Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Hapana chezea mke wa mchaga..
Hawezi kuwa mchagga,angeshafungua magazinHivi huyo Mbasha nae Mchagga? Nadadisi tu!
Hawezi kuwa mchagga,angeshafungua magazin
hehe sijakimbia tuko na maandilizi ya mkutano wa Iringa so niko busy... nimegundua kuwa watu wengi hawamfahamu Gwajima humu..na ni mbaya kumhukumu mti usiyemjua maana unaweza kuta kabeba muujiza wako si unajua Mungu anatumia watu kusaidia watu!!" anyways..nikiandika vibaya kuhusu mbasha na kumbe siye siku wakipatana aibu itarudi kwangu ..but nabaki na msimamo wangu kuwa The bold ni muongo anatumia ukweli kuwa "mkutano uliahirishwa morogoro" ili kuingiza uongo mkubwa..nina ujasiri maana nilikuwepo moro kipindi hicho.
Na Flora na Mumewe walirudi pamoja na watoti wa mchungaji Gwajima na mkewe ili kusherekea pasaka Dar. then wakarudi tukiwa tumeshaenda Kilombero sasa sijajua the bold ametoa wapi uongo huu ..ndio maana nashawishika kuwaza kuwa wale wakereketwa wa Dengue wanamuadhibu Gwajima kwa kusambaza sehemu ya mahubiri yake yanadai Dengue ni ugonjwa wa kutengenezwa. mwisho ni kuwa Ufufuo na Uzim imesemwa sana na mch Gwajima aliwahi kuundiwa tume na maaskofu wakubwa TZ ili huduma izimwe lakini haikuwezekana sembuse huyu dogi the bold ambaye kwanza anaogopa hata ku reveal identity yake..kiasi anatumia identity za watu kinyume cha sheria.
Kingine nashauri jina la mzee wa hammer libadilishwe awe mzee wa helcopter maana Mch Gwajima anamiliki helcopter sasa. ambayo itatumika mikutanoni kwa ungea uwezavyo Paulo alisema kwa hila au kwa wema sharti injili ihubiriwe!!!
sasa kama mtumishi ana gegeda wake za watu asisemwe? Ngoja hivi punde atagegeda wa kwako, na anananiliu sembe tukae kimya tu? Hv nyie mmelishwa nn? Duh mazingaombwe nouna yanaharibu medula oblangata zenu
Hivi ni pasaka au krismasi? Cheki bandiko zako zingine kuhusiana na hilo.
Ni maombi yangu ya Nguvu kwa Mungu aliye hai AKUPE MACHO YA ROHONI. Ni ngumu sana kujitambua coz umefungwa na uganga.
unashida kubwa kuliko mtu yoyote anaweza kutambua... post yako haiendani kabisa mtu anayemwogopa Mungu, achilia mbali kusifia Helicopterhehe sijakimbia tuko na maandilizi ya mkutano wa Iringa so niko busy... nimegundua kuwa watu wengi hawamfahamu Gwajima humu..na ni mbaya kumhukumu mti usiyemjua maana unaweza kuta kabeba muujiza wako si unajua Mungu anatumia watu kusaidia watu!!" anyways..nikiandika vibaya kuhusu mbasha na kumbe siye siku wakipatana aibu itarudi kwangu ..but nabaki na msimamo wangu kuwa The bold ni muongo anatumia ukweli kuwa "mkutano uliahirishwa morogoro" ili kuingiza uongo mkubwa..nina ujasiri maana nilikuwepo moro kipindi hicho.
Na Flora na Mumewe walirudi pamoja na watoti wa mchungaji Gwajima na mkewe ili kusherekea pasaka Dar. then wakarudi tukiwa tumeshaenda Kilombero sasa sijajua the bold ametoa wapi uongo huu ..ndio maana nashawishika kuwaza kuwa wale wakereketwa wa Dengue wanamuadhibu Gwajima kwa kusambaza sehemu ya mahubiri yake yanadai Dengue ni ugonjwa wa kutengenezwa. mwisho ni kuwa Ufufuo na Uzim imesemwa sana na mch Gwajima aliwahi kuundiwa tume na maaskofu wakubwa TZ ili huduma izimwe lakini haikuwezekana sembuse huyu dogi the bold ambaye kwanza anaogopa hata ku reveal identity yake..kiasi anatumia identity za watu kinyume cha sheria.
Kingine nashauri jina la mzee wa hammer libadilishwe awe mzee wa helcopter maana Mch Gwajima anamiliki helcopter sasa. ambayo itatumika mikutanoni kwa ungea uwezavyo Paulo alisema kwa hila au kwa wema sharti injili ihubiriwe!!!
Kama kweli unafanya kazi ya Bwana, epuka lugha za aina hii na usijiingize katika majigambo ya kidunia. Ni kama vile umejiunga kwenye baraza la wafanya mizaha.
unashida kubwa kuliko mtu yoyote anaweza kutambua... post yako haiendani kabisa mtu anayemwogopa Mungu, achilia mbali kusifia Helicopter
Narudia tena Biblia inasema "usimuamini mwanamke usiempenda" Sembuse asiyekupenda!! Huyo Mbasha anapoteza muda majukwaani. Hata wakirudiana na huyo Flora, madhali alikua akitoka na mtu mwingine kwa muda mrefu tu, kama ni kweli, basi hana lake hapo. Mwanamke anaependa hatoki nje katu!!
Halafu, hii kitu ya kung'ang'ania usipopendwa imetoka wapi miaka hii? Ndo maana MMU walibandikaga kuhusu wanaume walio kwenye 30s walivyo majanga... Eti ooh mke anauma! My foot!! Yani agegedwe huko then lipimbi linaendelea kubaki nae hadi limeangushiwa ubakaji!! What a joke!! Na bado!!
Ispokua tu kama wanacheza mchezo wa kuigiza kupromo albamu yao ijayo, Mbasha ni SHIDA!!!!! Binafsi siwasapoti wote ila huyo wa kiume anakera zaidi kwa hoja zake. Kingine, ni upuuzi kwenda kwenye makanisa na ukazuiwa kufkiria kwa akili yako - ulopewa na Mungu huyohuyo unaeshauriwa umuabudu kipunguani. Unamuazimishaje mkeo??! ...eti amebaki anaimba kwaya!! Huyu jamaa yukoje?? Aaarrrggghhhh!!!!!
Hahaha dogo the bold kweli huna jipya mtoto mzuriiii mchungaji Gwajima ni chombo kingine wenzio walisha kaa mikutano wakubwa kuliko wewe lakini hata harufu yao haikusikika nikushauri tu nenda kauze machungwa kariakoo utatoka hii nayo imekwama:😛
Makosa ya Mbasha ;
-kama alijua Gwajima anazini na mke wake alichukua hatua gani.?
-Kwa nini aendelee kusali kwa mtumishi ambae sio mwamiminifu tena kwa ndoa yake, pia muuza Sembe na mfufua misukule ya uongo.?
Wanaume Aina Ya Mbasha ni Janga Kwa Taifa ..
Jamaa anakuazima Mke, nawe unamuachia Moro unarudi dar... Unajua kuwa Jamaa anagonga, Bado unakenua tu Meno..
Ningekuwa na Mamlaka ningeamuru utandikwe Bakora tano kwa kuaibisha Wanaume..
Pumbaf zako.
Haya Ndio Matatizo Ya Kulelewa na Mwanamke..
Mwanaume Hujui Kulipa Kodi, Hujui Kulipa Umeme, Hujui Kulipa Ada ya Mtoto n.k
Hapo bado unajiita Mwanaume, Lazima usaidiwe.
Davidm salute!!!! Tukutane kesho kwenye bonde la kukata maneno!