THE BOYS: Moja ya series zinazohitaji kujitoa akili na ufahamu ili kuiangalia. Bila hivyo haifai hata kidogo (18+)

#spoiler Allert!
1721676247908.jpg
 
COMPOUND V: kemikali inayotumika kuwapatia watu nguvu mbalimbali, kulingana na reaction za mwili husika.

Jina hili limetokana na jina la mgunduzi aliyeitwa Vogelbeum. Ambapo wakaipa kemikali hiyo jina la COMPOUND V
 
Mimi movie ikishakua fictional, wahusika wakishavaa magwanda kama hayo, sijui mara wana mabawa huwa siifatilii tena. Mara ya mwisho ten years ago niliweza fatilia spiderman, cat woman au ile harrypotter was my last. Hizi zingine zote zinaniboa.
Uko kama Mimi mkuu, sipendi uongouongo
 
Mimi movie ikishakua fictional, wahusika wakishavaa magwanda kama hayo, sijui mara wana mabawa huwa siifatilii tena. Mara ya mwisho ten years ago niliweza fatilia spiderman, cat woman au ile harrypotter was my last. Hizi zingine zote zinaniboa.
Wee jamaaa ni mimi kabisaaaa😀😀😀. ,mtu ana gari halielewek na linapaaa
 
Mimi movie ikishakua fictional, wahusika wakishavaa magwanda kama hayo, sijui mara wana mabawa huwa siifatilii tena. Mara ya mwisho ten years ago niliweza fatilia spiderman, cat woman au ile harrypotter was my last. Hizi zingine zote zinaniboa.
Hahaha wewe mimi mtupu
 
Back
Top Bottom