The bold nakumbuka moja ya post zako ulisema kuwa wewe unamchumba sasa inaonyesha huma ufahamu mzuri wa mambo ya ndoa!!
Taarifa yako ni nzuri sana hapa jf na umepata umaarufu mkubwa lakini kiukweli umekuwa chanzo cha mgogoro huo kupanuka!!
Mambo ya ndoa ya mwenzio huwezi kuja kuyaweka hadharani hata kama unajua udhaifu fulani!!
Huwezi kutumia media kutatua suala la ndoa!!
Flora ni mtoto mdogo sana katika ufahamu wa mambo ya ndoa , Emm ni mtoto mdogo katika mambo ya ufahamu wa ndoa wote hawa wanatumia media kupata suluhu jambo ambalo si kweli, Yawezekana una nunua taarifa hizi ili uje ulete hapa kwa manufaa ya wanao kutuma. Mimi nikwambie ukweli utavuna haya unayoweka , Ipo siku utao mke na matatizo ya ndoa yatakukuta ujifunze kutokana na mambo haya!!
Wachangiaji wengi hapa ni waathirika na matatizo ya ndoa ndo maana kundi ni kubwa lakini matatizo yao wameyaficha wanajadili matatizo ya Ndoa ya Flora na Emm. Huu ndo unafiki!
Mimi natoa angalizo kwa mod yawezekana mada hii ni nzuri katika jukwaa hili na wateja ni wengi swali langu hivi Emm angekuwa ndo mod au Flora angekuwa dada yake na mod mada hii ingeruhusiwa kujirudia rudia kama livyo sasa??
Mod huoni kwamba jf inatumika kuvunja ndoa ya Emm na Flora??
Hivi jf inafurahia watu wakitengana??
Kama ni matatizo ya Gwajima yanafahamika na kama ni matatizo ya Flora kwa umalaya yanafahamika m na kama ni ufusika wa Emm unafahamika hadi mahakamani lakini mimi naona pamoja na hayo ndoa yao lazima iheshimike na kila mtu. Kama ndoa ya Mod na ndugu zako inavyoheshimika basi na ndoa ya Emm na Flora iheshimike! Yawezekana wahusika (Flora na Emm) hawaheshimu ndoa yao lakini sisi great thinker lazima tusimame kwenye maadili