Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%.
Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili kundi lenye watu wenye ukwasi wa kifedha) hawa ni kundi la Kikwete, Lowassa na Hata sasa Samia hawa si wajamaa ila wanatumia nguvu ya CCM kunufaika na kuwanyonya Watanzania, hawa kwa aina yao hawatawai kuiletea Tanzania aina yoyote ile ya Maendeleo kama hawatakuwa na chama cha Kiliberali ambacho kinaweza kuwajibishwa na wanachi.
Kundi la pili ni Center-left hawa ni wajamaa wenye msimamo wa kati kama akina Ndugai, Bashe, Mpango, Hussein Mwinyi, na kundi lenye wataalam wengi.
Kundi lingine ni Far-left hawa ni akina Bashiru, Polepole, Mpina, Lukuvi, Hayati Magufuli , Hayati Nyerere, Mangula hawa wanafata Chinese model of leadership na Kundi hili likifuatiwa na center-left ndio wanaweza kuiletea Tanzania Maendeleo kwa watu wengi na kwa haraka kwa mataifa ya Asia ya Mashariki.
The Bolsheviks/Bolshevists
Hili likuwa kundi lenye mlengo mkali wa Kimarx (Far - left) lililoanzishwa na Lenin huko Russia ili kuipindua Serikali ya Tsar hawa wao huaminin forcefully revolutions kama njia ya kuitoa serikali madarakani kama itabidi.
Vijana wa UVCCM kabla ya kuendelea kupigania nafasi za uongozi ili mpate deal ndogo za milioni milioni, mnatakiwa kujua kwa hali iliyopo CCM na mapadiliko ya Siasa ya Dunia na kijamii, ni suala la muda kuona vyama 2 au 3 vikubwa kitoka ndani ya CCM msipoteze future yenu kuitetea CCM angalieni hizi pande 3 nilizozitaja na mchague upande na muelewe faida na hasara.
CCM ina miaka michache sana chini ya miaka 10 kuvunjika kwa aibu sana, so vijana kama mnaweza anzeni kujiandaa na maisha bila uchawa na vipesa vidogo vidogo vya Rushwa.
Mwisho Bolsheviks wataibuka waishindi kwenye Round ya kwanza ya mabadiliko