Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hao ni mda sana ndio kinara , walikuwa wanajificha kweny kichaka cha bhangi ..Ni lini hii mikoa ya kaskazini Arusha na Kilimanjaro imeanza haya mambo ya pwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni mda sana ndio kinara , walikuwa wanajificha kweny kichaka cha bhangi ..Ni lini hii mikoa ya kaskazini Arusha na Kilimanjaro imeanza haya mambo ya pwani?
Si unaona yule aliyebadili jinsia , kuna lile la WCB halafu kuna Agrey wote wa huko .Hao ni mda sana ndio kinara , walikuwa wanajificha kweny kichaka cha bhangi ..
Machalii 215 wa Arusha na 123 Kilimanjaro waliliwa kiboga mwaka 2023 ..
Cc luambo makiadi Chaliifrancisco Stress Challenger Benjamini Netanyahu OKW BOBAN SUNZU
View attachment 3052555
Subiri Toleo lijalo.Lete hizo takwimu, au wewe ndiye muathirika hukutoa taarifa?
Umeona Taarifa wapi kwamba hampo?hatupo
Mchanganyiko wa watu. Usije ukadhani kuna wazenji watupu. Znz ya sasa wazenji wapo nusu kwa nusu na watu kutoka nje ya zenji. Km mjini stone town wazawa wamebaki wachache sana. Waliopo wengi ni wachaga,wamasai na wameru wanaouza vinyago na maduka ya vitu vya utalii. Nikisema wageni ni wengi namaanisha. Stone Town nzima maduka yao ni ya watu kutoka mainlandDuh,
Hivi Mjini magharibi si ni Zenji?
Kama ndivyo idadi ya watu (population) ni ndogo huko, lakini kwa matukio ya ubakaji na "kufukua matope" hao jamaa kumbe ni vinara!!!
Hatari sana!
Umeona Arusha na Kilimanjaro pekee? shame on youMachalii 215 wa Arusha na 123 Kilimanjaro waliliwa kiboga mwaka 2023 ..
Cc luambo makiadi Chaliifrancisco Stress Challenger Benjamini Netanyahu OKW BOBAN SUNZU
View attachment 3052555