The bold: Waraka

The bold: Waraka

mkuu mwakibete upo?

Mkuu nipo. And this is the Begining of Season Two. Ndo kwanza ipo episode ya kwanza na ina episode kadhaa zilizoshiba.

Usibadil channel.

@The Bold, slowly, lazima kweli isimame. "The Rise and Fall of fake pastor"

Mkuu ninamfahamu vizuri huyo mtu wa kwenye avatar yako hapo, he was my classmate pale Tambaza. Majina yake yanaanzia na H and B ni wewe au umeamua tu kutumia bila yeye kujua mkuu???

MKuu usi-quote tena thread ndefu kama hizi, wenye device ndogo tunapata mashida ku-scrol down aisee!

Tunataka hizo picha za tarehe 30 mkirudi Moro....Tunataka ku-connect dots hapa...

The bold naomba ukae karibu maana naona wanataka kupindisha ukweli hawa watu..

haha haha tukiwa kwenye gari private ..usikuwake tukafikia kwao; mind you Gwajima tumemwacha kilombero anaendelea na Crusade...then tukatengeneza song la happy birthday daddy Gwajima ..amabo uliimbwa siku ya mwaka mpya kanisani.

nataka the bold akanushe haya maneno kwanza ndipo nije na picha kudhihirisha uongo wake..

Last edited by a moderator:
It's not easy ya lucky dube inakufaa Sana mkuu the bold,better you stop thinking about that woman time is not on your side.

Which movement....???

Kukutana kwenye Crusade ndo kutaondoa uzinifu wa Gwajima....??

Gwajima ni Nyoka...Na anazidi kuvuliwa nguo....Tunaendelea kumjua In and Out.....Ngoja CV yake ifokonyolewe ndo utajua JF ni kitu gani...

Watch "Kafara ya damu part 2" on YouTube -
https://www.youtube.com/watch?
v=XcQ4...e_gdata_player hii video inamuonyesha
Mbasha na Flora wakiwa eneo ambapo mkutano
ulihamia mara baada ya kutoka kwenye viwanja
ambavyo tulihama sio kwasababu ya maneno ya
uchochezi ni kwasababu eneo lipo karibu na
hospitali... wakasema wagonjwa wanasumbuliwa
na kelele..huyu ni muongo asilimia mia ..
jaribu kuicopy hiyo link then follow

Mkuu ninamfahamu vizuri huyo mtu wa kwenye avatar yako hapo, he was my classmate pale Tambaza. Majina yake yanaanzia na H and B ni wewe au umeamua tu kutumia bila yeye kujua mkuu???

mkuu,umemchongea huyo jamaa wa kwenye avatar kwa kumuhusisha na The bold.utasababisha mzee wa hammer aanze kumfatilia kwa nia ovu.

Last edited by a moderator:
hehe hakuna kitu kama hicho..mwezi wa nane tupo Iringa na helcopter watch me

Ahahahhh :wacko::wacko: kweli i should watch you. Kwa macho ya kimwili mtaenda Iringa, But kwa tulioomba macho ya rohoni hatuoni icho kitu.

Mnaenda kurudisha misukule pia?

HAPA HATA BRO KAJIMA ASINGECHOMOKA....

florammmm.jpg

Hii ndio laana ya wagalatia.

Mtoto wa kike kavaa kimini halafu jimwili kama nyangumi.

Halafu unaingia Kanisani kuonana na Padri ambae Haruhusiwi kuoa!
We unategemea kuna MISA hapo?

Nyie mtawafanya hao Mapadri wabake mpaka kuku!

Mkuu tuambie ukweli ili tukuonee huruma, unasema huu mchezo ulikua unaufahamu mda mrefu lakini ninachojua imani ya kilokole inakemea sana uzinifu. Inakuaje mtu unaemtuhumu kuzini na mke wako uende kusali kwake? Na watanzania unaosali nao wanajisikiaje kiongozi wao ni mchafi kiasi hicho halafu wewe ulikua unajua na hawaambii ukweli. Inamaana bila kesi kubaka huu uchafu usingeusema? Kama unaweza kusali nyuma ya mtu mchafu kama huyu mda wote huo na unajuauchafu wake bado una sifa ya kuitwa mlokole?

Umesoma vizuri alichoandika, "nimejifanya bushoke muda mrefu ili kulinda ndoa yangu" au hujakutana na sentensi hiyo

Ahahahhh :wacko::wacko: kweli i should watch you. Kwa macho ya kimwili mtaenda Iringa, But kwa tulioomba macho ya rohoni hatuoni icho kitu.

Mnaenda kurudisha misukule pia?

ujue nn mm ningeweza kumwamini huyu jamaa kama akisema ukweli lakini anadanganya wazi; Mbasha na mkewe waliodoka na mama Gwajima na watoto wa mchungaji Gwajima kurudi Dar for xmas then wakarudi tena kilombero ambapo tuliondoka nao tarehe 30 sasa kusema flora alibaki Moro ni uongo ambao unanifanya niamoni kuwa the bold si mbasha na kama ni mbasha wanamtumia kupata data ili wazigeuze... okay sikulazimishi uamini ..lakini ndio ukweli huo... Gwajima aongei chochote maana hamna hoja ya kujibu hapo..ni uongo tu..

The bold nakumbuka moja ya post zako ulisema kuwa wewe unamchumba sasa inaonyesha huma ufahamu mzuri wa mambo ya ndoa!!
Taarifa yako ni nzuri sana hapa jf na umepata umaarufu mkubwa lakini kiukweli umekuwa chanzo cha mgogoro huo kupanuka!!
Mambo ya ndoa ya mwenzio huwezi kuja kuyaweka hadharani hata kama unajua udhaifu fulani!!
Huwezi kutumia media kutatua suala la ndoa!!
Flora ni mtoto mdogo sana katika ufahamu wa mambo ya ndoa , Emm ni mtoto mdogo katika mambo ya ufahamu wa ndoa wote hawa wanatumia media kupata suluhu jambo ambalo si kweli, Yawezekana una nunua taarifa hizi ili uje ulete hapa kwa manufaa ya wanao kutuma. Mimi nikwambie ukweli utavuna haya unayoweka , Ipo siku utao mke na matatizo ya ndoa yatakukuta ujifunze kutokana na mambo haya!!
Wachangiaji wengi hapa ni waathirika na matatizo ya ndoa ndo maana kundi ni kubwa lakini matatizo yao wameyaficha wanajadili matatizo ya Ndoa ya Flora na Emm. Huu ndo unafiki!
Mimi natoa angalizo kwa mod yawezekana mada hii ni nzuri katika jukwaa hili na wateja ni wengi swali langu hivi Emm angekuwa ndo mod au Flora angekuwa dada yake na mod mada hii ingeruhusiwa kujirudia rudia kama livyo sasa??
Mod huoni kwamba jf inatumika kuvunja ndoa ya Emm na Flora??
Hivi jf inafurahia watu wakitengana??
Kama ni matatizo ya Gwajima yanafahamika na kama ni matatizo ya Flora kwa umalaya yanafahamika m na kama ni ufusika wa Emm unafahamika hadi mahakamani lakini mimi naona pamoja na hayo ndoa yao lazima iheshimike na kila mtu. Kama ndoa ya Mod na ndugu zako inavyoheshimika basi na ndoa ya Emm na Flora iheshimike! Yawezekana wahusika (Flora na Emm) hawaheshimu ndoa yao lakini sisi great thinker lazima tusimame kwenye maadili

Misukule ya gwajima haijifichi

Ahahahhh :wacko::wacko: kweli i should watch you. Kwa macho ya kimwili mtaenda Iringa, But kwa tulioomba macho ya rohoni hatuoni icho kitu.

Mnaenda kurudisha misukule pia?

as usual misukule kurudi ndio kazi yetu..tutaweka online videos.. wakirudi; na Iringa wapo wengi sana...

ujue nn mm ningeweza kumwamini huyu jamaa kama akisema ukweli lakini anadanganya wazi; Mbasha na mkewe waliodoka na mama Gwajima na watoto wa mchungaji Gwajima kurudi Dar for xmas then wakarudi tena kilombero ambapo tuliondoka nao tarehe 30 sasa kusema flora alibaki Moro ni uongo ambao unanifanya niamoni kuwa the bold si mbasha na kama ni mbasha wanamtumia kupata data ili wazigeuze... okay sikulazimishi uamini ..lakini ndio ukweli huo... Gwajima aongei chochote maana hamna hoja ya kujibu hapo..ni uongo tu..

Tatizo lako umeshaahidiwa scholarship za japan ukasome degree lazima ujipendekeze kwa gwajima

Back
Top Bottom