The bold: Waraka

Hata davidm kakimbia. Amegundua anatetea kitu ambacho hakijui.

hehe sijakimbia tuko na maandilizi ya mkutano wa Iringa so niko busy... nimegundua kuwa watu wengi hawamfahamu Gwajima humu..na ni mbaya kumhukumu mti usiyemjua maana unaweza kuta kabeba muujiza wako si unajua Mungu anatumia watu kusaidia watu!!" anyways..nikiandika vibaya kuhusu mbasha na kumbe siye siku wakipatana aibu itarudi kwangu ..but nabaki na msimamo wangu kuwa The bold ni muongo anatumia ukweli kuwa "mkutano uliahirishwa morogoro" ili kuingiza uongo mkubwa..nina ujasiri maana nilikuwepo moro kipindi hicho.

Na Flora na Mumewe walirudi pamoja na watoti wa mchungaji Gwajima na mkewe ili kusherekea pasaka Dar. then wakarudi tukiwa tumeshaenda Kilombero sasa sijajua the bold ametoa wapi uongo huu ..ndio maana nashawishika kuwaza kuwa wale wakereketwa wa Dengue wanamuadhibu Gwajima kwa kusambaza sehemu ya mahubiri yake yanadai Dengue ni ugonjwa wa kutengenezwa. mwisho ni kuwa Ufufuo na Uzim imesemwa sana na mch Gwajima aliwahi kuundiwa tume na maaskofu wakubwa TZ ili huduma izimwe lakini haikuwezekana sembuse huyu dogi the bold ambaye kwanza anaogopa hata ku reveal identity yake..kiasi anatumia identity za watu kinyume cha sheria.

Kingine nashauri jina la mzee wa hammer libadilishwe awe mzee wa helcopter maana Mch Gwajima anamiliki helcopter sasa. ambayo itatumika mikutanoni kwa ungea uwezavyo Paulo alisema kwa hila au kwa wema sharti injili ihubiriwe!!!
 
Last edited by a moderator:
pole ila ndoa inaweza kuwa imekufa hapo kama sikosei labda kama kuna muendelezo wa matatizo ambayo huyu muhusika anatafuta kutoka kwa huyo mwanamke
 
Mkuu kuna michango mingine hata hustahili kutoa,kwa nini umeamua kushusha hadhi yako,jitahidi kuchangia kwny critical issues tu.mada zingine tumia fake Id

Hivi ni kosa kuuliza alisoma Tambaza mwaka gani? Swali hilo linashusha hadhi yangu kwa namna gani? Ina maana umewaona wote wanaochangia uzi huu ni mataahira? Na kwanini nitumie fake ID kama staha yangu inatafsiri dhamira yangu njema kwenye mjadala?
 
Hahaha dogo the bold kweli huna jipya mtoto mzuriiii mchungaji Gwajima ni chombo kingine wenzio walisha kaa mikutano wakubwa kuliko wewe lakini hata harufu yao haikusikika nikushauri tu nenda kauze machungwa kariakoo utatoka hii nayo imekwama:😛
 

Wamachinga wamesharuhusiwa kariakoo???
 

Umepotea...
 

Kama kweli unafanya kazi ya Bwana, epuka lugha za aina hii na usijiingize katika majigambo ya kidunia. Ni kama vile umejiunga kwenye baraza la wafanya mizaha.
 
kama kweli unafanya kazi ya bwana, epuka lugha za aina hii na usijiingize katika majigambo ya kidunia. Ni kama vile umejiunga kwenye baraza la wafanya mizaha.

mungu atusaidie
 
hhuhuuuu uyu The bold ni dogo fulan alisomaga tambaza..msanii tu
 
Last edited by a moderator:
...

Na Flora na Mumewe walirudi pamoja na watoti wa mchungaji Gwajima na mkewe ili kusherekea pasaka Dar. then wakarudi tukiwa tumeshaenda Kilombero ...

Hivi ni pasaka au krismasi? Cheki bandiko zako zingine kuhusiana na hilo.
 
kwikwikwikwiiiiii............ hata kibwetere alikua mtumishi wa Mungu

sasa kama mtumishi ana gegeda wake za watu asisemwe? Ngoja hivi punde atagegeda wa kwako, na anananiliu sembe tukae kimya tu? Hv nyie mmelishwa nn? Duh mazingaombwe nouna yanaharibu medula oblangata zenu
 
Narudia tena Biblia inasema "usimuamini mwanamke usiempenda" Sembuse asiyekupenda!! Huyo Mbasha anapoteza muda majukwaani. Hata wakirudiana na huyo Flora, madhali alikua akitoka na mtu mwingine kwa muda mrefu tu, kama ni kweli, basi hana lake hapo. Mwanamke anaependa hatoki nje katu!!

Halafu, hii kitu ya kung'ang'ania usipopendwa imetoka wapi miaka hii? Ndo maana MMU walibandikaga kuhusu wanaume walio kwenye 30s walivyo majanga... Eti ooh mke anauma! My foot!! Yani agegedwe huko then lipimbi linaendelea kubaki nae hadi limeangushiwa ubakaji!! What a joke!! Na bado!!

Ispokua tu kama wanacheza mchezo wa kuigiza kupromo albamu yao ijayo, Mbasha ni SHIDA!!!!! Binafsi siwasapoti wote ila huyo wa kiume anakera zaidi kwa hoja zake. Kingine, ni upuuzi kwenda kwenye makanisa na ukazuiwa kufkiria kwa akili yako - ulopewa na Mungu huyohuyo unaeshauriwa umuabudu kipunguani. Unamuazimishaje mkeo??! ...eti amebaki anaimba kwaya!! Huyu jamaa yukoje?? Aaarrrggghhhh!!!!!
 
... Mimi ningekuwa yeye, ningekusanya kilichochangu na kutokomea kusikojulikana, hata nikawe kibarua nchi jirani. Hao lazima wamfunge, au wamwondoe duniani, ni swala la muda tu!! ... atamtelekeza mume wake!

We jamaa smart sana. Humu ndani watu wanamuonea Mbasha huruma bila kumpa fact kwamba ndo anaenda kupotezwa kwa huu ujinga wa kumfatilia huyo kunguru. Btw... unaeza kuta hata hajawahi tembea na huyo Mchungwajima ila tu "siri" aliyoiona na heshima alopewa amekula yamini tayari.

Watu wamesahau sinema za hawa mastaa wetu na sembe. Na imeshasemwa mahalimahali kuwa Mchungwajima ni don. Assuming ni kweli, na kama Flora alishageuzwa punda (ukimfatilia siku hizi uso una uchakavu fulani hivi labda umri au stress za kujua makubwa), Mbasha ana chake tena?

Ili wanaume wengine (na wanawake pia) wapate fundisho kua usipopendwa kimbia, Mbasha ale mvua 30 au zaidi. Nadhalilika sana anavyoomba eti turudiane ...blah blah blah ...watoto sijui nini nini... Anataka hao watoto wajifunze nini kwa mama yao? Awatafutie mama bora zaidi na aachane na hayo makanisa mshenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…