishe anaiambia mahakama kuwa anasingiziwa,Maana kama mke kabeba kila kitu hii inaonyesha kabisa kuwa kuna kunauwezekano kabisa wa kuamuarengia kesi mme wakeone wrong can not justify the other
Duh! nilihisi mwanzoni tu kama the bold ndiyo mbasha mwenyewe. Kaazi kweli kweli.
Kwa hiyo sasa ivi umeshaconfirm kama The bold ndiyo Mbasha???
Nilikuwa na machungu yangu moyoni leo na wala sikuwa na mpango wa kuchangia leo lakini Janjaweed umenifanya nicheke sana, Thanks kwa kunipunguzia machungu kidogo. Hivi mods hakuna jinsi ambavyo mnaweza kuweka kitufe cha kubonyeza kama ilivyo kwa "like" ili kuonesha ni jinsi gani mtu umecheka au hata umekasirika? maana kuna wakati mtu unaweza ukasoma kitu humu JF ukacheka sana ukatamani hata kama kungekuwa na mahali pa kibofya kuonesha kuwa umecheka