The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
sasa mtaelewa kwanini kuna mtu wake Mambo ya Ndani, na kwa nini kuna mtu kwenye judiciary.. game set!!
Almeda University (possibly also called Almeda College or Almeda College & University) is an unaccredited American institution that offers various academic degrees through distance education, including a "Life Experience Degree". Almeda was founded in 1997.(1) Almeda University-MBA 2004-2005
Huyu si ndiye aliyehusika na kashfa ya NSSF ya kununua magodown ya Yusuf Manji yasiyozidi thamani ya shilingi milioni 100 kwa bilioni 47?
Nilimuona bomu katika mkutano wa IMF badala ya kutoa mwelekeo wa Tanzania miaka 10 ijayo kuvutia wawekezaji yeye anazungumzia vivutio vya tanzania na utalii mie nikajua hili galasa sasa naamini nilichokuwa nadhani hii inatisha kwakweli
mie niliwahi kusema kuwa wasomi halisi Tanzania wanakimbia kwasababu ya upumbavu kama huu. Kwakweli nilikuwa sijui historia ya huyu jamaa ila nilimuona bomu katika mkutano wa IMF badala ya kutoa mwelekeo wa Tanzania miaka 10 ijayo kuvutia wawekezaji yeye anazungumzia vivutio vya tanzania na utalii mie nikajua hili galasa sasa naamini nilichokuwa nadhani hii inatisha kwakweli
Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu kwa muda mrefu nikajaribu kutafuta CV ya Mustafa Haidi Mkulo sijui kwa CV hii hawezi kuwa waziri wa fedha au mapaka awe na PHD
(1) Almeda University-MBA 2004-2005
(2)S west London College-ACCA 1975-1977
(3)Strathmore College Nairobi-ACCA 1971-1973
(4)NBAA-CPA 1982
(5)Pugu sec school-O-level 1965-1968
(6)Private studies-A-level 1969-1970
(7)Zombo Midle School-Primary 1961-1964
(8)Rudewa Primary School-1956-1960
EMPLOYMENT
NSSF-Director General-1987-2000
National Developmemt Corp-Director of Operation-1985-1987
Ministry of Finance-Treasury registrar-1980-1982
National development Corp-Director Planning&Finance-1980-1982
Je kwa CV hii haitoshi kuwa waziri wa fedha nipeni jibu
Kunahaja ya kuiibua tena hii scandal ya NSSF/Manji/Mkulo/Dr. Dau maana kipindi kile mpiganaji alikuwa Mengi pekeyake hivyo alikosa support na hivyo CCM wakafanikiwa kuizima. Hizi ni pesa za wananchi nimhimu hili likazungumziwa upya