Hata huyo shemeji yake hana uhusiano wa kiDNA na flora.. Maana huyo binti ni yatima, alilelewa na familia ya akina flora mwanza, alipomaliza darasa la saba ndo akaja kuishi na flora dar. Kama ni DNAs, hapo hamna kituKuna kitu nyuma ya huu ukatili,hawezi kua katili hivi hivi,huwezi jua Imma kamtenda mara ngapi tena kwa ktembea na mdogo wake,bora yeye anatembea na Gwajima ambae hana uhusiano wowowte wa ki DNA na Imma.