The Chanzo: Maeneo yenye matukio mengi zaidi ya Ubakaji na ulawiti Tanzania

Kuna kipindi nilikuwa naishi Bahari Beach Bunju......Aisee ukisikiliza Redio za visiwani Kipindi Cha Matukio wanaita Mawio ni noma sana.

Kila siku kuna repotiwa matukio mawili au matatu ya Ulawiti.
Huko ndiko FaizaFoxy anasema kumejaa ustaarabu!
 
Imebarikiwa Geita na watu wake
Watu wa geita tutaiona mbingu mubashara wakushangaza.

Nimestaajabu kuona wazee wa Imani Wame score kama zote!!.

Huku geita Tutaendelea kuwasalimia Zima moto kama kawaida kuwakumbusha kama maji yapo.
 
Mjini Magharibi ndio huko kunaongozwa kwa dini ?????????????????????????????????
 
Duh,
Hivi Mjini magharibi si ni Zenji?
Kama ndivyo idadi ya watu (population) ni ndogo huko, lakini kwa matukio ya ubakaji na "kufukua matope" hao jamaa kumbe ni vinara!!!
Hatari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…