The Chanzo: Maeneo yenye matukio mengi zaidi ya Ubakaji na ulawiti Tanzania

The Chanzo: Maeneo yenye matukio mengi zaidi ya Ubakaji na ulawiti Tanzania

View attachment 3051219

Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Hizi takwimu zinaonyesha kabisa watu wa mkoa wa Mara ni jamii iliyostaarabika na yenye hofu ya Mungu,kiukweli Mkoa wangu wa Mara kitu ambacho bado tunakifanyia kazi ni Ukatili tu wa kuwakung'uta wanawake,bila shaka Kwa namna jamii yetu inavyoenda inastaarabika naamini haya mambo ya kibabe yatafika mwisho!

Kinachonishangaza kwenye hizi takwimu ni namna upande fulani ambao wao huwa wanajinasibu kuwa na Mungu lakini ndiyo wanaongoza Kwa Ulawiti na Ubakaji!
Iknawezekana ikawa kweli au sio kweli. Mila na desturi zinachangia matukio mengi kuto ripotiwa polisi. Inawezekana kuna matukio mengi lakini jamii haitoi taarifa polisi.
 
Iknawezekana ikawa kweli au sio kweli. Mila na desturi zinachangia matukio mengi kuto ripotiwa polisi. Inawezekana kuna matukio mengi lakini jamii haitoi taarifa polisi.
Hilo ndo sahihi kwani kwa jinsi walivyo Makatili mwathirika akitishwa kwamba ukienda kuripoti Nakuua, basi hatokwenda kwa kuhofia Usalama wake.
 
Mjini Magharibi kwenye ubakaji wamo na ulawiti pia wamo. Kuna shida gani huko?
 
Makongoro alipokuwa Manyara Mkoa ule ulikuwa unaongoza taifa kwa ubakaji au ulichukua am nafasi ya pili.
Na sasa Makongoro yupo Rukwa,Mkoa wake umepitwa na mikoa yote kwa ubakaji.
 
View attachment 3051219

Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!

Hizi takwimu zinaonyesha kabisa watu wa mkoa wa Mara ni jamii iliyostaarabika na yenye hofu ya Mungu,kiukweli Mkoa wangu wa Mara kitu ambacho bado tunakifanyia kazi ni Ukatili tu wa kuwakung'uta wanawake,bila shaka Kwa namna jamii yetu inavyoenda inastaarabika naamini haya mambo ya kibabe yatafika mwisho!

Kinachonishangaza kwenye hizi takwimu ni namna upande fulani ambao wao huwa wanajinasibu kuwa na Mungu lakini ndiyo wanaongoza Kwa Ulawiti na Ubakaji!
sawa tumekusika mura
 
Ukijumlisha Kinondoni,Temeke na Ilala,ni zaiidi ya 1000(elfu moja). Kwa hiyo Dar wajitathmini.
 
Jambo moja nilikuwa nalifikiria nilipokuwa kijijini,kwa sababu kule pia walikuwa wanalalamika kwamba wanawake wanabakwa na wanaume pia wanabakwa .

Isitokee hali yoyote ya kutaka kuwalazimisha vijana wawe waseja,waseja in the sense of not having any sex whatsoever unless they are married.

Ukifanya hivyo itatokea hali ambayo mambo yanapendeza on the surface,lakini huu uovu utapelekwa underground halafu utasikia watu wamebakwa.

Mambo mengine ukumbuke ingawa hayakupendezi wewe,lakini siyo illegal. Ukiwaleteaa vijana udikteta wa kijinga haya matatizo yatokea,na hatimaye someone will be be punished,na watakaokuwa punished ni hao hao wanaoleta sheria za kipumbavu.
Actually, udikteta ni childishness. Let me quote, the colours of the aura:
INDIGO
We are going to class indigo and violet as being under the same heading because one shades imperceptibly into the other, and it is very much a case of one being dependent upon the other. People with indigo showing to a marked extent in their aura are people of deep religious convictions,not merely those who profess to be religious. There is a very great deal of difference; some people say that they are religious, some people believe they are religious, but until one can actually see the aura one cannot say for sure; indigo proves it conclusively. If a person has a pinkish tinge in the indigo the possessor of such a marked aura will be touchy and unpleasant, particularly to those who are under the control of the afflicted person. The pinkish tinge in the indigo is a degrading touch, it robs the aura of its purity. Incidentally, people with indigo or violet or purple in their aura suffer from heart trouble and stomach disorders. They are the type of people who should have no fried food and very little fat.
 
Imebarikiwa Geita na watu wake
Watu wa geita tutaiona mbingu mubashara wakushangaza.

Nimestaajabu kuona wazee wa Imani Wame score kama zote!!.

Huku geita Tutaendelea kuwasalimia Zima moto kama kawaida kuwakumbusha kama maji yapo.
Nyie huko ni ushirikina na kuuana hovyo
 
Tunawaambiaga humu chuga vijana wanapukuliwa sana ila waarachuga wanasema wao ni wagumu mambi hayo hayapo kwao.
Shida ni vijana wengi kupenda ganda la ndizi, na vile wengi ni weupe basi vibosile huwaona kama pisi kali.
 
Machalii 215 wa Arusha na 123 Kilimanjaro waliliwa kiboga mwaka 2023 ..

Cc luambo makiadi Chaliifrancisco Stress Challenger Benjamini Netanyahu OKW BOBAN SUNZU
GTV0V5OXgAAK2Cz.jpg
 
Back
Top Bottom