Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Huenda ni kweli si Mbasha, ila inaonekana anapata information kutoka kwa Mbasa...
Vita vyenu si vya damu na nyama bali ni pesa na mahaba, sivyo?
Kwi kwi kwi kwi......"Bali mahaba na pesa"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ni kweli si Mbasha, ila inaonekana anapata information kutoka kwa Mbasa...
Vita vyenu si vya damu na nyama bali ni pesa na mahaba, sivyo?
kumbe na wewe umekurupushwa kule
Ngoja nirejee Sports.....Nitarudi hukuu baada ya Gemu...
Mimi sio kama wale.
Kuna wanawake wako na tv, full ac, full time 4WD...kila ukijiatahidi kumfuta kichwani inagoma...wanaume tunajua hiyo, hivyo usimshangae Imma.move on with his life sijaona point ya kuendelea kumngangania huyo Flora
Kuna wanawake wako na tv, full ac, full time 4WD...kila ukijiatahidi kumfuta kichwani inagoma...wanaume tunajua hiyo, hivyo usimshangae Imma.
Kumbwe gwamazingaombwe, mi nilifikiri gwaufufuonauzima na ndo anamtumikia mungu fulani hivi wala si Mungu Mwenyezi.Mimi ni gwajima najibu hivi huyo mke wako sijawahi kumpenda kimapenzi, wala kumtamani nina mke wangu mzuri nampenda sana, maneno mengi unaongea nimekaa kimya kwasababu adui wa ndoa yako ni wewe mwenyewe, tatizo unaropoka sana , mimi ndo nlikutuma ukabake, umebaka umebakuliwa nasingiziwa navunja ndoa loo! Afu wewe uongo unao nitungia mungu wangu atakushughulikia we endelea tu, mimi ni mtumishi wa mungu. Binafsi nakusamehe na iliujue nimekusamehe njoo nikupe hela utoke out na mke wako mkayamalize. Ingekua mimi ni gwajima ningemjibu hivyo.
Kwani yule shemeji wa damu?Pamoja na Yote,hukutakiwa kutembea na Shemeji yako mkuu hapo ndo uliula mkenge,ila komaa Mungu anasamehe.
Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaojaribu kunywa sumu kisa wameachwa na wapenzi wao, ni wavulana wala siyo wasichana?mmh mi namshangaa hayo mbasha
Ghana wanaboa, hawafight kama nigeriatwende tukamalizie second
Mkuu kuna watu wanaficha udhaifu wao kwenye maandiko, eti "vita vyetu si vya damu na nyama" wakati imeelezwa mtu kafunguliwa akaunti, kaingiziwa mil 18, kanisani kachangiwa mil 2.3 wakatngaza mil 9. Pia mtu alikuwa anapelekwa hotelini kwa tax na namba ya dreva tax ipo. Hapo utaona ni vita ya pesa na uroda wala si vita ya kiroho..Kwi kwi kwi kwi......"Bali mahaba na pesa"
Nimependa aliposema mchungaji mazingaombwe.... na pesa chafu za sembe...kama hayo ni kweli, basi hakuna mtumishi wa Mungu hapo.
Tatizo yeye anaongea tu,ushahidi hana.Wenzake wanaushahidi kuwa alibaka,namuonea huruma ana miaka 32,akipigwa mvua 30 atatoka na miaka 62.Cha kufanya sasa hivi aachane na mitandao,ajikite kwenye kesiyake,pia amwombe Flora hao ndugu zake wafute kesimkuu kwann na wewe usimchome huyo nabii na kumfungulia kesi kuwa anauza madawa ili iwe jino kwa jino
We Danganywa Tu Ila Elewa Na Atoe Jibu Kabaka Au Hakubaka, Asitake Kuonewa Huruma Kwakuunganisha Stor Za Uongo, ANGEKUA KWELI ANAJIELEWA ANGEELEZA KWANINI ALIBAKA NA SI POROJO ZAKE IZO
ni aibu sana kwa mtumishi wa mungu kutenda dhambi kama hii.
the bold pole sana, hayo ni mapito fanya toba ya dhati mungu nae atakusamehe maana yeye ni wa rehema na neema.
Kasome
kutoka 28. Hapo utafahamu kitakacho tokea endapo wataendelea kuto kutii sauti ya mungu.