The Caster Semenya Saga:Berlin and Beyond.

The Caster Semenya Saga:Berlin and Beyond.

Wakuu,

hii ishu ya huyu Caster Semenya italeta a new dimension in athletics
especially kama more such people watajitokeza maana wapo.Swali
linakuja hivi, Je watu wa jinsia ya namna hii hawaruhusiwi ku-participate
katika hizi championships na nyenginezo? If not, kwa nini? Mtu
anaweza kusema kua kumtenga mtu kama huyu is a form of discrimination.
Upande wa pili nao utasema such an individual ana added competitive
advantage.

Suluhisho maybe waanzishiwe category yao.Itakua kazi hapo.
 
3059738.jpg

Bingwa wa dunia wa mbio za mita 800 za wanawake, Caster Semenya wa Afrika Kusini Friday, September 11, 2009 10:57 AM
Matokeo ya jinsia ya mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini, Caster Semenya yanasemekana yamevuja na yameonyesha kuwa Semenya ana jinsia zote mbili za kike na kiume. Semenya ameingia mafichoni tangia ripoti hizo zilipotolewa. Bingwa wa dunia wa mbio za mita 800 za wanawake, Caster Semenya ana jinsia zote mbili za kike na kiume yaani kwa kiswahili fasaha huntha au kwa kimombo hermaphrodite.

Kwa mujibu wa gazeti la Sydney Daily Telegraph la Australia, Semenya hana tumbo la uzazi na pia hana ovari (kiungo kinachotoa mayai ya uzazi).

Gazeti hilo limedai kupata data hizo kutoka kwa chanzo chao cha kuaminika ndani ya shirikisho la riadha la dunia IAAF.

Gazeti hilo limedai kuwa Semenya ana makende - viungo vya kiume vinavyozalisha homoni za testosterone ambazo humfanya mwanaume awe na misuli, vinyweleo mwilini na sauti nzito.

Semenya mwenye umri wa miaka 18 inasemekana ameingia mafichoni tangia gazeti hilo lilipotoa taarifa hizo jana.

Gazeti hilo pia lilisema kuwa shirikisho la riadha la dunia IAAF linategemea kumnyang'anya Semenya ubingwa wake na kumpiga marufuku kushiriki mashindano yoyote ya riadha yajayo na kumshauri afanye operesheni kurekebisha hali hiyo kwakuwa ni hatari sana kwa afya yake.

IAFF ilithibitisha kupokea matokeo ya jinsia ya Semenya jana lakini maafisa wake walisema kuwa matokeo hayo hayatawekwa hadharani kwa muda wa wiki mbili mpaka watakapokutana na kuongea na Semenya mwenyewe.

Msemaji wa IAAF, Nick Davies alisema kuwa matokeo hayo yataanikwa hadharani baada ya wataalamu kuyapitia tena na baada ya Semenya mwenyewe kuonyeshwa matokeo hayo.

"Hakuna kitu kitakachotolewa mpaka wataalamu watakapomaliza kuyapitia tena matokeo ya jinsia yake, hatuwezi kusema itachukua muda gani lakini ni ndani ya wiki chache zijazo".

Hata hivyo gazeti hilo lilidai kuwa matokeo hayo tayari yameishavuja na mbali ya kuonyesha Semenya ana jinsia mbili yanaonyesha pia kuwa Semenya ana kiwango kikubwa cha testosterone mara tatu zaidi ya mwanamke wa kawaida.

IAAF itabidi imnyang'anye Semenya ubingwa wa dunia wa mita 800 baada ya matokeo hayo kutangazwa kama yatathibitisha habari hizo kuwa ni za kweli.

Hata hivyo IAAF ilishasema awali kuwa haifikirii kumnyang'anya Semenya tuzo yenyewe ya medali ya dhahabu ambayo alipewa baada ya kunyakua ubingwa huo.

Semenya aliingia mafichoni jana usiku baada ya taarifa za gazeti hilo kutolewa na kuna uwezekano mkubwa hatatokea kwenye mashindano ya riadha ya mita 4000 ya wanawake ambayo yamepangwa kufanyika kesho jijini Pretoria, Afrika Kusini.
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsId=3059738&&Cat=6
 
Waziri wa michezo wa SA wamesema kama atafungiwa itakuwa III World War
 
Caster Semenya, the 18-year old at the center of one of the biggest gender scandals in sports history, withdrew from a weekend race in South Africa amidst unconfirmed reports that her gender tests have revealed that she has both male and female sexual organs.
She was scheduled to compete in the 4,000 meters at the national cross country championships in Pretoria. Semenya's coach, Michael Seme, says his runner "isn't feeling well".

Yesterday, unsubstantiated reports from Australia and England said that Semenya's tests showed that she has no womb or ovaries and produces testosterone levels three times higher than a normal woman. The IAAF thinly denies the reports. (The organization's spokesman says he hasn't "seen" the results, which doesn't mean he hasn't "heard" the results. Nor has the IAAF come out and said that the reports are false.)
The Today Show aired a report on the Semenya situation this morning:

It's another chapter in an unfortunate story. It's easy to get caught up in the sensationalized aspects of Semenya's tale, but let's not forget that she's still just a teenager who is now the centerpiece of an embarrassing worldwide scandal. No matter how things progressed to this point (and we'll get to that later), Semenya is a victim in this story.
But let's operate under assumption that the tests were accurate and that Semenya is a hermaphrodite. If so, then there are three main questions that will need to be answered soon:

1) Will Semenya be stripped of her gold medal?
Probably. It's hard to imagine that the IAAF would allow Semenya to keep the gold after what these tests reveal. The rules explicitly state that a "gender verification" situation has to be approved and overseen by medical authorities. Semenya didn't do this. Fair or not, a rule is a rule.

2) Will Semenya ever be allowed to run again?
Reading the IAAF rules, it would appear that Semenya would be allowed to run if her condition was treated. Whether or not she would want to is anyone's guess. But there's also a chance she could be banned from running based on the answer to the next question.

3) Who knew about this and when did they know?
We haven't gotten this far down the road yet, but the next logical step in the progression of this sordid affair is whether there was a coverup involved. Regardless of whether the intentions of Semenya and her handlers were nefarious, they had to know of her ambiguous gender. Not having ovaries isn't something that goes unnoticed. If they did, then at what point did this turn from an unfortunate medical situation into outright deception?

If Semenya was an innocent running without knowledge of her condition, then there's not much the IAAF could do other than strip her medal and advise her on how to regain eligibility. But if it can be determined that she knew she was running illegally (which would be tough to prove, but I'm starting to get the feeling that people knew -- how else would other coaches have known to order gender tests?) then there could be heavy sanctions down the road.

These questions will be discussed in the coming weeks and will be the center of attention when the IAAF officially releases its findings in November. If you thought the tale of Caster Semenya was strange before, it's just getting started
 
It said the world governing body, the International Association of Athletics Federations, is expected to disqualify Semenya from future events and advise an operation because the condition carries grave health risks.

Wengi tumejifunza kutoka kwenye hii habari - naamini ni vivyo hivyo kwa Semenya.
 
Wakuu,

hii ishu ya huyu Caster Semenya italeta a new dimension in athletics
especially kama more such people watajitokeza maana wapo.Swali
linakuja hivi, Je watu wa jinsia ya namna hii hawaruhusiwi ku-participate
katika hizi championships na nyenginezo? If not, kwa nini? Mtu
anaweza kusema kua kumtenga mtu kama huyu is a form of discrimination.
Upande wa pili nao utasema such an individual ana added competitive
advantage.

Suluhisho maybe waanzishiwe category yao.Itakua kazi hapo.


Experts say Semenya should be allowed to race as a woman and they cringe at how her case is exploding publicly in the news media. They worry about psychological scars. Two years ago, a star female track athlete who tested male attempted suicide.


Unless she took some illicit substance, Semenya is a female with a birth defect, simple as that, said Dr. Myron Genel, a professor emeritus of pediatrics at Yale University. He was part of a special panel of experts convened by the International Association of Athletics Federations in 1990 that helped end much, but not all, genetic gender testing.


“It’s no different in a sense than a youngster who is born with a hole in the heart,” Genel said. “These are in fact birth defects in an area that a lot of people are uncomfortable with.”


Source: Yahoo sports
 
mi nataka uliza tu jamani?hivi yule dada m south(semenya) akitakata tena kushiriki mbio atakubaliwa,na kama atakubaliwa atashiriki kama dume au jike
 
Biologically she is hermaphrodite (i.e. genderless or sexless) she cannot compete.
 
Biologically she is hermaphrodite (i.e. genderless or sexless) she cannot compete.

Where is it stipulated that she cannot compete?It is against Human Rights to deny her participation.Isitoshe si amakuzwa au kulelewa kama mwanamke?... SA will throw all its weight to fight for her rights!It will be the 3rd world war kama walivyosema wenyewe! Si mnajua vita kuu mbili za dunia chanzo chake was very trivial ?
 
Hakuna haja ya kubishana hapo, maadam anazo nyeti zote mbili then uchaguzi unabaki kwake kuondoa moja na abaki na moja ili ashiriki michezo hiyo.Huwezi kuwa sexless asilani!
 
Mimi naona hata wale wa-Ethiopia wafanyiwe humanity test. Inawezekana wakawa na hormones za aliens, haiwezekani wakawa wanashinda wao tu kilasiku.
 
Hapa Africa Kusini ni Kashehe tupu hasa baada ya mama mzazi wa mwanariadha huyu kumg'akia dktari ambaye alijitokez hadharani na kuzungumzia kuwa Semanya ni hermaphrodite.

Ukweli kuwa hata hapa kwenye riadha z ndani bado mambo ni magumu kwake, na Afrika y kusini siyo kijiji.

Pengine cha msingi zaidi katika mjadala hu ni kwamba kwa kawaida watu wa namna hii huwa wanakuwa na alama za jinsia mbili ingawa moja inawez kuwa haifanyi kazi na inkuwa haijaendelezwa kimaumbile - vestigial -na mara nyingi huwa wanakuwa na aibu na wanauwa hawana marafiki wakiume hasa kwa wasichana wanajitenga na pia wanatengwa.

Lakini mwanaridha huyu anajiona mwanamke zaidi kuliko mwanaume, sasa haijulikani kwenya jamii yake alikokulia na anakoishi, ingawa mama yake anadai anajulikana kuwa ni msichana tangu akiwa shuleni
 
Video hapa chini akihojiwa. Nadhani atakuwa na sehemu za siri za kawaida za kike sema hana njia ya uzazi badala yake ana pumbu ndani ya mwili.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=G-bqET22vEU[/ame]
 
Back
Top Bottom