ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
....na huyo Mkullo karudisha ngapi?
Kama tunajali maendeleo ya taifa kwa manufaa ya taifa basi wote wanaolitia hasara taifa ni lazima tuwakemee. Tukichagua chagua ooh fulani sio waziri inasabisha watu waanze kujiuliza lengo kuu lililopo, hasahasa iwapo watu haohao wanaomtetea mtia hasara taifa kwa kigezo cha kutokuwa waziri wamedhihirika kuwa mstari wa mbele kukemea hasara inayoletewa taifa na watanzania wenye asili ya kiasia au wahindi, je hawa ni mawaziri?
Wote tuwakemee.
ZMCP,
Siku zote nasema kwa manazi wa Chadema kunya anakunya kuku tu, akinya bata kidogo tu basi kaharisha!
That the Minister of Finance Mr. Mustafa Haidi Mkullo owe one of our premier Bank a loan of 30,000,000 plus accrued interest to the total of about 24,000,000 ( a debt of abt 54,000,000). It has been allegedly estabilished with documentary proof that Mr. Mkullo while he was a Deputy Minister of Finance alipatiwa mkopo huo ambao hadi hivi sasa hajalipa kitu chochote kinachoeleweka....
So, anapojiandaa kusimama kusoma bajeti vile vinzi vinavyozunguka vimeahidi kuonesha ushahidi wa deni hilo kubwa muda mfupi baada kabla ya yeye kusoma bajeti hiyo.. so, kama ninyi na miye nimekaa ku subiri kuona kama 'vyalika'?
Mkullo is another Chenge.
Hivi hao wadeni wake wasipolipa kodi na kuja kumuomba mwanya wa msamaha wa kodi ataweza kuwakatalia?
Hii inaonyesha jinsi JK na serikali yake ya CCM jinsi walivyo bega kwa bega kutafuna pesa ya walipa kodi kiroho mbaya, na jinsi wasivyo na nia ya kupiga vita UFISADI.
Ushahidi unaonyesha Mbowe alirudisha pesa, Je, huyu waziri ambaye huna hata chembe ya data za hizo pesa alizokopa wakati tunategemea vinzi vitupe dataz utasema nini? Maana unaonekana kuanza kutetea wakati info... huna.
Hiyo bad credit unaipima vipi? Rejea kwenye thread ya pesa alizokopa Mbowe ujiridhishe.
mwaka jana akiwa Naibu Waziri... mfano wako kuwa Mkullo is "another" Mbowe waweza kuwa na ukweli... lakini Mbowe siyo Waziri wa Fedha!
Kama tunajali maendeleo ya taifa kwa manufaa ya taifa basi wote wanaolitia hasara taifa ni lazima tuwakemee. Tukichagua chagua ooh fulani sio waziri inasabisha watu waanze kujiuliza lengo kuu lililopo, hasahasa iwapo watu haohao wanaomtetea mtia hasara taifa kwa kigezo cha kutokuwa waziri wamedhihirika kuwa mstari wa mbele kukemea hasara inayoletewa taifa na watanzania wenye asili ya kiasia au wahindi, je hawa ni mawaziri?
Wote tuwakemee.
I dont its ethical to put a hardcore defaulter such as this dude to be your Minister of Finance, That is like putting a paedophile in charge of running a childrens nursery (a recipe for disaster), Sasa kama huyu mtu anashidwa kuheshimu na kumanage personal finances zake mwenyewe kweli ataweza ku-manage finance za nchi zima!!!
if so, hii ina maana mbowe has no chances and should not be given any chances kuongoza watu/chama kutokana na statement yako ! upo tayari kumpinga mbowe kutokana na maneno yako ??
Who said I support Mbowe or Chadema for that matter????
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anakalia kiasi kikubwa cha fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kukataa kulipa deni alilokopa. Mbowe anadaiwa wastani wa sh milioni 1200 (sh bilioni 1.2), kutokana na deni alilochukua mwaka 1990 kwa nia ya kufanya upanuzi wa Mbowe Hotel ya jijini Dar es Salaam, maarufu kama Bilcanas.
Kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kuwa deni la mkopo huo aliouchukua kwa kutiliana saini kati yake na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NPF), ambalo baadaye lilibadilishwa jina na kuwa NSSF, sasa limekua na kufikia zaidi ya sh milioni 1200. Deni hili linatokana na mkopo aliouchukua na riba inayotokana na deni hilo.
Wakati wa kuchukua mkopo huo NPF (wakati huo) iliwakilishwa na Mustafa Mkulo, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, huku Mbowe Hotel ikiwakilishwa Mbowe mwenyewe aliyetia saini. Pande zote mbili zilikuwa na mwakilishi mmoja. Mkulo kwa sasa ndiye Waziri wa Fedha.
Kama viongozi wetu wanadaiwa na wanavunaj sheria ktika kudaiwa huko, basi ni vyema tukawakemea wote equally, kama ni kosa kwa Mkullo kuwa na deni na kuvunuja sheria kwenye kulilipa, na Mbowe pia ana deni hilo hilo na sababu zile ziel, basi wote tuwapige mawe sawa sawa,
Ninaomba kusema kuwa wayalipe madeni yao haraka kama kweli wanadaiwa na wanavunja sheria kwa kutokuyalipa!
watu humu ovyo sana, anadaiwa mkullo wanajidai wana attention alipokuwa akiongelewa mbowe deni lake walikuwa wapi ?? bana mie saa nyingine watu kama hawa nawatolea tu mshipa wa aibu pembeni na kuongea ninachokiona....
...acha kuweka emotions zako humu utafikiri na wewe una 10% kumbe kada tuu!