MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Ghana wanaboa, hawafight kama nigeria
Miafrika ndio tulivyo.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghana wanaboa, hawafight kama nigeria
mkuu kwann na wewe usimchome huyo nabii na kumfungulia kesi kuwa anauza madawa ili iwe jino kwa jino
Ngoja nirudi sports kule kwa Ghana, hapa ntakuja badae
Nimerudi.....Ngoja nikae sawa...
We Danganywa Tu Ila Elewa Na Atoe Jibu Kabaka Au Hakubaka, Asitake Kuonewa Huruma Kwakuunganisha Stor Za Uongo, ANGEKUA KWELI ANAJIELEWA ANGEELEZA KWANINI ALIBAKA NA SI POROJO ZAKE IZO
Kwani naijeria siyo waafrika?Miafrika ndio tulivyo.....
Mkuu kuna watu wanaficha udhaifu wao kwenye maandiko, eti "vita vyetu si vya damu na nyama" wakati imeelezwa mtu kafunguliwa akaunti, kaingiziwa mil 18, kanisani kachangiwa mil 2.3 wakatngaza mil 9. Pia mtu alikuwa anapelekwa hotelini kwa tax na namba ya dreva tax ipo. Hapo utaona ni vita ya pesa na uroda wala si vita ya kiroho..
We umesema pwaint, humu wanamtetea sana wanaropoka sana, na kashfa nyingi wamesahau ema alibaka, angekuwa kabaka dada zao au kawachana wao minduku ningeona kama wasingecharuka, wamsaidie asibake mana hilo ni pepo kashaona utamu wa ngawira
kubaka si sababu ya gwajima kumlala flora
Huenda ni pepo kweli, lakin kama ni pepo Flora alilitoa kwa 'mchungaji' kule morogoro...baada ya kushiriki naye tena ndipo pepo likamwingia imma na kuanza kumtamani 'shemeji' yake. Eva alipokula tunda, alimpa na mumewe...kifupi dhambi/pepo wa uzinzi liliingia kwenye familia ya imma kupitia kwa flora.We umesema pwaint, humu wanamtetea sana wanaropoka sana, na kashfa nyingi wamesahau ema alibaka, angekuwa kabaka dada zao au kawachana wao minduku ningeona kama wasingecharuka, wamsaidie asibake mana hilo ni pepo kashaona utamu wa ngawira
braza mbona hii shughuli ulojipa ngum sana,, aiseee we kweli samlove jitahidi mkuu!
Ulishawahi kuona mtu mzima aliyebakwa akabakwa mara mbili na mtu yule yule kwenye mazingira yanayoshabihiana?siku zote hakujua eeh? Hadi kabaka ndo akajua, yeye ajibu tu amebaka au hakubaka?
atoe iyo namba na aseme mahakaman au afungue kesi, huo ni UONGO siku zote alikua hajui hadi amebaka ndo awake
huenda ni pepo kweli, lakin kama ni pepo flora alilitoa kwa 'mchungaji' kule morogoro...baada ya kushiriki naye tena ndipo pepo likamwingia imma na kuanza kumtamani 'shemeji' yake. Eva alipokula tunda, alimpa na mumewe...kifupi dhambi/pepo wa uzinzi liliingia kwenye familia ya imma kupitia kwa flora.
mimi huwa siaminigi ujinga, yeye akithibitika kabaka imekula kwake na mbegu huwa zinapimwa, ukweli utakua wazi tu, eti umekamatwa na nyama ya tembo unajitetea eti mheshimiwa ata simba huwa wanakula mbuzi zangu, hapo unafungwa live