Lol.. You pull up all your data from your ass.
Raia wa nchi zenye uchumi mzuri hutembea dunia nzima. Wana pesa ambayo inaitwa disposable income. LDC Tanzania hamna.
Ndio maana utapata nchi kama US, UK, Germany, Canada, China na hata South Africa ndio zinaongoza kwa kutalii kwa nchi zingine.
Tanzania nyinyi hutembea tu Kenya, kwa sababu Kenya ndio uingereza yenu. Na safari ya kuja Kenya inahitaji tu nauri ya basi.
Wakenya, kwa sababu wana disposable income, hutembea kila mahali, sio kwa majirani pekee.
Mwisho, South Africa ambayo hauna adabu kuiweka Tanzania kwa ligi yake, iko na watalii wengi wanaokuja Kenya kuliko wakenya wanaoenda huko.
South African tourists in Kenya (2018) - 49,000
Kenyan tourists in South Africa (2017) - 35,000
View attachment 1182385
So, its time you look at the mirror and realise that poverty is what is making Tanzanians not to travel.
LDC ni chakula mtakula ama ni ndege mtapanda mkatalii?