The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Hongereeni sana wananchi wa maeneo ya Buzwagi.JK kaona aibu kubwa na naamini hakuwa na kusema zaidi ya longo longo zake , sasa kakimnbia issue na kuuchia mkoa.Lakini Mbunge wa eneo hilo yuko wapi ?Aibu kubwa kwa mtu wa kasi wewe.
 
kwanza kabisa nasema sidhani kama wakazi wa eneo husika la migodi watampokea kwa furaha.Ninadhani huyu mhe karamagi ndiye aliyestahili adhabu hii aliyoipata zito.kama nduguzanguni tukikaa chini na kisha kufikili mara mbili naona huu mkasa ulikuwa unaenda direct kwa karamagi lakini ukaja kugeuzwa geuzwa kiajabuajabu.mimi binafsi nilikuwa sina imani na karamagi mara bada ya kupata tetesi kuwa ni mfanya biashara,hivi unategemea unampa mfanyabiashara uongozi unategemea nini?niwakumbushe daima nia kuu ya mfanyabiashara ni kupata faida tu sasa mtu kama karamagi hatukujua kusaini mkataba ule kwa siri alikuwa ana interest gani.na pia tuende mbele turudi nyuma kazi ya uongozi kwa wananchi ni wito,sasa hawa wafanyabiashara wapo for profit motivation.NADHANI MHE RAIS AMSHUGULIKIE KARAMAGI ILI TUWEZE KUENDELEZA IMANI WATANZANIA TULIYO NAYO KWAKE.
 
JK kutokupokelewa ni sawa tu maana yeye anaongoza timu ya wasanii wenzake wanao toa majibu ya kihuni na yeye mwenyewe anatoa hotuba za kihuni
 
Kuna kitu kibaya sana ambacho watanzania tunacho; NIDHAMU YA WOGA...wakati wa ziara hii ya mkuu wa Kaya; kauli hii itathibitika.

Jamani nathani inabidi kuyala haya maandishi yangu...Tanzania inabadilika...what a Day Today;..Thanks to God..!!
 
angalau umeyakumbuka mwenyewe.. sasa hivi Watanzania wameanza kuondoa hiyo nidhamu... na kama wamemfanyia hivyo Rais.. I bet you Karamagi anaweza kutupiwa vumbi!
 
hahaaaaa, hapo umesound kama mkenya ulivyoandika nathani, enewei, wabongo ni vizuri kwamba watu washaanza kuona jamaa mzushi.

Usiniambie kuwa umeamini habari baada ya kusikiliza VOA na kusoma mwananchi!.. KLH News International inazidi kusambaa...
 
If only the opposition knew what has been presented in front of them.
 
Natamani kila mwanabodi asikilize hiyo taarifa mwenyewe maana isije wiki ijayo hapa tukaanza kuulizana ushahidi.
 
Wanaotaka ushahidi wakale mawe. Ni sawa na kuomba ushahidi wa DNA wakati mama kajifungua na wewe hukujimwaga.

Rais wa nchi hawezi kuwaambia halmashauri za mikoa na wilaya zishughulikie The Buck Stops with the president huu usanii atauacha lini?

Hongera Wananchi wa Bunzwagi kwa kuweza kuandamana na kuonyesha Uzalendo kwa mali zetu tunazodhulumiwa, hakuna nyumba bora, barabara, umeme n.k. lakini utajiri unachukuliwa na wageni.
 
Back
Top Bottom