The Chanzo: Maeneo yenye matukio mengi zaidi ya Ubakaji na ulawiti Tanzania




Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!


Hizi takwimu zinaonyesha kabisa watu wa mkoa wa Mara ni jamii iliyostaarabika na yenye hofu ya Mungu,kiukweli Mkoa wangu wa Mara kitu ambacho bado tunakifanyia kazi ni Ukatili tu wa kuwakung'uta wanawake,bila shaka Kwa namna jamii yetu inavyoenda inastaarabika naamini haya mambo ya kibabe yatafika mwisho!

Kinachonishangaza kwenye hizi takwimu ni namna upande fulani ambao wao huwa wanajinasibu kuwa na Mungu lakini ndiyo wanaongoza Kwa Ulawiti na Ubakaji!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wadudu wa chuga wanatatuana marinda tu hawana habarii.
Mjini Magharibi hii jamii siyo ya kuizungumzia kabisa
Kuna kipindi nilikuwa naishi Bahari Beach Bunju......Aisee ukisikiliza Redio za visiwani Kipindi Cha Matukio wanaita Mawio ni noma sana.

Kila siku kuna repotiwa matukio mawili au matatu ya Ulawiti.
 
Na hili watamsingizia Papa Francis?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…