mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 561
ukitaka kujua si yakutunga aliomba excuse yanini? Atadanganya wajinga tu ila mimi nataka tu ajibu kama amebaka au hakubaka
utadanganya wajinga tu wewe umemla flora au la
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka kujua si yakutunga aliomba excuse yanini? Atadanganya wajinga tu ila mimi nataka tu ajibu kama amebaka au hakubaka
gwajima anatoa misukule yake ya t/peckers mapepo....kumbe yeye ndo pepo namba moja....
wewe The bold sijui ila nina uhakika una akili ndogo sana, yaani bandiko lote ilo hujaandika kwanini umebaka? asee umetia aibu sana
Suala la kupiga hilo halina ubishi, ila kama ni mtego ulisukwa na vielelezo vipo, na binti kadanya umri kuwa ana miaka 17 wakati ni 19, hapo lazima kesi imgeukia binti mwenyewe na wale waliomtuma.ukitaka kujua si yakutunga aliomba excuse yanini? ATADANGANYA WAJINGA TU ILA MIMI NATAKA TU AJIBU KAMA AMEBAKA AU HAKUBAKA
utadanganya wajinga tu wewe umemla flora au la
wewe The bold sijui ila nina uhakika una akili ndogo sana, yaani bandiko lote ilo hujaandika kwanini umebaka? asee umetia aibu sana
Pole sana Sam Mapenzi kwa kubakwa ila usihukumu mpka mahakama ikuthibitishe umebakwa.
Suala la kupiga hilo halina ubishi, ila kama ni mtego ulisukwa na vielelezo vipo, na binti kadanya umri kuwa ana miaka 17 wakati ni 19, hapo lazima kesi imgeukia binti mwenyewe na wale waliomtuma.
Mkuu samlove ni gwajima
HAA Wewe Upo Timamu Kweli? Yaani Nimekua Mimi Tena? Embu Acha Utan
pole sana kwa kuingia kwenye mtego wa shetani
Shetani Gwajima hawezi nipata mm mtoto wa Yesu Kristo....... Huyo Shetani atawapata na kuwanasa wajinga kama nyie.....Wewe hapo kwanza tayari umenaswa......Huruma hiii....
mkuu nimefurahishwa na signature yako teh teh....Pole sana The bold,
Kitu ambacho hukukijua toka mwanzo ni kua KUNGURU HAFUGIKI!!
Cha msingi pigania tu ushinde kesi yako mahakamani, ya uraiani utakuja kupambana baadae.
Wewe bado ni kijana na una nguvu, achana na huyo muuza K
Dah,hii kweli sintofahamu! Hii dunia ina mengi! jikaze mkuu ndio uanaume huo!
ukweli utakuweka huru siku moja.
ukweli utakuweka huru siku moja.