The bold: Waraka

Tatizo yeye anaongea tu,ushahidi hana.Wenzake wanaushahidi kuwa alibaka,namuonea huruma ana miaka 32,akipigwa mvua 30 atatoka na miaka 62.Cha kufanya sasa hivi aachane na mitandao,ajikite kwenye kesiyake,pia amwombe Flora hao ndugu zake wafute kesi

Na ww unaemtetea huyo gwajima wako,kama una mke mzuri na unasali kwake chunga sana mkeo kuna siku utakuja kulia,na kama ni mwanamke na unasali kwake basi mumeo awe makini sana kuna siku atalia
 
The bold anadai kuwa baada ya mkutano kuahirishwa waimbaji walirudi Dar... ukweli ni kuwa walipohamia kwenye eneo jipya Mbasha na Flora wote walikuwepo na picha zipo online na video zipo na walirudi Dar xmas wote...na kuja tena mkutano wa kilombero ambapo tulirudi nao tarehe 30 kwenye private car... nina uhakika mbasha hawezi kuandika uongo huu unless anatumiwa kumchafua Gwajima...
 


Mkuu tuambie ukweli ili tukuonee huruma, unasema huu mchezo ulikua unaufahamu mda mrefu lakini ninachojua imani ya kilokole inakemea sana uzinifu. Inakuaje mtu unaemtuhumu kuzini na mke wako uende kusali kwake? Na watanzania unaosali nao wanajisikiaje kiongozi wao ni mchafi kiasi hicho halafu wewe ulikua unajua na hawaambii ukweli. Inamaana bila kesi kubaka huu uchafu usingeusema? Kama unaweza kusali nyuma ya mtu mchafu kama huyu mda wote huo na unajuauchafu wake bado una sifa ya kuitwa mlokole?
 

Wewe umevurugwa? Kama kuandika story ni rahisi andika na wewe ya kumsafisha muuza sembe hii story ni ya kweli watu mliokuwa bank ebu wekeni data za hiyo acc ya flora ingekuwa issue za wasaliti Yericko Nyerere angelifanyia kazi angeweka transaction zote za accounts.
 
Last edited by a moderator:

Gwajima(Nyoka) anazidi kuumbuliwa...

Nyie si ndo mmlikuwa mnaulizia kwa kejeli eti The bold yuko wapi........Haya! Huyo sasa kesha kuja na nondo zake...

Huna pa kuvhomokea......Shetani/ Laanatullah Gwajima anavuliwa nguo hadharani...
 
Last edited by a moderator:
the Bold hana madhara kwa Gwajima wala Ufufuo na Uzima ...hehehe... hii movement haizimwi kirahisi hivyo... anyways tukutane Iringa kwenye crusade mwezi wa nane...
 
Gwajima(Nyoka) anazidi kuumbuliwa...

Nyie si ndo mmlikuwa mnaulizia kwa kejeli eti The bold yuko wapi........Haya! Huyo sasa kesha kuja na nondo zake...

Huna pa kuvhomokea......Shetani/ Laanatullah Gwajima anavuliwa nguo hadharani...

USTADH Angalia Maruhani Yasikupande Asee
 
Last edited by a moderator:
the bold hana madhara kwa gwajima wala ufufuo na uzima ...hehehe... Hii movement haizimwi kirahisi hivyo... Anyways tukutane iringa kwenye crusade mwezi wa nane...

mimi sio kama waleeee
 
we hujiulizi kama mbasha alijua mkewe analiwa na Gwajima na zaidi sana Gwajima anauza unga..mbona aliendelea kusali pale...mpaka agundulike amebaka ndio aongee...hahahahaha ... yaani kicheko
 
»Kama Kutunga Story ni rahisi basi tunga wewe ya kumsafisha muuza unga(mwanamazingaombwe) aka mzee wa misukule feki

»Ukisoma maelezo ya The bold kuna uhakika wa 99.99% true au kama Pasco wa JF anasema Bonafide Genuine.


Tatizo ni kuyasema leo wakati yalikua yatokea na bado anaendelea kusali nyuma ya mzinzi au ameokoka rasmi alipopata dhamana. Mungu hawezi kupokea sala inayoongozwa na mzizi saa huyu mlokole wa wapi aliyekua anaenda kusali kila jumapili nyuma ya mtu mchafu kama huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…