The Bolsheviks, Dkt. Bashiru, Somo kwa UVCCM na CCM

Maoni yangu sio kuwa akina Bashiru watashinda kwa muda Mrefu la hasha, ila namaanisha Makundi ndani ya CCM hayapikiki chungu kimoja tena, sababu ni makundi yenye tofauti kubwa sana sana kiitikadi.

Kifo cha Magufuli imekuwa kama accelerated death ya CCM, hizi tofauti tunazoziona sasa sio Maigizo ni vita halisi, ambayo ndani ya miaka michache sana (chini ya 10) kundi la akina Bashiru ambalo liko relevant kwa sasa kwa wananchi litaanza kufanya social mobilization.

Bashiru kuwa mjumbe wa kamati ya kilimo was planned move tangu mwanzo (alijipangia alipo na nguvu), ni suala la muda kabla ya wabunge wengine nao kuanza kumuhoji Rais Samia hadharani.
Mkutano wa bunge ulioisha tayari wameanza kuhoji mengi sana yanayoendelea katika serikali ya sa100.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%.

Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili kundi lenye watu wenye ukwasi wa kifedha) hawa ni kundi la Kikwete, Lowassa na Hata sasa Samia hawa si wajamaa ila wanatumia nguvu ya CCM kunufaika na kuwanyonya Watanzania, hawa kwa aina yao hawatawai kuiletea Tanzania aina yoyote ile ya Maendeleo kama hawatakuwa na chama cha Kiliberali ambacho kinaweza kuwajibishwa na wanachi.

Kundi la pili ni Center-left hawa ni wajamaa wenye msimamo wa kati kama akina Ndugai, Bashe, Mpango, Hussein Mwinyi, na kundi lenye wataalam wengi.

Kundi lingine ni Far-left hawa ni akina Bashiru, Polepole, Mpina, Lukuvi, Hayati Magufuli , Hayati Nyerere, Mangula hawa wanafata Chinese model of leadership na Kundi hili likifuatiwa na center-left ndio wanaweza kuiletea Tanzania Maendeleo kwa watu wengi na kwa haraka kwa mataifa ya Asia ya Mashariki.

The Bolsheviks/Bolshevists
Hili likuwa kundi lenye mlengo mkali wa Kimarx (Far - left) lililoanzishwa na Lenin huko Russia ili kuipindua Serikali ya Tsar hawa wao huaminin forcefully revolutions kama njia ya kuitoa serikali madarakani kama itabidi.

Vijana wa UVCCM kabla ya kuendelea kupigania nafasi za uongozi ili mpate deal ndogo za milioni milioni, mnatakiwa kujua kwa hali iliyopo CCM na mapadiliko ya Siasa ya Dunia na kijamii, ni suala la muda kuona vyama 2 au 3 vikubwa kitoka ndani ya CCM msipoteze future yenu kuitetea CCM angalieni hizi pande 3 nilizozitaja na mchague upande na muelewe faida na hasara.

CCM ina miaka michache sana chini ya miaka 10 kuvunjika kwa aibu sana, so vijana kama mnaweza anzeni kujiandaa na maisha bila uchawa na vipesa vidogo vidogo vya Rushwa.

Mwisho Bolsheviks wataibuka waishindi kwenye Round ya kwanza ya mabadiliko
Ngoja nishubiri Hilo anguko
 
Kusema katika ujamaa eti wengine wanakula kwa nguvu ya wengine yaani (Unyonyaji) siyo kweli na ninakupinga vikali. Ni katika uliberali ndo unakuwa na unyonyaji maana wenye nacho daima wanajitahidi kuhakikisha wanasurvive kwa kutegemea jasho la wasio nacho na hii ndo tafsiri sahihi ya mabwanyenye (Liberalists).
 
Miaka 10 kabla ya kutokea ya kutokea tunakoendea CCM tuna hari ngumu tutake tukatae. Ishu kama muungano na uundaji wa serikali hautakuwa wa kimazoea kama sasa
 
Haya makundi hayana tena reconciliation.

Vyombo vya Dola vinaicha CCM miaka kadhaa ijayo, chini ya 10

Mchangamano wa CCM na vyombo vya dola, umeifanya CCM iendelee kukaa madarakani muda mrefu kwa shuruti, huku ikifanya majaribio ya kila matamanio yao kwa pressure bila utafiti halisi wa wanachotaka kuimplement. Matokeo yake fedha nyingi zinaingia kwenye miradi inayotelekezwa au kufanya kwa ufanisi duni. Hali hii inafanya taifa kubaki na mzigo wa madeni yasiyo lipika.

Nionavyo bila machafuko sioni mabadiliko ya kweli kutoka CCM. Njia ya kura imeprove failure kuitoa CCM madarakani kwani lazima watachezea uchaguzi.
 
Mkutano wa bunge ulioisha tayari wameanza kuhoji mengi sana yanayoendelea katika serikali ya sa100.

#MaendeleoHayanaChama

Wanaweza kuhoji kweli, lakini ni business as usual, na ikifika wakati wa uchaguzi bado aliyeko madarakani atapora uchaguzi. Na yule atakayejifanya kimbelembele atawahishwa ahera.
 
Mchangamano wa CCM na vyombo vya dola, umeifanya CCM iendelee kukaa madarakani muda mrefu kwa shuruti, huku ikifanya majaribio ya kila matamanio yao kwa pressure bila utafiti halisi wa wanachotaka kuimplement. Matokeo yake fedha nyingi zinaingia kwenye miradi inayotelekezwa au kufanya kwa ufanisi duni. Hali hii inafanya taifa kubaki na mzigo wa madeni yasiyo lipika.

Nionavyo bila machafuko sioni mabadiliko ya kweli kutoka CCM. Njia ya kura imeprove failure kuitoa CCM madarakani kwani lazima watachezea uchaguzi.
Hayo machafuko yameanza kuandaliwa na hili kundi la tatu wakati kundi la mwanzo na Mtawala aliyeko madarakani wakiamini CCM itaendelea kuwa nguvu ya dola.

Ukiangalia na kusikiliza mikutano ya Samia na Minions wake siku zote wanaongea kwa hofu na kujitetea mbele za watu...
 
Tuwe makini kwenye wale watakaoingia madarakani dhidi ya hawa walaji wa sasa, isije ikawa hilo kundi la tatu wanataka waingie madarakani ili nao wale watakavyo.
 
Inafaa kukumbuka kwamba miradi ya ujenzi wa miundo mbinu kama barabara, mirad
Tuwe makini kwenye wale watakaoingia madarakani dhidi ya hawa walaji wa sasa, isije ikawa hilo kundi la tatu wanataka waingie madarakani ili nao wale watakavyo.
Kwa mambo yanavyoendeshwa, bila ya mabadiliko ya msingi kikatiba, na wao watakula wapendavyo. Imekuwa hivyo tangu 61.
Umakini tuwe tusirudi kwa walaji na watesi angalau.
 
Maoni yangu sio kuwa akina Bashiru watashinda kwa muda Mrefu la hasha, ila namaanisha Makundi ndani ya CCM hayapikiki chungu kimoja tena, sababu ni makundi yenye tofauti kubwa sana sana kiitikadi.

Kifo cha Magufuli imekuwa kama accelerated death ya CCM, hizi tofauti tunazoziona sasa sio Maigizo ni vita halisi, ambayo ndani ya miaka michache sana (chini ya 10) kundi la akina Bashiru ambalo liko relevant kwa sasa kwa wananchi litaanza kufanya social mobilization.

Bashiru kuwa mjumbe wa kamati ya kilimo was planned move tangu mwanzo (alijipangia alipo na nguvu), ni suala la muda kabla ya wabunge wengine nao kuanza kumuhoji Rais Samia hadharani.
Mkuu siioni CCM ikifa ndani ya miaka 10 ijayo. Hizi siasa za mitandaoni ni tofauti kabisa na zile halisi za ndani ya chama.

Haya masuala ya watu kujibizana na haya makundi kina Sukuma Gang na Msogaboys yapo siku zote, huwezi kuwazuia binadamu kuwa na mitazamo sawa kama ambavyo huwezi kuwazuia kupingana.

Lakini linapokuja suala la hatima ya CCM inayowapa watu ulaji wa uhakika usitegemee kuyaona haya makundi yakiwa ndio chanzo cha mmomonyoko mpana wa chama chenyewe mpaka kuleta kuvunjika kiasi cha kutoweza kuwa kitu kimoja tena..
 
Naomba kufatilie Bolishvisk na Meshvisk huko Russia
 
Mi nachojua far left .ni mlengo wa kushoto au liberals Hawa wanaamini kwenye freedom na democracy .uhuru wa Kila kitu ..wenye kukubali mabadiliko kulingana na wakati ..kina kikwete,Samia ,Biden
Far right ni watu wenye mlengo mkali ,wahafidhina wenye kusimamia itikadi na sera zao ...na wenye misimamo wasiotaka mabadiliko..hili kundi Lina watu kama trump ,bolsonaro ,Putin ,au orban na magufuli...
 
Wacomunist ni leftist, Rightists ni capitalist.

Leftist wapo ambao huwa na mlengo wa wastani hao ni centrist na ni vyama vingi vya Ulaya
 
Ukienda marekani ..leftist ni democrats,,,na right wing ni republican...hizi left na right wing zimekaa kiitikadi tu na sio capitalist au communism
Ukienda uingereza labor party ni central left, conservative ni right wing
Ukija ujeruman .Chama CDU ni central right,Cha SPD ni central left ..
 
Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%.

Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili kundi lenye watu wenye ukwasi wa kifedha) hawa ni kundi la Kikwete, Lowassa na Hata sasa Samia hawa si wajamaa ila wanatumia nguvu ya CCM kunufaika na kuwanyonya Watanzania, hawa kwa aina yao hawatawai kuiletea Tanzania aina yoyote ile ya Maendeleo kama hawatakuwa na chama cha Kiliberali ambacho kinaweza kuwajibishwa na wanachi.

Kundi la pili ni Center-left hawa ni wajamaa wenye msimamo wa kati kama akina Ndugai, Bashe, Mpango, Hussein Mwinyi, na kundi lenye wataalam wengi.

Kundi lingine ni Far-left hawa ni akina Bashiru, Polepole, Mpina, Lukuvi, Hayati Magufuli , Hayati Nyerere, Mangula hawa wanafata Chinese model of leadership na Kundi hili likifuatiwa na center-left ndio wanaweza kuiletea Tanzania Maendeleo kwa watu wengi na kwa haraka kwa mataifa ya Asia ya Mashariki.

The Bolsheviks/Bolshevists
Hili likuwa kundi lenye mlengo mkali wa Kimarx (Far - left) lililoanzishwa na Lenin huko Russia ili kuipindua Serikali ya Tsar hawa wao huaminin forcefully revolutions kama njia ya kuitoa serikali madarakani kama itabidi.

Vijana wa UVCCM kabla ya kuendelea kupigania nafasi za uongozi ili mpate deal ndogo za milioni milioni, mnatakiwa kujua kwa hali iliyopo CCM na mapadiliko ya Siasa ya Dunia na kijamii, ni suala la muda kuona vyama 2 au 3 vikubwa kitoka ndani ya CCM msipoteze future yenu kuitetea CCM angalieni hizi pande 3 nilizozitaja na mchague upande na muelewe faida na hasara.

CCM ina miaka michache sana chini ya miaka 10 kuvunjika kwa aibu sana, so vijana kama mnaweza anzeni kujiandaa na maisha bila uchawa na vipesa vidogo vidogo vya Rushwa.

Mwisho Bolsheviks wataibuka waishindi kwenye Round ya kwanza ya mabadiliko
Usijidanganye mkuu hao wote ni wachumia tumbo
 
Hongera kwa uchambuzi mzuri, kwa sasa CCM hiyo unayosema ya hayo makundi haiwezi kutokea kwani CCM kwa ujumla inategemea vyombo vya dola kuwepo. Na hakuna kundi hata moja kati ya hayo yanaweza kuthubutu kutoka nje ya nguvu ya dola, maana wanajua hawataweza kutoboa. Hayo makundi yote ndani ya CCM, nje ya vyombo vya hayana uwezo wa kufanya siasa.
Unafahamu kwamba hata vyombo vya dola vinagawanyika?,nao wanamitazamo tofauti pia,kwani ukisikia coup imetokea unafikiri ni kwa sababu ipi?
 
Back
Top Bottom