The bold: Waraka

The bold: Waraka

mjue akili za watu zilivo ndogo eti mimi ni gwajima, watanzania mkikosa kazi ni shida

Nahisi hujaoa na siku ukioa ukaona mke alivyo mchungu utaacha kuropoka huwezi kutetea mambo ambayo yanafanyika baina ya watu wawili tu chumbani.
 
Naona hii ndio habari ya mujini kwa sasa.Nchi hii ina vitimbwi sana.
 
Mbasha ulikuwa unan'gong'wa Kitambo sana....source http://florambasha.blogspot.com

1459775_10152051290108856_1174672199_n.jpg
 
Patalalika kweli leo, ngoja nipozee machungu ya Chana hapa kwa The bold
 
Last edited by a moderator:
Tatizo yeye anaongea tu,ushahidi hana.Wenzake wanaushahidi kuwa alibaka,namuonea huruma ana miaka 32,akipigwa mvua 30 atatoka na miaka 62.Cha kufanya sasa hivi aachane na mitandao,ajikite kwenye kesiyake,pia amwombe Flora hao ndugu zake wafute kesi


Kesi ya kubaka ikishafika mahakamani inaweza kufutwa kienyeji hivyo?
 
Sam Love kakimbia.....Jamaa katoa number fake akizani watu hawatapanda hewani...
 
Last edited by a moderator:
The bold ni msanii tu anajitaftia kisingizio, yaani kabaka ndo akaja kujua hayo, je alivokua anasali hapo mbona hakusema? kwamtu mwenye uelewa ashajua kinachoendelea na anachoandika humu ni utapeli tu tena akifikiri kuna atakaemjibu.

»Kama Kutunga Story ni rahisi basi tunga wewe ya kumsafisha muuza unga(mwanamazingaombwe) aka mzee wa misukule feki

»Ukisoma maelezo ya The bold kuna uhakika wa 99.99% true au kama Pasco wa JF anasema Bonafide Genuine.
 
Last edited by a moderator:
daah huyu jamaa (The Bold) ni muongo maana Flora aliakuwepo Dar kipindi cha xmas na alialika watu kwake na picha zipo anyways... wanaoamini sawa..But mwandishi sio mbasha mwenyewe maana hana hii akili; ila ana data kutoka kwa mbasha...may be...God will stand to reveal the truth!!! Mimi sio kama Wale!!!
 
Back
Top Bottom