The bold: Waraka

The bold: Waraka

Mkuu The Bold, kwanza pole dana kwa yote!.
Kiukweli nimeguswa sana!, and I think I can help somewhere somehow!.

Kwa wenye mashaka, naomba niwathibitishie "this is bonafide genuine!".

Naomba kutoa usaidizi mfupi namna ya kuipambanua "bonafide genuine" from "fake"
Unaweza kuijua tuu kwa kuusikiliza moyo wako!, listen from your heart!.
Pasco.

Haaa.....haaa....!!! Pasco unanifurahishaga na science zako. I have listened my heart nikaona kuna some truth. Je vipi kuhusu wale walio listen hearts zao wakaona si ukweli?!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimefuatilia hii mambo, bado najiuliza maswali kadha wa kadha!!

1. Thebold ambae ni Mbasha au mtu aliekaribu na Mbasha, pamoja na mambo mengine anatuhum Gwajima kujihusisha na sembe, pesa chafu, usanii kwenye hiyo ministry yake nk.

Kama ndivyo mbona utetezi wa hizi tuhuma haupewi uzito unaostahili??

2. Msemaji wa huduma aliejitambulisha kwa jina la injinia Bihagize alikuja humu kujibu hoja zinazoelekezwa kwenye ministry yao, cha ajabu hakuna alichofanya zaid ya kukimbia uzi alionzisha mwenyewe baada ya kuzidiwa hoja,,, najiuliza kwa nn hakutolea ufafanuzi wa kina uhusika au kutokuhusika kwa gwajima kwenye hili sakata??

3. Baadhi ya memba wanaotetea Gwajima mfano davidm, huyu ndugu ilifika mahala akaliambia jamvi kuwa thebold ndo mbasha mwenyewe, na akadai huyu thebold hawezi endelea kuandika coz yote alioandika awali ni uongo, yet Thebold amerudi na safari hii amekuja kivingine, najiuliza kwa nn davidm na wenzie hawataki, au kwa namna yeyote ile kubeza thebold na kumuita muongo, mbakaji, nk,,

Kwa nn wamechagua kuegemea upande mmoja????

4. Tangu mwanzo wa hii scandal thebold amekuja na hoja nzito kiasi kwamba ukisoma unapata shida kuamini kuwa ni cooked story,,, sasa kama ndivyo kwa nn thebold hakuchukua hatua mapema??? Au ndo aliamua kufa na tai shingoni,,!!

5. Najaribu kupata taswira nzima ya makanisa haya ya kiroho juu ya nini kinachofanyika nyuma ya pazia; mathalani, kwa kipindi chooote mbasha na mkewe walijua nini kinachofanyika huko kwenye huduma yao,, kwa gwajima,, mambo ya ufufuzi wa misukule feki, dawa za kulevya nk, jiulize kwa nn hawakusema hili???

Na endapo hiz tuhuma za ubakaji zisingekuwepo ina maana mbasha angeendelea kukaa kimya? Iweje Leo atuhum gwajima kwa dawa za kulevya, uzinzi, na usanii ilihali amekuwa akitambua hayo toka awali?

6. Mengi yameandikwa kuhusu umario wa mbasha,, yawezekana kweli alikosea kama ni kweli alikuwa Mario, itoshe kusema mbasha atake amani na frola basi. Hizi mambo za kutaka kurudiana na mwanamke ambae ameonesha kila dalili za kukukataa afu ww bado unakomaa sio mpango kbs...

Kuna mahali kwenye hili tamko thebold amekiri kumkosea frola lkn pia frola nae kwa nyakati tofauti amemkosea mbasha,,maana yake wamekuwa wakikoseana,,, sasa iweje thebold utake kulazimisha suluhu kwa mtu ambae hataki yan yeye aone makosa yako makubwa kuliko yake???

Kama nilivyosema cha msingi omba amani na maelewano kati yenu tu,, usilazimishe kutaka kurudiana nae hiyo ni weakness na wanamme hatuko hivyo, be strong!!

7. Thebold achana na hii style ya kuvizia vizia na kusoma upepo unaendaje kwangu mm naona sio, ukiamua jambo fanya uamuzi mgum, inaonekana unatikisika na kila hatua anayochukua frola, hapa katikati ulikuwa mafichoni baada ya kutikiswa na frola umetoka mafichoni,,, kwa nn usiakae kimya au kutoa tamko la kueleweka kuliko kufuata upepo?

8. Na kwa nini bado unakuja na story nusu nusu, Mkuu just one big blow inatosha,,,, achana na hizi mambo nusu nusu!!!

Na mwisho niseme Mungu aonaye sirini atahukum kwa haki na awape amani ya kweli mioyoni mwenu,,!!!

Ova!!
 
Nilikuwa na machungu yangu moyoni leo na wala sikuwa na mpango wa kuchangia leo lakini Janjaweed umenifanya nicheke sana, Thanks kwa kunipunguzia machungu kidogo. Hivi mods hakuna jinsi ambavyo mnaweza kuweka kitufe cha kubonyeza kama ilivyo kwa "like" ili kuonesha ni jinsi gani mtu umecheka au hata umekasirika? maana kuna wakati mtu unaweza ukasoma kitu humu JF ukacheka sana ukatamani hata kama kungekuwa na mahali pa kibofya kuonesha kuwa umecheka

Mkuu, hicho ktufe kilikuwepo, ila kuna huyu Buchaman wakati anafukuzwa kazi aliondoka nacho kilikuwa kwenye flash.
 
Wote wana makosa,ila huyo aliyebaka ana kosa kisheria na ndo maana alilala keko,umeona wapi Gwajima kashitakiwa kwa kutembea na Flora?Emma alikosea sana kutembea na shemeji yake,angeenda corner Bar asingekosa Demu.Mimi ninachomshauri tu aachane na mitandao ajikite kwenye kesi yake.Atafute mawakili wazuri,maana Flora kashashusha credibility yake,hapo imma ahakikishe anaiambia mahakama kuwa anasingiziwa,Maana kama mke kabeba kila kitu hii inaonyesha kabisa kuwa kuna kunauwezekano kabisa wa kuamuarengia kesi mme wake

wanadai kabakwa mara ya kwanza sebuleni ila alikuja kwenda polisi alivyobakwa mara ya pili ndani ya gari...pia wanasema alimbaka na housegirl ingawa hawakusema wapi...mi nafikiri ilikua jikoni...hawa wanafikir hakimu ana akili kama misukule yao...hajabakwa mtu hapo na labda ndio maana kapewa na dhamana.
 
Aeleze kabaka au hakubaka? Basi, mambo ya sembe sijui gwajima hayapo kwenye kesi, afungue kesi yake
 
Angekua hana tuhuma ningejadili huu uzi, tatizo ana kesi ya ubakaji, ajibu tu alibaka au hakubaka
 
Angekua hana tuhuma ningejadili huu uzi, tatizo ana kesi ya ubakaji, ajibu tu alibaka au hakubaka

Mkuu weka namba ya cm ingine, ile ya jana haikupatikana bila shaka ni feki kama jinsi ambavyo ww ni feki kichwani!!
 
Wote wana makosa,ila huyo aliyebaka ana kosa kisheria na ndo maana alilala keko,umeona wapi Gwajima kashitakiwa kwa kutembea na Flora?Emma alikosea sana kutembea na shemeji yake,angeenda corner Bar asingekosa Demu.Mimi ninachomshauri tu aachane na mitandao ajikite kwenye kesi yake.Atafute mawakili wazuri,maana Flora kashashusha credibility yake,hapo imma ahakikishe anaiambia mahakama kuwa anasingiziwa,Maana kama mke kabeba kila kitu hii inaonyesha kabisa kuwa kuna kunauwezekano kabisa wa kuamuarengia kesi mme wake

Huyo uliesema anamakosa ni kwa sababu kile unachoona ww ni kosa kimefikishwa kwenye Law enforcement agency. Ukumbuke yako makosa mengi ambayo kisheria ni makosa kabisa, lakini hayafikishwi kwenye law enforcement agency!!! Thebold ameandika kuwa frola nae alimkosea pia, kimsingi wote walikoseana.

Hivi unaposema Emma alikosea sana, hiyo "sana" yako inapimwa ktk viwango au uzito gani??? Alafu kama haitoshi umegeuka mahakama kusema kuwa Emma alikosea kutembea na shemeji yake, na vp kuhusu tuhuma za frola kutoka na Gwajima? Kwako ww sio kosa sio,, na kwa uzito huo huo mbona husemi Gwajima nae alikosea, aidha kwa kujihusisha au kuwa na mienendo ambayo imeleta sintofaham hii?

Mi nadhan hizo bado ni tuhuma na kwa vyovyote vile acha vyombo husika vifanye kazi yake,, tulumbane kwa ku-twist angle tofauti tofauti!!!
 
Najaribu kufanya utafiti, hivi ni mtumishi gani wa kweli wa Mungu aliyefanya ishara kubwa na maajabu ambaye hajawahi kuzushiwa au kudharauliwa, kufukuzwa, kupigwa, kufungwa, kuitwa mzushi au hata kuuwawa.

Najua waabudu shetani, wachawi, freemasons na wanaofanana na hao watakuwa wanashangilia uzushi walioupanga kwa akili sana na kwa muda mrefu, wakidhani watakuwa wamefanikiwa kumwangusha na kumzima mmoja wa makamanda kwenye jeshi la mwokozi..... nasikitika kuwaambia bado sana.

Gwajima anaishambulia serikali waziwazi halafu auze unga wamuache!!!
 
Walewale, eti nabiidaniel
 
Last edited by a moderator:
Mgeni mwee......kumbe umu jf kuna mambo mazuriii
 
Najaribu kufanya utafiti, hivi ni mtumishi gani wa kweli wa Mungu aliyefanya ishara kubwa na maajabu ambaye hajawahi kuzushiwa au kudharauliwa, kufukuzwa, kupigwa, kufungwa, kuitwa mzushi au hata kuuwawa.

Najua waabudu shetani, wachawi, freemasons na wanaofanana na hao watakuwa wanashangilia uzushi walioupanga kwa akili sana na kwa muda mrefu, wakidhani watakuwa wamefanikiwa kumwangusha na kumzima mmoja wa makamanda kwenye jeshi la mwokozi..... nasikitika kuwaambia bado sana.

Gwajima anaishambulia serikali waziwazi halafu auze unga wamuache!!!

Hapo kwenye sembe ndio hata mimi pamenitia wasiwasi...Gwajima anaiponda sana tena wazi serikali hii iliyopo madarakani.....wangeshamlipua zamani sana.....issue za uasherati sina comment maana inawezekana kwa binadamu.....
 
Wakumlipua nao wahusika
 
Angekua hana tuhuma ningejadili huu uzi, tatizo ana kesi ya ubakaji, ajibu tu alibaka au hakubaka

Wewe nawe ni walewale, unajifanya kutoa namba ya simu kumbe ni ya Bodaboda.
 
Angekua hana tuhuma ningejadili huu uzi, tatizo ana kesi ya ubakaji, ajibu tu alibaka au hakubaka

Kaka tupia tena namba yako ya simu kwani ile ya mwanzo haieleweki nilipiga ikapokea misukule ya chalinze then nikaogopa nikakata simu.
 
Huyu anaemtumiabthe bold ni mtoto wa mama mdogo wale gwajima anawaita mapepo na majini ayatamgusa na ndio hao wanafikiria jinsi ya kumchafua nawaambia siruhusu kulaani wala kumsema mtu
the bold mungu akutie nguvu mwisho wako uishie na toba ya yiote juu ya watumishi wa munguu uliowanenea

again. ....najua kama binadamu pengine nimhusika mkuu ushauri wangu simama na mungu mwambie mungu ajidhihirishe wote tukiwa duniani
 
Back
Top Bottom