mjue akili za watu zilivo ndogo eti mimi ni gwajima, watanzania mkikosa kazi ni shida
Mkuu ile namba ya simu haipatikan bana.
Ha Ha Ha Ha Unachekesha Sana Number Yangu Ni 0784731905 Nipigie Unijue, Muache Kudanganyika Hata Uyo The bold si mbasha
Dahhh.....Unajitahidi sana...
nimepiga inaniambia nijaribu baadae tena
wewe The bold sijui ila nina uhakika una akili ndogo sana, yaani bandiko lote ilo hujaandika kwanini umebaka? asee umetia aibu sana
kubaka hakubaka ila alimgegeda mtu ubakwe siku ya kwanza umetulia siku ya pili umetulia aliupenda mchezo huyo
Washa simu we sam love. umetupa namba feki.. ngumbalu wa gwanjima
Tatizo yeye anaongea tu,ushahidi hana.Wenzake wanaushahidi kuwa alibaka,namuonea huruma ana miaka 32,akipigwa mvua 30 atatoka na miaka 62.Cha kufanya sasa hivi aachane na mitandao,ajikite kwenye kesiyake,pia amwombe Flora hao ndugu zake wafute kesi
Patalalika kweli leo, ngoja nipozee machungu ya Chana hapa kwa The bold
The bold ni msanii tu anajitaftia kisingizio, yaani kabaka ndo akaja kujua hayo, je alivokua anasali hapo mbona hakusema? kwamtu mwenye uelewa ashajua kinachoendelea na anachoandika humu ni utapeli tu tena akifikiri kuna atakaemjibu.
Sam Love kakimbia.....Jamaa katoa number fake akizani watu hawatapanda hewani...