The bold: Waraka

The bold: Waraka

mjue akili za watu zilivo ndogo eti mimi ni gwajima, watanzania mkikosa kazi ni shida

Ukitenda ya shetani ni shetani so ukimtetea gwajima basi na wewe ni gwajima vilevile....ila mrudishe flora kwa mmewe.
 
mmh mlokole huyo mnaenda mwezi wa nane katika mkutano

ETI KAMA ALIJUA ANALIWA..duh maneno ya kondoo wa gwajima
UNAKUJA KUSUTANA HUMU ,,why usipambane kiroho

Uyu sio mlokole kafuata kupiga ela tu kama shemeji yao flora
 
Epuka kuwanenea mabaya watumishi wa Mungu hata kaka wamefanya mabaya kwako-ila waombee,kumbuka ishu ya Daud na Saul

Khaaaaaa, kweli nyie Gwajima kawaloga mmekuwa misukule zaidi ya ile feki anayofufua. Mtu atafune mkeo halafu uendelee kumuombea atafune vizuri? Mtumishi gani wa Mungu anauza madawa ya kulevya? Gwajima hastahili kukaa nje ya jela, sijui kamishna Nzoa anafanya nini?
 
The bold, every challenge comes with an opportunity.

Kama una access na Emma mwambie kwa muda huu apoze mawazo yake kwa kuandika kitabu juu ya maisha yake (yao) na Flora Mbasha na masahibu yaliyotokea. Nina uhakika atatengeneza faida isiyopungua milioni 20. Zitamsaidia katika kesi na zitaisaidia familia yake...
 
Last edited by a moderator:
The bold, every challenge comes with an opportunity.

Kama una access na Emma mwambie kwa muda huu apoze mawazo yake kwa kuandika kitabu juu ya maisha yake (yao) na Flora Mbasha na masahibu yaliyotokea. Nina uhakika atatengeneza faida isiyopungua milioni 20. Zitamsaidia katika kesi na zitaisaidia familia yake...

Umeongea kweli mkuu
 
Last edited by a moderator:
The bold ni msanii tu anajitaftia kisingizio, yaani kabaka ndo akaja kujua hayo, je alivokua anasali hapo mbona hakusema? kwamtu mwenye uelewa ashajua kinachoendelea na anachoandika humu ni utapeli tu tena akifikiri kuna atakaemjibu.
Kauli zakingese....
 
Tatizo ni kuyasema leo wakati yalikua yatokea na bado anaendelea kusali nyuma ya mzinzi au ameokoka rasmi alipopata dhamana. Mungu hawezi kupokea sala inayoongozwa na mzizi saa huyu mlokole wa wapi aliyekua anaenda kusali kila jumapili nyuma ya mtu mchafu kama huyu.

Unajuaje kama alivyogundua na kutaka kuchukua hatua ndio wakambambika kesi? Nyie misukule ya Gwajima mmeshikiwa akili hamtaki hata kufikiria nje ya box. Endeleeni na ufufuo wa misukule na uzinzi lakini kijana amegoma kuendelea kuishi huku amepiga magoti.
 
Back
Top Bottom