The Chanzo: Maeneo yenye matukio mengi zaidi ya Ubakaji na ulawiti Tanzania

The Chanzo: Maeneo yenye matukio mengi zaidi ya Ubakaji na ulawiti Tanzania

Duh,
Hivi Mjini magharibi si ni Zenji?
Kama ndivyo idadi ya watu (population) ni ndogo huko, lakini kwa matukio ya ubakaji na "kufukua matope" hao jamaa kumbe ni vinara!!!
Hatari sana!
Mchanganyiko wa watu. Usije ukadhani kuna wazenji watupu. Znz ya sasa wazenji wapo nusu kwa nusu na watu kutoka nje ya zenji. Km mjini stone town wazawa wamebaki wachache sana. Waliopo wengi ni wachaga,wamasai na wameru wanaouza vinyago na maduka ya vitu vya utalii. Nikisema wageni ni wengi namaanisha. Stone Town nzima maduka yao ni ya watu kutoka mainland
 
Back
Top Bottom