Nakandamiza Kibara
Senior Member
- Jul 17, 2007
- 143
- 10
sasa hadi video.. tena?
Si ndege inapaa/ imeshapaa....au....?
Si ndege inapaa/ imeshapaa....au....?
Kuna kitu kibaya sana ambacho watanzania tunacho; NIDHAMU YA WOGA...wakati wa ziara hii ya mkuu wa Kaya; kauli hii itathibitika.
Jamani nathani inabidi kuyala haya maandishi yangu...Tanzania inabadilika.
hahaaaaa, hapo umesound kama mkenya ulivyoandika nathani, enewei, wabongo ni vizuri kwamba watu washaanza kuona jamaa mzushi.
JK kutokupokelewa
Usiniambie kuwa umeamini habari baada ya kusikiliza VOA na kusoma mwananchi!.. KLH News International inazidi kusambaa...
If only the opposition knew what has been presented in front of them.